Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Duh.. Mkuu kwahiyo Lisu ni zaidi ya tume?
Unauliza au unapigia jibu mstari? Hiyo tume imejaa makondoo wanaoweza kutii chochote wanachoagizwa na jiwe, huyo Tundu Lisu umemuona anasujudu sanamu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh.. Mkuu kwahiyo Lisu ni zaidi ya tume?
Mkuu kwahiyo unaamini kwamba tume hii itatenda haki kwa kumuogopa LisuUnauliza au unapigia jibu mstari? Hiyo tume imejaa makondoo wanaoweza kutii chochote wanachoagizwa na jiwe, huyo Tundu Lisu umemuona anasujudu sanamu?
Kwa hiyo target ni kuwa Chama kikuu cha upinzani kwa style hii hakuna haja ya kuunganaAct anaweza kua chama kikuu cha upinzani kama akipata wabunge wachache bara na Zanzibar akapata wengi. Chadema kwa Zanzibar hapati hata diwani. Lakini kwa huku bara kumbuka wabunge alionao ilikua ni nguvu kubwaa sana ya lowassa ingawaje nao chadema walikua na vinguvu vyao lakini ile nguvu kubwa ya lowassa na ukawa ndio ilifanya wakawa na wabunge wengi sana.
Je chadema wana mtu mwenye nguvu na ushawishi wa kisiasa kama ule wa lowassa?.
Kwasasa chadema nzima mwenye vinguvu ni lissu tena huyu anajulikana sana mitandaoni na baadhi ya watu walioelimika.
Mkuu kwahiyo unaamini kwamba tume hii itatenda haki kwa kumuogopa Lisu
Membe huku bara hana ushawishi wowote ye alikuwa anabebwa tu na CCM kipindi kile lakini baada ya kutoka CCM hana chochote cha maana.Kwa bara Membe anaachwa mbali na TALChadema mlituita ACT kuwa ni wasaliti na puppets wa watawala. Sasa kwa hali ya Sasa, mnatuhitaji Sana kuliko tunavyowahitaji. Narudia kusema, mna chaguo moja Kati ya haya mawili. Moja, kumuunga mkono mgombea urais wa JMT ndg Benard Membe ili tukishinda Lisu awe PM. Hapa, tutaachiana majimbo na kuongezeana nguvu Wakati wa Kampeni. Hii itawasaidia mpate Wabunge wengi hence RUZUKU. Chaguo la pili ni kila chama kishinde mechi zake. Sisi tuna uhakika wa Pemba na Unguja na Mikoa ya Pwani. Faida kwetu ni kwamba, tutapata Wabunge wengi bara na Visiwani. Hii itatuwezesha kuunda kambi rasmi ya Upinzan. Hasara yake, Mgombea wetu wa Urais wa JMT hataweza kupata kura za kutosha.
#THE FUTURE IS PURPLE.
Mimi naongelea uhalisia mkuu. Wewe mwenzangu nakuona bado upo kwenye makaratasi.Kwa hiyo target ni kuwa Chama kikuu cha upinzani kwa style hii hakuna haja ya kuungana
Kwa hiyo huyo mtu unaamini hataagiza kwa kumuogopa Lisu?Haitatenda haki, bali wakiagizwa kutokutenda haki, basi kuna wa kuagiza haki itendeke. Na hali hiyo italeta mabadiliko makubwa kwenye hiyo tume ya kihuni.
Coalition Government ndiyo jibuSasa sijui muundo wa serikali ijayo itakavyoundwa maana bara tunajua ni lissu zenji tunajua ni maalim, kazi ipo na tujiandae kisaikolojia ya serikali ya mseto
Membe hamuwezi Lissu hata robo kwanza sio CharismaticKwa taarifa yako afadhali hata huyo kuliko huyo wa kwenu, subiri utaona.
Kwa hiyo huyo mtu unaamini hataagiza kwa kumuogopa Lisu?
Hapa mabus ya Shabiby,Aboud na Al Saedy yanahusika + 10K/head
Wapinzani waungane wasiungane ushindi wa kishindo wa CCM upo pale pale
Huyo mpinga muungano mkuu uraisi wa Zanzibar asahau
Lisu ni homa hapo lumumba, hadi chamwino. Mwaka huu mnalo.Itabidi Tundu Lisu ampishe Membe awe mgombea urais wa Upinzani!
Kwani safari hii hiyo tume haipo.Ivi jaman kwa mgawanyiko huu kweli tutaiweza ccm kweli??
Wapinzani huwa mnatuangusha sana wananchi au mna ajenda ya makusudi kubuy time ccm akiendelea kutawala?
Bila kuungana nawahakikishia hamtaing'oa ccm, mnatupotezea mda wapiga kula.
tena ni afadhali wkt ule tukiwa na ukawa ulituunganisha na ccm kama alikufa japo tume NEC iliwanusuru lkn kwa hali hii ya sasa mnajua mnapoteza mda tu ccm hamtaiweza.
KUMBUKENI,
UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI UDHAIFI.
KIDOLE KIMOJA HAKIVUNJI CHAWA.
NDG WAKIGOMBANA CHUKUA JEMBE UKALIME WAKIPATANA CHUKUA KAPU KAVINE, MAANAKE NI HERI TUSHUGULIKE NA MAMBO YETU NYIE NI WASANII TU.
AHYA MTATWAMBIA..
Hiyo ni Unguja je Pemba huko.
Freshi tu sisi wananchi tunachojali ni maendeleo na utawala bora tu.Sasa sijui muundo wa serikali ijayo itakavyoundwa maana bara tunajua ni lissu zenji tunajua ni maalim, kazi ipo na tujiandae kisaikolojia ya serikali ya mseto
Wasi wasi wangu ni ile tume.ACT wanatakiwa wakaze sana huko Zanzibar, maana huko Seif ana support ya nguvu.