Zanzibar 2020 Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

Zanzibar 2020 Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

Duh.. Mkuu kwahiyo Lisu ni zaidi ya tume?

Unauliza au unapigia jibu mstari? Hiyo tume imejaa makondoo wanaoweza kutii chochote wanachoagizwa na jiwe, huyo Tundu Lisu umemuona anasujudu sanamu?
 
Unauliza au unapigia jibu mstari? Hiyo tume imejaa makondoo wanaoweza kutii chochote wanachoagizwa na jiwe, huyo Tundu Lisu umemuona anasujudu sanamu?
Mkuu kwahiyo unaamini kwamba tume hii itatenda haki kwa kumuogopa Lisu
 
Mapokezi ya wagombea wa uraisi wa Jamhuri na ya Uraisi wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo imeonyesha dhahiri vipi Wazanzibari walivyochoka na CCM..

 
Act anaweza kua chama kikuu cha upinzani kama akipata wabunge wachache bara na Zanzibar akapata wengi. Chadema kwa Zanzibar hapati hata diwani. Lakini kwa huku bara kumbuka wabunge alionao ilikua ni nguvu kubwaa sana ya lowassa ingawaje nao chadema walikua na vinguvu vyao lakini ile nguvu kubwa ya lowassa na ukawa ndio ilifanya wakawa na wabunge wengi sana.

Je chadema wana mtu mwenye nguvu na ushawishi wa kisiasa kama ule wa lowassa?.
Kwasasa chadema nzima mwenye vinguvu ni lissu tena huyu anajulikana sana mitandaoni na baadhi ya watu walioelimika.
Kwa hiyo target ni kuwa Chama kikuu cha upinzani kwa style hii hakuna haja ya kuungana
 
Mkuu kwahiyo unaamini kwamba tume hii itatenda haki kwa kumuogopa Lisu

Haitatenda haki, bali wakiagizwa kutokutenda haki, basi kuna wa kuagiza haki itendeke. Na hali hiyo italeta mabadiliko makubwa kwenye hiyo tume ya kihuni.
 
Chadema mlituita ACT kuwa ni wasaliti na puppets wa watawala. Sasa kwa hali ya Sasa, mnatuhitaji Sana kuliko tunavyowahitaji. Narudia kusema, mna chaguo moja Kati ya haya mawili. Moja, kumuunga mkono mgombea urais wa JMT ndg Benard Membe ili tukishinda Lisu awe PM. Hapa, tutaachiana majimbo na kuongezeana nguvu Wakati wa Kampeni. Hii itawasaidia mpate Wabunge wengi hence RUZUKU. Chaguo la pili ni kila chama kishinde mechi zake. Sisi tuna uhakika wa Pemba na Unguja na Mikoa ya Pwani. Faida kwetu ni kwamba, tutapata Wabunge wengi bara na Visiwani. Hii itatuwezesha kuunda kambi rasmi ya Upinzan. Hasara yake, Mgombea wetu wa Urais wa JMT hataweza kupata kura za kutosha.
#THE FUTURE IS PURPLE.
Membe huku bara hana ushawishi wowote ye alikuwa anabebwa tu na CCM kipindi kile lakini baada ya kutoka CCM hana chochote cha maana.Kwa bara Membe anaachwa mbali na TAL
 
Haitatenda haki, bali wakiagizwa kutokutenda haki, basi kuna wa kuagiza haki itendeke. Na hali hiyo italeta mabadiliko makubwa kwenye hiyo tume ya kihuni.
Kwa hiyo huyo mtu unaamini hataagiza kwa kumuogopa Lisu?
 
Kwa hiyo huyo mtu unaamini hataagiza kwa kumuogopa Lisu?

Hamuogopi Lisu na wala hatakaa amuogope akiwa na madaraka, ila Lisu naye sio muoga wa hivyo. Hivyo atakapoagiza uhuni ufanyike kwenye box la kura kisha kutokea tafrani yoyote, hiyo itamuuandama maisha yake yote.
 
Ivi jaman kwa mgawanyiko huu kweli tutaiweza ccm kweli??
Wapinzani huwa mnatuangusha sana wananchi au mna ajenda ya makusudi kubuy time ccm akiendelea kutawala?

Bila kuungana nawahakikishia hamtaing'oa ccm, mnatupotezea mda wapiga kula.
tena ni afadhali wkt ule tukiwa na ukawa ulituunganisha na ccm kama alikufa japo tume NEC iliwanusuru lkn kwa hali hii ya sasa mnajua mnapoteza mda tu ccm hamtaiweza.

KUMBUKENI,
UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI UDHAIFI.

KIDOLE KIMOJA HAKIVUNJI CHAWA.

NDG WAKIGOMBANA CHUKUA JEMBE UKALIME WAKIPATANA CHUKUA KAPU KAVINE, MAANAKE NI HERI TUSHUGULIKE NA MAMBO YETU NYIE NI WASANII TU.

AHYA MTATWAMBIA..
Kwani safari hii hiyo tume haipo.
 
Back
Top Bottom