MtaniHondokeni mpotelee huko kuzimu. Yani kwa kpindi cha miaka mitatu tuu 2016-2018 mmeiba Zaid ya trilioni 8. Nini binadamu wa Aina gani wachonyo walafi hamna kiasi. You have no conscious At all. You still our money without shame with impunity. Faking annoying.
Hondokeni
Bao la mkono lisipokuwepo basi ccm chali.Inavyoonekana, hata CCM leo waliungana na Maalim Seif /ACT-Wzalendo kumpokea! Nadhani kuna hali ya Wazanzibar kuchukizwa na haya yaliyopita miaka mitano!
Tusubiri muda! johnthebaptist
Itoshe kusema Maalim seif huenda huwa anauza ushindi kwa Maccm.Mkuu,kila uchaguzi unapofanyika CCM huwa inapigwa chini,haijawahi kushinda toka mwaka 1995,lakini chaguzi zote huwa wanaibuka kina jecha wapya, au ulikuwa bado hujazaliwa?
Hivi kwanini Husein Mwinyi asijitoe tu ili kuepuka kudhalilika ?Na maalim akishinda Zenji ndio mwishowa CCM Bara. Na ndio mwanzo wa Zanzibar kuendelea na wananchi wake kuwa na maisha mazuri
Lissu alikwisha sema kuwa Maalim Seif kama Maalim Seif sio individual bali ni Taasisi kamiliNi kweli, nimesema Zanzibar maana watu wale wingi wao hawawezi kuwa wapenzi wa Maalim toka ACT pekee, lazima kuna wengi kutoka CCM!
Kuna kitu mnasahau hapa ya kua dola ni yakwaoMkapa hayupo ccm inaanzaje kushinda kwa mfano. ZNZ inakwenda kwa ACT bara saa 4 mapema anachukua Lisu,wametutesa sana hawa madhalimu tukirudia kosa tumekwisha nafasi peke eni october ya kulipiza kisasi kama uliumizwa
πππMataga washenz sana
Akili zenu ni za kulengea tundu la choo misukule ya lumumba!Ameahidiwa viti maalumu na mwenyekiti wa milele!
Leo Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bernard Membe, watapokelewa asubuhi hii na Wazanzibar wa Unguja....
Ndivyo alivyokuambia mganga wa Chato yule mvuta bangi?Mtoto huyo wa 1992 hamjui vizuri maalim seif sharif hamad, kwaa taarifa yake baada ya uchaguzi chama mali yake, hapo ndo atajua nguvu ya chama iko wapi kati ya unguja na kigoma.
Hata Saddam,gadaf,hawakuwa na dolaKuna kitu mnasahau hapa ya kua dola ni yakwao
Yule mgombea wa CCM si unafahamu jinsi alivyopatikana. Maalim ni chaguo la Wapemba na Wangazija.Ni kweli, nimesema Zanzibar maana watu wale wingi wao hawawezi kuwa wapenzi wa Maalim toka ACT pekee, lazima kuna wengi kutoka CCM!
Dola my foot,anayemiliki umma ndo mwenye nguvu, Malawi, Zimbabwe, Sudan, Tunisia,nk.goverment of the people for the peopleKuna kitu mnasahau hapa ya kua dola ni yakwao