Mkuu zanzibar kuna jumla ya kura 580,000,Itabidi Tundu Lisu ampishe Membe awe mgombea urais wa upinzani!
Kwa nilichokiona Zanzibar leo nazidi kujithibitishia kuwa Maalim huporwa matokeo ya ushindi kila chaguzi
Yaani ameingia ACT juzi tu na mara moja Zanzibar imekuwa ya Zambarau.
Lipumba na CUF yake wamefutika ghafla Zanzibar.
Wewe kwenda zako mataga mkubwa. CCM mnajiona wajanja mnafikiri hatujui mnachokifanya.Nyie tatizo lenu mnapokea puppet ili Chadema tusiende ikulu ila mjue unafiq utawaponza.
Huyo mccm achana naye au na wewe lenu moja.Kwa taarifa yako afadhali hata huyo kuliko huyo wa kwenu, subiri utaona.
Huyo ni CCM analeta fitna zake za kilumumbaIvi jaman kwa mgawanyiko huu kweli tutaiweza ccm kweli? Wapinzani huwa mnatuangusha sana wananchi au mna ajenda ya makusudi kubuy time ccm akiendelea kutawala?...
Wewe unamsikiliza huyo mccm?Acheni ubanafsi hivi nyie mnajiona keki eti eh! Kwamba Nyinyi ndio mna haki ya kuwa wapinzani, hii ndio Demokrasia kila mtu ashinde mechi zake!
CCM mwaka huu tunawalambisha mchangaWapinzani waungane wasiungane ushindi wa kishindo wa CCM upo pale pale
Kwa akili yako ya kukusaidia kuvuka barabara tu, unadhani hata mkurugenzi wa uchaguzi ungekua ni wewe kwa Tanzania hii unadhani lissu atapata kura za kumuwezesha kua rais wa JMT?????.
Kama tukipiga kura hapa Jf anaweza akashinda kwasababu muna id nyingi.
Huko mtaani kwenye mikoa ambayo munaita ni ngome zenu, ccm ina wabunge na madiwani wengi.
Wapinzani waungane wasiungane ushindi wa kishindo wa CCM upo pale pale
Zitto ndani kkabisa ya moyo wake anahasira sana na CDMA, yale matusi, shutuma, kufukuzwa bado anawaza atawashusha vipi na yeye kuwa KUB!
Naona hesabu zake zinaenda sawa!
Bara akipata wabunge hata wawili tu na zenji akipata wabunge 20 shughuli imeisha hiyo, Mbowe sio mkuu wa upinzani tena na Mnadhimu mkuu wa bunge atAtoka ACT! Naiona CDMA ileee chali! Uchaguzi huu unaweza kuwa mgumu kwa Chadema tofauti na wengi wanavyo dhani, ni do or die!
Kuna watu baada ya uchaguzi watamshambulia sana Mbowe kwa kupiga hesabu zake vibaya! Imagine bungeni bila Mnyika, Lisu etc! Imeisha hiyo
Wengine tumeshaliona hilo tangu zamani kua act ndio anaenda kua chama kikuu cha upinzani. Baada ya huu uchaguzi cdm itasambaratika yote.Zitto ndani kkabisa ya moyo wake anahasira sana na CDMA, yale matusi, shutuma, kufukuzwa bado anawaza atawashusha vipi na yeye kuwa KUB!
Naona hesabu zake zinaenda sawa!
Bara akipata wabunge hata wawili tu na zenji akipata wabunge 20 shughuli imeisha hiyo, Mbowe sio mkuu wa upinzani tena na Mnadhimu mkuu wa bunge atAtoka ACT! Naiona CDMA ileee chali! Uchaguzi huu unaweza kuwa mgumu kwa Chadema tofauti na wengi wanavyo dhani, ni do or die!
Kuna watu baada ya uchaguzi watamshambulia sana Mbowe kwa kupiga hesabu zake vibaya! Imagine bungeni bila Mnyika, Lisu etc! Imeisha hiyo
Tunza hii comment yako, baada ya uchaguzi ndio utafahamu nani hasa CHADEMA alikuwampinzani wake!Aliyekudanganya kuwa CDM inashindana na ACT ni nani? Cdm imeshavuka hatua ya kuwa chama kikuu cha upinzani bali inataka dola. Naona mnataka kutengeneza mazingira ionekane ushindani katika uchaguzi huu ni kati ya CDM na ACT, ila ccm ndio mshindi, shubamiit.
Hayo mengine ni maneno ya kisiasa lakini ukweli ni huo niliokueleza nenda kawaambie na wenzako.Kuwa rais wa JMT Ni jambo jingine, tunaangalia uaminifu wa tume. Kwa akili yako ya kufulia gagulo la mke wa boss wako, unadhani ni rahisi kuwa na id nyingi hapa jukwaani? Kama ni rahisi fungua ww na wenzako kisha mpige hizo kura.
Hapa unasema huko mikoani kwenye ngome zetu ccm ina wabunge, mbona Tanzania nzima mnasema ni ya ccm na bado wapinzani wana wabunge?
Cdm mumeona mapokezi ya membe na Maalim huko Zanzibar?? Ni hatari sana. Lissu kapata vipokezi kidogo sana akavimba kichwa kua ataingiza watu barabarani. Lissu angepata mapokezi kamaya membe huko zanzibar, ile kauli yake ya ataingiza watu barabarani, ingetulaza na viatu. Lakini tumeona ni porojo.