Zanzibar 2020 Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

Hapo ni zanzibar mkuu usiwaze
 
lakini tuliwaambia apa chama kikuu saaahv kinatokea ACT ama NCCR wakasema lissu ameangaliwa na mabilion ya watu dunia nzima, madhara yake kaenda kuchukua form hakuna mtu ana ham nae. kabaki kupungia miti
Hivi kweli chadema ikikosa wabunge, hali yao itakua salama kweli?.
Chadema waliweka nguvu nyingi sana hapa jukwaani ili kuonyesha act wazalendo inawahitaji sana cdm. Lakini mimi ninavyoona huko mbeleni chadema ndio itawahitaji sana act wazalendo, vinginevyo chama kinaenda kufa.
 
Wewe mbona hujawaachia wengine kuleta hii habari?
 
yale mapokezi siyo ya Membe wewe ni MAALIM SEIF, yote kwa yote Lisu ni habari ya mujini hadi jikoni
 

Imepoteza ushawishi au rais aliye madarakani ana nongwa na chuki ya wazi dhidi ya cdm? Hivyo anatumia madaraka yake vibaya, kuwahujumu na kuwanyima haki ya kufanya siasa kwa faida ya chama chake. Nani kakuambia upinzani umewekeza mitandaoni, huku mitandaoni kwa ajili ya udictator wa rais, ndio sehemu pekee ya watu kuonyesha hisia zao bila kutekwa, kuuwawa au kuhujumiwa shughuli zao.
 
Sawa!

Vipi utapiga kura?
 
Sawa!

Vipi utapiga kura?

Ndio, chini ya tume hii isiyo huru ya uchaguzi. Na sababu hasa ya kupiga kura ni uwepo wa Tundu Lisu ambaye hana lugha za Kuremba. Sio lile zee za ccm eti anamuachia Mungu. Safari hii tunapiga kura tukiweka wazi kabisa kuwa tume ya uchaguzi sio huru, na iko kuibeba ccm.
 
Akili za Zitto za ajabu sana. Yeye hagombei , badala amuache Membe awe pembeni ya Maalim ili wasiomjua huko ZNZ wajue, wampe kura za uraisi, Zitto anajiweka yeye fonti peji.

ACT wanategemea hizo kura kwenye mgawanyo wa ruzuku baada ya uchaguzi kama wasipokuwa chama kikuu bungeni.
 
Kwahiyo Lisu atasababisha mtangazwe washindi?
 

tumewapa ushauri sana apa forum lakini wao si wanajikuta wanajua zaidi ya wananchi, juzi juzi mbowe alienda jimboni kwake kwa mara ya kwanza tangia wakoloni waondoke unafanya mkutano ambao wote hwakutaki ndo ilikua sku hio, ni kushukuru tu polisi walikuepo ila angekiona cha mtema kuni


ona sasa wamebaki wanajishangilia wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…