Zanzibar 2020 Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

Hii picha ya mwisho ya msambwanda ndiyo zimejaa kwenye galary yako ?

By the way somo la divide and rule tulishafuzu kitambo.

Maalim Seif safari hii lazima atangazwe mshindi mtake msitake.
Huyo ameahidiwa viti maalumu na Chairman asiye na kikomo kwani unafikiri miguu inavunjika bila ya sababu!
 
Ni kichaa pekee anaeweza kuamini kilema wa akili na mwili tindo liuso eti atakuwa raisi [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Aliyekiri hadharani kua yeye ni kichaa ni jiwe na sio Lissu.
Kama nchi tunadhalilika sana, sijui tumekosea wapi mpaka kumkabidhi nchi mtu mwenye matatizo ya akili.
 
Miezi miwili iliyppita ulikuwa unaendesha harakati humu za kudai tume huru ya uchaguzi na kusema hakuna mpumbavu anaweza kwenda kupoteza muda wake kupiga kura chini ya hii tume!

Vipi harakati zako zimeishia wapi?
Na sasa unasema utapiga kura je, matamwa yako yametekelezwa?

Hiyo miezi miwili Lisu alikuwa hapa nchini na kutangazwa mgombea wa urais? Matakwa yangu hayajatekelezwa, lakini mazingira yanaruhusu kupiga kura kwa shingo upande, kwani tuna mtu jasiri anayeweza kuhimiza kudai haki yetu, sio kama lile zee kondoo toka ccm. Subiri uone Lisu akifanyiwa mizengwe kwenye huu uchaguzi, kama kuna mtu anayejitambua atapiga kura. Matakwa yangu ni mengi ndani ya nchi hii, na bado hayajatekelezwa, lakini bado nipo na ninaendelea kuyadai.

Iwe itakavyokuwa, tume hii sio huru, na itabadilika tu kwa kutokea machafuko maana uzoefu unaonyesha vyama vilivyochukua madaraka kwa mkoloni, huwa havikubali mabadiliko yanayohatarisha uwepo wao madarakani, mpaka kutokee machafuko.
 
Umerudi lini hapa nchini au ulitoka jela lini? Angalia isije ikawa haya unayohoji hukuwa hapa nchini, hivyo unataka usimuliwe mambo yaliyo wazi. Au unadhani tumesahau maagizo yaliyokuwa yanatolewa? Kama tatizo ni muda wa kufanya kazi? Kila siku tunamuona rais akiwa mubashara wakati wa kazi, au yeye tukimuangalia ndio kazi?

ivi kichwan uko timam?
 
Chadema mlituita ACT kuwa ni wasaliti na puppets wa watawala. Sasa kwa hali ya Sasa, mnatuhitaji Sana kuliko tunavyowahitaji. Narudia kusema, mna chaguo moja Kati ya haya mawili. Moja, kumuunga mkono mgombea urais wa JMT ndg Benard Membe ili tukishinda Lisu awe PM. Hapa, tutaachiana majimbo na kuongezeana nguvu Wakati wa Kampeni. Hii itawasaidia mpate Wabunge wengi hence RUZUKU. Chaguo la pili ni kila chama kishinde mechi zake. Sisi tuna uhakika wa Pemba na Unguja na Mikoa ya Pwani. Faida kwetu ni kwamba, tutapata Wabunge wengi bara na Visiwani. Hii itatuwezesha kuunda kambi rasmi ya Upinzan. Hasara yake, Mgombea wetu wa Urais wa JMT hataweza kupata kura za kutosha.
#THE FUTURE IS PURPLE.
 
Leo Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bernard Membe, watapokelewa asubuhi hii na Wazanzibar wa Unguja.

Matukio mbalimbali na picha za mapokezi tutawawekea hapa.

View attachment 1531746View attachment 1531747View attachment 1531748View attachment 1531749View attachment 1531917View attachment 1531918
View attachment 1531919
View attachment 1531926

Hawa watu wengi hivi, jamani mnabanana hivyo kuna Corona bado au vipi hamzingatii ushauri wa wizara ya afya? 😅😅
 
Chadema mlituita ACT kuwa ni wasaliti na puppets wa watawala. Sasa kwa hali ya Sasa, mnatuhitaji Sana kuliko tunavyowahitaji. Narudia kusema, mna chaguo moja Kati ya haya mawili. Moja, kumuunga mkono mgombea urais wa JMT ndg Benard Membe ili tukishinda Lisu awe PM. Hapa, tutaachiana majimbo na kuongezeana nguvu Wakati wa Kampeni. Hii itawasaidia mpate Wabunge wengi hence RUZUKU. Chaguo la pili ni kila chama kishinde mechi zake. Sisi tuna uhakika wa Pemba na Unguja na Mikoa ya Pwani. Faida kwetu ni kwamba, tutapata Wabunge wengi bara na Visiwani. Hii itatuwezesha kuunda kambi rasmi ya Upinzan. Hasara yake, Mgombea wetu wa Urais wa JMT hataweza kupata kura za kutosha.
#THE FUTURE IS PURPLE.

Yaani hapo ndio unaona umewatishia cdm! Yaani cdm itishike kwakuwa ACT imepata watu huko ZANZIBAR? huko Zanzibar hakuna kilichobadilika bali Maalim Seif kuhamia ACT na wafuasi wake aliotoka nao CUF. ACT hata ipate serikali yote ya Zanzibar, bado maamuzi yako huku bara maana ndio yenye maamuzi yote. Na isitoshe hakuna popote cdm inapashindansana ACT na wala haina nongwa kwa hiyo ACT kuchukua Zanzibar, bali ina tatizo iwapo ccm itaendelea kutawala Zanzibar. Kwahiyo kama unadhani cdm itaingia hadaa ya hizi siasa zako za kitoto umeumia.
 
Leo Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bernard Membe, watapokelewa asubuhi hii na Wazanzibar wa Unguja.

Matukio mbalimbali na picha za mapokezi tutawawekea hapa.

View attachment 1531746View attachment 1531747View attachment 1531748View attachment 1531749View attachment 1531917View attachment 1531918
View attachment 1531919
View attachment 1531926

Having seen that "floods", definitely, they can't beat you through the ballot box, the only recourse is votes rigging.

Ni mwendo bao la mkono tu as usual, hiyo ni kazi rahisi kwakuwa "the announcing chairman" is their appointee. Hahahaaa🤣🤣.

That's my take and I stand to be corrected.
 
Hiyo miezi miwili Lisu alikuwa hapa nchini na kutangazwa mgombea wa urais? Matakwa yangu hayajatekelezwa, lakini mazingira yanaruhusu kupiga kura kwa shingo upande, kwani tuna mtu jasiri anayeweza kuhimiza kudai haki yetu, sio kama lile zee kondoo toka ccm. Subiri uone Lisu akifanyiwa mizengwe kwenye huu uchaguzi, kama kuna mtu anayejitambua atapiga kura. Matakwa yangu ni mengi ndani ya nchi hii, na bado hayajatekelezwa, lakini bado nipo na ninaendelea kuyadai.

Iwe itakavyokuwa, tume hii sio huru, na itabadilika tu kwa kutokea machafuko maana uzoefu unaonyesha vyama vilivyochukua madaraka kwa mkoloni, huwa havikubali mabadiliko yanayohatarisha uwepo wao madarakani, mpaka kutokee machafuko.
Duh.. Mkuu kwahiyo Lisu ni zaidi ya tume?
 
Back
Top Bottom