Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Nyomi la Lisu uliliona jana pale dodoma?Maalim Seif ndio Zanzibar yenyewe khaaaaaaaa
Shikamoooooooo sio kwa nyomi hilo haaaaaaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyomi la Lisu uliliona jana pale dodoma?Maalim Seif ndio Zanzibar yenyewe khaaaaaaaa
Shikamoooooooo sio kwa nyomi hilo haaaaaaaaaaa
Huyo ameahidiwa viti maalumu na Chairman asiye na kikomo kwani unafikiri miguu inavunjika bila ya sababu!Hii picha ya mwisho ya msambwanda ndiyo zimejaa kwenye galary yako ?
By the way somo la divide and rule tulishafuzu kitambo.
Maalim Seif safari hii lazima atangazwe mshindi mtake msitake.
Aliyekiri hadharani kua yeye ni kichaa ni jiwe na sio Lissu.Ni kichaa pekee anaeweza kuamini kilema wa akili na mwili tindo liuso eti atakuwa raisi [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Ameahidiwa viti maalumu na mwenyekiti wa milele!Tukisema lumumba wamejaa wapuumbavu mnakuja juu! Hiyo picha ya makalio makubwa ya mwanamke umeweka hapa ili iweje?shame!
Huyo tumeshajua ni dada yako uliyeazima simu yake ili upost.Huyo ameahidiwa viti maalumu na Chairman asiye na kikomo kwani unafikiri miguu inavunjika bila ya sababu!
Kwa hili picha CCM wajiandae kukabidhi tu,wamemuibia maalimu vya kutosha
Anawakilisha wale viti maalumu wa maalumu usivunjike mguu kwenye ngazi kwanini!Huyu mataga ameazima simu ya dada yake na hiyo ni picha ya dada yake ameituma bahati mbaya.
Safi sn...... Baada ya kuwafokea unawaaanfikia na kitabu kabisa kabla ya R. I. PMalofa ni kufokewa tu,.
Miezi miwili iliyppita ulikuwa unaendesha harakati humu za kudai tume huru ya uchaguzi na kusema hakuna mpumbavu anaweza kwenda kupoteza muda wake kupiga kura chini ya hii tume!
Vipi harakati zako zimeishia wapi?
Na sasa unasema utapiga kura je, matamwa yako yametekelezwa?
Umerudi lini hapa nchini au ulitoka jela lini? Angalia isije ikawa haya unayohoji hukuwa hapa nchini, hivyo unataka usimuliwe mambo yaliyo wazi. Au unadhani tumesahau maagizo yaliyokuwa yanatolewa? Kama tatizo ni muda wa kufanya kazi? Kila siku tunamuona rais akiwa mubashara wakati wa kazi, au yeye tukimuangalia ndio kazi?
Huko Zanzibar mwinyi akae mguu pandeHatari. Haijawahi kutokea.
#ShikamooMaalimSeif
#KaziNaBata #TheFutureIsPurpleView attachment 1531806View attachment 1531807
ivi kichwan uko timam?
Leo Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bernard Membe, watapokelewa asubuhi hii na Wazanzibar wa Unguja.
Matukio mbalimbali na picha za mapokezi tutawawekea hapa.
View attachment 1531746View attachment 1531747View attachment 1531748View attachment 1531749View attachment 1531917View attachment 1531918
View attachment 1531919
View attachment 1531926
Chadema mlituita ACT kuwa ni wasaliti na puppets wa watawala. Sasa kwa hali ya Sasa, mnatuhitaji Sana kuliko tunavyowahitaji. Narudia kusema, mna chaguo moja Kati ya haya mawili. Moja, kumuunga mkono mgombea urais wa JMT ndg Benard Membe ili tukishinda Lisu awe PM. Hapa, tutaachiana majimbo na kuongezeana nguvu Wakati wa Kampeni. Hii itawasaidia mpate Wabunge wengi hence RUZUKU. Chaguo la pili ni kila chama kishinde mechi zake. Sisi tuna uhakika wa Pemba na Unguja na Mikoa ya Pwani. Faida kwetu ni kwamba, tutapata Wabunge wengi bara na Visiwani. Hii itatuwezesha kuunda kambi rasmi ya Upinzan. Hasara yake, Mgombea wetu wa Urais wa JMT hataweza kupata kura za kutosha.
#THE FUTURE IS PURPLE.
Leo Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bernard Membe, watapokelewa asubuhi hii na Wazanzibar wa Unguja.
Matukio mbalimbali na picha za mapokezi tutawawekea hapa.
View attachment 1531746View attachment 1531747View attachment 1531748View attachment 1531749View attachment 1531917View attachment 1531918
View attachment 1531919
View attachment 1531926
Hizo picha ndiyo mataga unapigia nyeto 🤣Anawakilisha wale viti maalumu wa maalumu usivunjike mguu kwenye ngazi kwanini!
Duh.. Mkuu kwahiyo Lisu ni zaidi ya tume?Hiyo miezi miwili Lisu alikuwa hapa nchini na kutangazwa mgombea wa urais? Matakwa yangu hayajatekelezwa, lakini mazingira yanaruhusu kupiga kura kwa shingo upande, kwani tuna mtu jasiri anayeweza kuhimiza kudai haki yetu, sio kama lile zee kondoo toka ccm. Subiri uone Lisu akifanyiwa mizengwe kwenye huu uchaguzi, kama kuna mtu anayejitambua atapiga kura. Matakwa yangu ni mengi ndani ya nchi hii, na bado hayajatekelezwa, lakini bado nipo na ninaendelea kuyadai.
Iwe itakavyokuwa, tume hii sio huru, na itabadilika tu kwa kutokea machafuko maana uzoefu unaonyesha vyama vilivyochukua madaraka kwa mkoloni, huwa havikubali mabadiliko yanayohatarisha uwepo wao madarakani, mpaka kutokee machafuko.