Realboynicky
Senior Member
- Mar 31, 2023
- 156
- 296
Naona baada ya kujipatia uhuru wa kimya kimya sasa wanataka waondoke na maeneo yetu ya tanganyika. Hili halikubaliki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama ni nchi moja iweje sehemu ya nchi moja imiliki kipande cha ardhi ? ukifikiria zaidi utanielewa.Tanzania ni nchi moja ya JMT, ambapo Zanzibar ni sehemu ya JMT, SMZ na Mzanzibari yoyote yuko huru kumiliki Ardhi huku kwasababu kila Mzanzibari ni Mtanzania, ana haki zote za Utanzania ikiwemo kumiliki Ardhi...
SMZ anamiliki kipande hicho kama mbutamaseko , anavyomiliki Ardhi. Hicho kipande kinachomilikiwa na SMZ, sio sehemu ya Zanzibar!, bado ni ardhi ya Tanzania inayomilikiwa na Zanzibar, kama tulivyo Ardhi Rwanda, Burundi na DRC pale Rusumo.kama ni nchi moja iweje sehemu ya nchi moja imiliki kipande cha ardhi ? ukifikiria zaidi utanielewa.
Nili type vibaya hiyo 100Si kweli ni kilomita 100!, ni 10 miles za coastal stripe, na lilinunuliwa na Wajerumani na Waingereza mwaka 1890 kupitia mkataba wa Hellingoland au The Zanzibar Treaty na sio 1900!.
P
basi sawaSMZ anamiliki kipande hicho kama mbutamaseko , anavyomiliki Ardhi. Hicho kipande kinachomilikiwa na SMZ, sio sehemu ya Zanzibar!, bado ni ardhi ya Tanzania inayomilikiwa na Zanzibar, kama tulivyo Ardhi Rwanda, Burundi na DRC pale Rusumo.
P.
Hilo eneo mbona hao smz wanalo zamani toka enzi ya nyerereAt all costas hii haitakubalika kamwe kwa watanganyika. Kuna tetesi kuwa mnatayarisha hati kuligawa liwe mali ya zanzibar. Impossible!
Hamna chenu tena nyie vijibwa! subirini bandari mlizouza kwa hongo! muone!Leo nimekutana na clip ya Chars Hilary akiongea akitanabaisha kuwa kuna hekta elf 6 wilayani Bagamoyo ni mali ya serikali ya Zanzibar na mtu kutoka bara haruhusiwi kufanya shughuli za aina yoyote ndani ya ardhi hiyo kwani sio mali ya serikali ya Tanzania bara.
Jambo hili limenisikitisha sana and sijajua inakuwaje wazanzibari wawe na ardhi yao Tanganyika wakati mtanganyika ukifika Zanzibar ni sawa umeenda Kenya tu.
=======
Msemaji wa Serikali ya Zanzibari, Charles Hillary amesema Shamba la Zaba lililoko Makurunge wilayani Bagamoyo ni mali ya Serikali ya Zanzibar hakuna mtu anayeruhusiwa kufanya shughuli yoyote eneo hilo.
Msemaji amesema Zanzibar imemiliki eneo hilo lenye ukubwa wa hekta 6000 tangu mwaka 1977. Na amesema yoyete atakayeuziwa eneo katika ardhi hiyo hatalipwa fidia.
Pia soma: Zanzibar ndani ya Tanganyika ilianzia huku na 4,000 Coast villagers face land loss to investor
Waliipataje? Tanganyika ina eneo zanzibar?Hilo eneo mbona hao smz wanalo zamani toka enzi ya nyerere
sasa litawezekana unadhani sasa kuna mtnganyika anamtaka samia? Unadhani majshi wanaridhika na haya ya kuwauza kwa waarabu?Hilo eneo mbona hao smz wanalo zamani toka enzi ya nyerere
Walipewa na baba yenu wa taifaWaliipataje? Tanganyika ina eneo zanzibar?
Hawana chao vipi na hilo eneo la makurunge wanalo na wanalitumiaHamna chenu tena nyie vijibwa! subirini bandari mlizouza kwa hongo! muone!
Hayo ni mawazo yako una haki ya kuwaza unachohisi kiko sawasasa litawezekana unadhani sasa kuna mtnganyika anamtaka samia? Unadhani majshi wanaridhika na haya ya kuwauza kwa waarabu?
Wewe ni wa dini yake hivyo huambiwi lolote, huwezi kufikiri kwa sababu ubongo umefungwa na uzanzibari. Unadhani hawa hawaoni kuwa wanauzwa na mabunduki yao? Unadhani wanafurahia kuuzwa bandari. It is a matter of time.... common sense and intuition point to that directionHayo ni mawazo yako una haki ya kuwaza unachohisi kiko sawa