Naona baada ya kujipatia uhuru wa kimya kimya sasa wanataka waondoke na maeneo yetu ya tanganyika. Hili halikubaliki
 
Wenzetu walituotea.

Wakati tume relax na muungano wao wanaandaa ramani.

Tumeliwa.
 
Muungano wa TANGANYIKA na ZANZIBAR ni sawa na kuwa kwenye MAHUSIANO ambayo wewe mwenyew hujui yanahusiana nn🤣🤣
 
Yaani matakwa ya mtu binafsi ya nyerere yanatutesa hadi leo.angekuwepo wtz tungemcharaza fimbo kabisa kama sisi tunavyosumbuliwa huko kwenye hilo eneo.
 
Tanzania ni nchi moja ya JMT, ambapo Zanzibar ni sehemu ya JMT, SMZ na Mzanzibari yoyote yuko huru kumiliki Ardhi huku kwasababu kila Mzanzibari ni Mtanzania, ana haki zote za Utanzania ikiwemo kumiliki Ardhi...
kama ni nchi moja iweje sehemu ya nchi moja imiliki kipande cha ardhi ? ukifikiria zaidi utanielewa.
 
kama ni nchi moja iweje sehemu ya nchi moja imiliki kipande cha ardhi ? ukifikiria zaidi utanielewa.
SMZ anamiliki kipande hicho kama mbutamaseko , anavyomiliki Ardhi. Hicho kipande kinachomilikiwa na SMZ, sio sehemu ya Zanzibar!, bado ni ardhi ya Tanzania inayomilikiwa na Zanzibar, kama tulivyo Ardhi Rwanda, Burundi na DRC pale Rusumo.
P.
 
Chokochoko kama za Malawi hizo... Kivipi nchi Moja inagombania maeneo? Au sisi sio nchi Moja? Ni mwunganiko wa nchi Moja ndogoooo na lieneo lingine lisilonchi lipolipo!?
 
Si kweli ni kilomita 100!, ni 10 miles za coastal stripe, na lilinunuliwa na Wajerumani na Waingereza mwaka 1890 kupitia mkataba wa Hellingoland au The Zanzibar Treaty na sio 1900!.
P
Nili type vibaya hiyo 100
 
Bandari inakodishwa, Zanzibar wanakuja na hoja eneo la Fukayose ni Mali Yao. Maana yake nini Kwa waliosoma Afghanistan
 
Mlipoambiwa kuna siku nchi itapigwa mnada na aliyesema akalazimishwa kujiuzulu unadhani ilikuwa bongo movie?
"Ipo siku mtanikumbuka, na najua mtanikumbuka kwa mazuri"
 
At all costas hii haitakubalika kamwe kwa watanganyika. Kuna tetesi kuwa mnatayarisha hati kuligawa liwe mali ya zanzibar. Impossible!
 
At all costas hii haitakubalika kamwe kwa watanganyika. Kuna tetesi kuwa mnatayarisha hati kuligawa liwe mali ya zanzibar. Impossible!
Hilo eneo mbona hao smz wanalo zamani toka enzi ya nyerere
 
Hamna chenu tena nyie vijibwa! subirini bandari mlizouza kwa hongo! muone!
 
Hilo eneo mbona hao smz wanalo zamani toka enzi ya nyerere
sasa litawezekana unadhani sasa kuna mtnganyika anamtaka samia? Unadhani majshi wanaridhika na haya ya kuwauza kwa waarabu?
 
Hayo ni mawazo yako una haki ya kuwaza unachohisi kiko sawa
Wewe ni wa dini yake hivyo huambiwi lolote, huwezi kufikiri kwa sababu ubongo umefungwa na uzanzibari. Unadhani hawa hawaoni kuwa wanauzwa na mabunduki yao? Unadhani wanafurahia kuuzwa bandari. It is a matter of time.... common sense and intuition point to that direction
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…