Binafsi mpaka mda huu ,nimebaki nimepigwa na butwaa sana , kwamba tunadanganya sisi ni nchi moja ya jmt, kumbe yeye hatambui iyo tangu lini shamba moja kama familia mnalimiliki alafu mmoja wa wanafamilia anaibubuka kwamba nina kipande ndani ya shamba husika ambacho alikinunua, huu ni uhuni, hatukuyasikia katika awam zote zilizopiata , ila tuseme kila jambo hutokea kwa sababu,Ni mwananchi au pia serikali ya Tanganyika?
Tangu nimezaliwa sikuwahi kufahamu jambo hilo kwamba Zanzibar ina maeneo yake Bagamoyo huko Razaba,
Ni sababu zipi Zanzibar imeamua kulitangaza eneo lake leo?
Kumetokea nini? Na Je! Historia inasemaje?
Kwa nini serikali zetu hazikuwahi kuweka wazi mambo hayo tangu awali ili wananchi waelewe?
Kama ipo historia ya jambo hilo na kwamba Zanzibar inamiliki eneo nje ya kisiwa chake, hapo ikoje na ilikuwaje?
Kwa nini isiwe Bagamoyo yote kuwa ni sehemu ya Zanzibar
Tangazo ni la umma kwa wote.Ni mwananchi au pia serikali ya Tanganyika?
Ni kutokujua tuu, ni kweli Zanzibar ina eneo lililokuwa Ranchi ya Makurunge.Tangu nimezaliwa sikuwahi kufahamu jambo hilo kwamba Zanzibar ina maeneo yake Bagamoyo huko Razaba,
Limevamiwa na wenyeji na watu wameuziwaNi sababu zipi Zanzibar imeamua kulitangaza eneo lake leo?
Kumetokea nini? Na Je! Historia inasemaje?
Sio kazi ya serikali kusema maeneo ya watu, ni jukumu la mmiliki kusema eneo lake na likivamiwa ana wajibu wa kuripoti sehemu husika ili hatua zichukuliwe.Kwa nini serikali zetu hazikuwahi kuweka wazi mambo hayo tangu awali ili wananchi waelewe?
Iko poa tuu ni kama mtu yoyote kumiliki eneo popote. Huu ni umiliki tuu na eneo hilo ni mali ya Zanzibar, lakini sio sehemu ya Zanzibar. Ni eneo la JMT linalomilikiwa na SMZ.Kama ipo historia ya jambo hilo na kwamba Zanzibar inamiliki eneo nje ya kisiwa chake, hapo ikoje na ilikuwaje?.
Kwa mujibu wa historia, eneo lote la maili 10 ya Pwani yote ya Africa Mashariki lilikuwa milki ya Sultan of Zanzibar.Kwa nini isiwe Bagamoyo yote kuwa ni sehemu ya Zanzibar
Ni upumbavu mkubwaNi mwananchi au pia serikali ya Tanganyika?
Tangu nimezaliwa sikuwahi kufahamu jambo hilo kwamba Zanzibar ina maeneo yake Bagamoyo huko Razaba,
Ni sababu zipi Zanzibar imeamua kulitangaza eneo lake leo?
Kumetokea nini? Na Je! Historia inasemaje?
Kwa nini serikali zetu hazikuwahi kuweka wazi mambo hayo tangu awali ili wananchi waelewe?
Kama ipo historia ya jambo hilo na kwamba Zanzibar inamiliki eneo nje ya kisiwa chake, hapo ikoje na ilikuwaje?
Kwa nini isiwe Bagamoyo yote kuwa ni sehemu ya Zanzibar
Tutamrudisha Samia kwenu 2025 acheni ulevi.Ni mwananchi au pia serikali ya Tanganyika?
Tangu nimezaliwa sikuwahi kufahamu jambo hilo kwamba Zanzibar ina maeneo yake Bagamoyo huko Razaba,
Ni sababu zipi Zanzibar imeamua kulitangaza eneo lake leo?
Kumetokea nini? Na Je! Historia inasemaje?
Kwa nini serikali zetu hazikuwahi kuweka wazi mambo hayo tangu awali ili wananchi waelewe?
Kama ipo historia ya jambo hilo na kwamba Zanzibar inamiliki eneo nje ya kisiwa chake, hapo ikoje na ilikuwaje?
Kwa nini isiwe Bagamoyo yote kuwa ni sehemu ya Zanzibar
Mbona watu mna kuwa na mihemko isiyokuwa na maana..? Sikia haya: Ubalozi wa Vatican umeonya watu wanao vamia kiwanja chao Dodoma: Kanisa Katoliki limemega eka 10 na kujenga nyumba kutoka kwenye shamba lao lenye eka elfu sita!Ni mwananchi au pia serikali ya Tanganyika?
Tangu nimezaliwa sikuwahi kufahamu jambo hilo kwamba Zanzibar ina maeneo yake Bagamoyo huko Razaba,
Ni sababu zipi Zanzibar imeamua kulitangaza eneo lake leo?
Kumetokea nini? Na Je! Historia inasemaje?
Kwa nini serikali zetu hazikuwahi kuweka wazi mambo hayo tangu awali ili wananchi waelewe?
Kama ipo historia ya jambo hilo na kwamba Zanzibar inamiliki eneo nje ya kisiwa chake, hapo ikoje na ilikuwaje?
Kwa nini isiwe Bagamoyo yote kuwa ni sehemu ya Zanzibar
wacha uongo wewe mimi jirani yangu ni mkristo tena wa bara, unadhani hiyo ardhi alipewa na serikali?Nchi hii Ina mambo mengi sana,huu Muungano unawanufaisha sana hawa jamaa,we nenda sasa zenji ukatafute hata 20x20 uone masheha wanavyokukimbiza,huyooo si nzawaaa,wakuja huyooo..... lakini huku wanajiachia tu
Tanganyika inaimiliki ZanzibarSio vibaya kujua. Tanganyika inamiliki kitu gani kule Zanzibar?
nadhani hii ndio hoja sasaKuna watu wamenunua viwanja hapo[emoji28]