Zanzibar imemtangazia nani kwamba ina maeneo yake Bagamoyo?

Zanzibar imemtangazia nani kwamba ina maeneo yake Bagamoyo?

Kuna watu wametapeliwa hela kubwa sana katika hipo eneo. Cha kushangaza hadi kanisa ni miongoni mwa waliotapeli waumini wao. Baada kuvuja skendo ya kanisa ndio limekuja hilo tangazo.
Kama ulikuwa hujui hii ndio sababu.
Fafanua mkuu, ni kivipi kanisa limetapeli waamini wake chief, au kanisa ndo limetapeliwa
 
Watanganyika msichokijua kuhusu ZANZIBAR ni kwamba mwambao wenu wote ulikua chini ya mamlaka ya ZANZIBAR pamoja na pwani ya Mombasa ZANZIBAR kilikua Dola KUBWA kwati nyinyi mkiishi misituni
Kuhusu Ardhi inayodaiwa kumilikiwa na ZANZIBAR ni Ardhi iliyonunuliwa na Serikali yetu TOKA enzi za Aboud Jumbe Mwinyi na mpaka SASA ZANZIBAR ndio mmiliki WA Ardhi hiyoo
Nani alisema hayo mambo, Mwarabu? Mjerumani? Tanganyika ni nchi huru mambo ya ukoloni hatuyataki. Suktani alishafurushwa akaenda zake, Zanzibar iwe huru imrudishe waishi. CCM haitaki hilo, na hili la ardhi CCM itaitetea Zanzibar ili tu iendelee kuitawala. Ndio maana Wazanzibar wanafanywa mazezeta, elimu ziro, wanasisitiziwa dini tu, japo nalo ni tatizo kubwa mbeleni
 
Ni mwananchi au pia serikali ya Tanganyika?

Tangu nimezaliwa sikuwahi kufahamu achilia mbali kufahamu, hata ile kusikia tu jambo hilo kwamba Zanzibar ina maeneo yake Bagamoyo huko Razaba,

Ni sababu zipi Zanzibar imeamua kulitangaza eneo lake leo?

Kumetokea nini? Na Je! Historia inasemaje?

Kwa nini serikali zetu hazikuwahi kuweka wazi mambo hayo tangu awali ili wananchi waelewe?

Kama ipo historia ya jambo hilo na kwamba Zanzibar inamiliki eneo nje ya kisiwa chake, hapo ikoje na ilikuwaje?

Kwa nini isiwe Bagamoyo yote kuwa ni sehemu ya Zanzibar
wewe huenda ukawa mdogo.
kuna shamba la miti ya mipira
kuna eneo lakuweka wanyama wanaotaka kuletwa Zanzibar
Hili eno ni kubwa natangu wakati wa Awamu ya kwanza.

Sasa kuna watu wamelivamia ndio likatoka tangazo hilo.
vipi zanzibar wamepata eneo hilo lifanyieni kazi. kama ni moja ya makubaliano ya muungano au walinunuwa.
 
wewe huenda ukawa mdogo.
kuna shamba la miti ya mipira
kuna eneo lakuweka wanyama wanaotaka kuletwa Zanzibar
Hili eno ni kubwa natangu wakati wa Awamu ya kwanza.

Sasa kuna watu wamelivamia ndio likatoka tangazo hilo.
vipi zanzibar wamepata eneo hilo lifanyieni kazi. kama ni moja ya makubaliano ya muungano au walinunuwa.
Walilipataje mkuu, maana eneo lenyewe lipo bara
 
Kwani sheria zinasemaje kuhusu mda wa kuendeleza eneo unalomiliki
Tangu mda wa manunuzi mpaka ni miaka mingapi na mmiliki wa eneo alikuwa wapi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom