Zanzibar imemtangazia nani kwamba ina maeneo yake Bagamoyo?

wacha uongo wewe mimi jirani yangu ni mkristo tena wa bara, unadhani hiyo ardhi alipewa na serikali?

Tena amejenga nyumba na bonge la fensi. N kama mita mia tano umbali kutoka kwangu pia wamejenga kanisa na kila jumapili wanakwenda kuimba pale.
😀😀😀Mtanzania bara anaruhusiwa kumiliki ardhi Zanzibar? Tangu lini
 
Ni mwananchi au pia serikali ya Tanganyika?

Tangu nimezaliwa sikuwahi kufahamu jambo hilo kwamba Zanzibar ina maeneo yake Bagamoyo huko Razaba,

Ni sababu zipi Zanzibar imeamua kulitangaza eneo lake leo?

Kumetokea nini? Na Je! Historia inasemaje?

Kwa nini serikali zetu hazikuwahi kuweka wazi mambo hayo tangu awali ili wananchi waelewe?

Kama ipo historia ya jambo hilo na kwamba Zanzibar inamiliki eneo nje ya kisiwa chake, hapo ikoje na ilikuwaje?

Kwa nini isiwe Bagamoyo yote kuwa ni sehemu ya Zanzibar
Zanzibar ina eneo kubwa Tanganyika kuliko ukubwa wa visiwa vyenyewe! Of course hii sio issue kwani hata UK ilikuwa hivyo those days.

Kule Tanga nadhani pia wana mbuga kubwa sana kama ranchi wapate nyama.
 
Huyo Mama ndio anawapa muongozo na ndiye anayewalinda imebaki miaka 7 tu naye ataenda zake.
 
Tangazo ni la umma kwa wote.

Ni kutokujua tuu, ni kweli Zanzibar ina eneo lililokuwa Ranchi ya Makurunge.

Limevamiwa na wenyeji na watu wameuziwa

Sio kazi ya serikali kusema maeneo ya watu, ni jukumu la mmiliki kusema eneo lake na likivamiwa ana wajibu wa kuripoti sehemu husika ili hatua zichukuliwe.

Iko poa tuu ni kama mtu yoyote kumiliki eneo popote. Huu ni umiliki tuu na eneo hilo ni mali ya Zanzibar, lakini sio sehemu ya Zanzibar. Ni eneo la JMT linalomilikiwa na SMZ.

Kwa mujibu wa historia, eneo lote la maili 10 ya Pwani yote ya Africa Mashariki lilikuwa milki ya Sultan of Zanzibar.
P
Wewe Pascal Mayala umetumwa na mabeberu nini? Usitufanye wote humu wajinga! Kukunyamazia usijifanye mjuaji! Mipaka ya Tanganyika inajulikana kijiografia ikiwemo eneo loote la bagmoyo! Zanzibar inamiliki ardhi ya unguja, pemba, na mafia kama visiwa!
 
Ni mwananchi au pia serikali ya Tanganyika?

Tangu nimezaliwa sikuwahi kufahamu jambo hilo kwamba Zanzibar ina maeneo yake Bagamoyo huko Razaba,

Ni sababu zipi Zanzibar imeamua kulitangaza eneo lake leo?

Kumetokea nini? Na Je! Historia inasemaje?

Kwa nini serikali zetu hazikuwahi kuweka wazi mambo hayo tangu awali ili wananchi waelewe?

Kama ipo historia ya jambo hilo na kwamba Zanzibar inamiliki eneo nje ya kisiwa chake, hapo ikoje na ilikuwaje?

Kwa nini isiwe Bagamoyo yote kuwa ni sehemu ya Zanzibar

Kulikoni?
 
Nchi hii Ina mambo mengi sana,huu Muungano unawanufaisha sana hawa jamaa,we nenda sasa zenji ukatafute hata 20x20 uone masheha wanavyokukimbiza,huyooo si nzawaaa,wakuja huyooo..... lakini huku wanajiachia tu
Ningependa hata jesh lichukue nchi huyu bibi akae pemben kwa kwil
 
Nchi hii Ina mambo mengi sana,huu Muungano unawanufaisha sana hawa jamaa,we nenda sasa zenji ukatafute hata 20x20 uone masheha wanavyokukimbiza,huyooo si nzawaaa,wakuja huyooo..... lakini huku wanajiachia tu
Watanganyika msichokijua kuhusu ZANZIBAR ni kwamba mwambao wenu wote ulikua chini ya mamlaka ya ZANZIBAR pamoja na pwani ya Mombasa ZANZIBAR kilikua Dola KUBWA kwati nyinyi mkiishi misituni
Kuhusu Ardhi inayodaiwa kumilikiwa na ZANZIBAR ni Ardhi iliyonunuliwa na Serikali yetu TOKA enzi za Aboud Jumbe Mwinyi na mpaka SASA ZANZIBAR ndio mmiliki WA Ardhi hiyoo
 
Ni mali yao wazanzibar walipewa zawadi na hayati Mwalimu Nyerere,ilikua inaitwa Razaba Makurunge Ranch ,Alitaka kuwarahisishia wa zanzibar mifugo yote inayotoka Tabora, shinyanga na mikoa mingine ilikua inafikia hapo kabla ya kwenda zanzibar...
 
Watanganyika msichokijua kuhusu ZANZIBAR ni kwamba mwambao wenu wote ulikua chini ya mamlaka ya ZANZIBAR pamoja na pwani ya Mombasa ZANZIBAR kilikua Dola KUBWA kwati nyinyi mkiishi misituni
Kuhusu Ardhi inayodaiwa kumilikiwa na ZANZIBAR ni Ardhi iliyonunuliwa na Serikali yetu TOKA enzi za Aboud Jumbe Mwinyi na mpaka SASA ZANZIBAR ndio mmiliki WA Ardhi hiyoo
We sh-oga kwani hujui hii Zanzibar walikaa Wareno miaka 400? Muomani miaka 150? Serikali ya nyie nyani wenye asili ya Congo mlioletwa na Tiptip na kutelekezwa kwa ubovu, japo hamuna shukran kwa Oscar Kambona aliewakomboa, miaka 50?
Sasa nani mwenye visiwani? Mreno
(Povu hadi maji toa tu)
 
Watanganyika msichokijua kuhusu ZANZIBAR ni kwamba mwambao wenu wote ulikua chini ya mamlaka ya ZANZIBAR pamoja na pwani ya Mombasa ZANZIBAR kilikua Dola KUBWA kwati nyinyi mkiishi misituni
Kuhusu Ardhi inayodaiwa kumilikiwa na ZANZIBAR ni Ardhi iliyonunuliwa na Serikali yetu TOKA enzi za Aboud Jumbe Mwinyi na mpaka SASA ZANZIBAR ndio mmiliki WA Ardhi hiyoo
Sisi wabantu tukiishi mstuni?????? Na nani alimpa mwarabu haki ya kumiliki ardhi ya wabantu??
 
Sultan wa kwanza aliletwa akiwa ni mfanyakazi wa Ubalozi Wangereza Bombay, akaletwa mwaka 1836 ajifanye Mfalme wa East Africa yote halafu aingie mkataba na Wangereza kuwapa utawala. Waingereza walifanya hivyo ili kuwazuia Wafaransa tu kuwa eti wana mkataba na Chifu ( wa kuchonga)
 
Huyo Mama ndio anawapa muongozo na ndiye anayewalinda imebaki miaka 7 tu naye ataenda zake.
Nasikia bara kwa uoga huko mmesaini kuwa hadi visiwa vilivyoka kusini mwa DSM kwamba mmeridhia kuwa ni vya Zanzibar. Hahaha hivyo tukipigana bara haina bahari. Tafuta Fungu Mbaraka (Latham) sasahivi vinaitwa Fungu Kizimkazi hahaha
 
Sultan wa kwanza aliletwa akiwa ni mfanyakazi wa Ubalozi Wangereza Bombay, akaletwa mwaka 1836 ajifanye Mfalme wa East Africa yote halafu aingie mkataba na Wangereza kuwapa utawala. Waingereza walifanya hivyo ili kuwazuia Wafaransa tu kuwa eti wana mkataba na Chifu ( wa kuchonga)
Mkuu acha porojo...Wakulungwa tunakuchora tu
 
Nasikia bara kwa uoga huko mmesaini kuwa hadi visiwa vilivyoka kusini mwa DSM kwamba mmeridhia kuwa ni vya Zanzibar. Hahaha hivyo tukipigana bara haina bahari. Tafuta Fungu Mbaraka (Latham) sasahivi vinaitwa Fungu Kizimkazi hahaha
Mkuu kumbe unaishi kwa kusikia?????? Vp asili yako ni wale watumwa wa waarabu au???
 
Back
Top Bottom