Zanzibar imemtangazia nani kwamba ina maeneo yake Bagamoyo?

Kuna watu wametapeliwa hela kubwa sana katika hipo eneo. Cha kushangaza hadi kanisa ni miongoni mwa waliotapeli waumini wao. Baada kuvuja skendo ya kanisa ndio limekuja hilo tangazo.
Kama ulikuwa hujui hii ndio sababu.
Fafanua mkuu, ni kivipi kanisa limetapeli waamini wake chief, au kanisa ndo limetapeliwa
 
Nani alisema hayo mambo, Mwarabu? Mjerumani? Tanganyika ni nchi huru mambo ya ukoloni hatuyataki. Suktani alishafurushwa akaenda zake, Zanzibar iwe huru imrudishe waishi. CCM haitaki hilo, na hili la ardhi CCM itaitetea Zanzibar ili tu iendelee kuitawala. Ndio maana Wazanzibar wanafanywa mazezeta, elimu ziro, wanasisitiziwa dini tu, japo nalo ni tatizo kubwa mbeleni
 
wewe huenda ukawa mdogo.
kuna shamba la miti ya mipira
kuna eneo lakuweka wanyama wanaotaka kuletwa Zanzibar
Hili eno ni kubwa natangu wakati wa Awamu ya kwanza.

Sasa kuna watu wamelivamia ndio likatoka tangazo hilo.
vipi zanzibar wamepata eneo hilo lifanyieni kazi. kama ni moja ya makubaliano ya muungano au walinunuwa.
 
Walilipataje mkuu, maana eneo lenyewe lipo bara
 
Kwani sheria zinasemaje kuhusu mda wa kuendeleza eneo unalomiliki
Tangu mda wa manunuzi mpaka ni miaka mingapi na mmiliki wa eneo alikuwa wapi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…