Priorities, and more priorities! Mambo kama haya wala yasingekuwa issue kama tungekuwa na strategic plannings.
Ukiwa na strategic planning utajuwa ni kipi kifanyike wakati gani na kwanini, sisi tuko tuko tu, na matokeo yake pamoja na mengine ndo haya.
Wacha masikhara bana! Tutatoaje namba hapa wakati tunazungumzia wazo la kufanya hivyo kwa ujumla? Hayo ya namba, idadi, na mengineyo yanakuja baada ya kuamua.
Sasa hapa unataka uambiwe kuwa kuli-maintain litachukua wahandisi 50 wenye at least Bsc. in Civil Engineering, 30 wenye Msc. in Construction Engineering, etc.? Come on now...
Planning is prioritization, sasa kama hujaonyesha priority ya mradi huu ambao haupo wakati tunaona serikali inashindwa kulipa walimu timely, kwa nini tuongeze mzigo wakati huu tulionao unatuelemea?
It's not like tusipojenga daraja Zanzibar hakuendeki. The way you guys are stressing this you would think daraja ndio njia pekee ya kwenda Zanzibar.
Nimeomba hesabu za kuonyesha justification, tukijenga daraja tutaongeza uchumi kivipi? Isije kuwa daraja likaja kuwa a white elephant project.
Kimsingi kama mtu huna background ya engineering, wala huna input ya watu wenye background hiyo, kupendekeza mradi kama huu ni kitu cha hatari.
JFK alikuwa mhandisi wa maroketi ya kwenda angani?
Hahahaha, unanichekesha.
Kwa hiyo unaamua unanunua gari fulani kabla ya kujua gari linauzwa kiasi gani? Ukikuta huna hicho kiasi uamuzi wako utakuwaje sasa?
kwangu mimi unaangalia gharama kabla ya kuamua kununua. Ukiamua unafanya "an informed decision". Sio unaamua tu halafu unatumaini kwamba budget itatosha.
Kama huwezi kutoa hata an approximation ya maintenance plan huna haki ya kupendekeza lijengwe, utakuwa ushabiki usiokuwa informed.
Honestly, haya mengine tunashindwa kwa ajili ya uzembe, uongozi mbovu, na upuuzi puuzi mwingine kama huo. Nakataa kabisa kuwa eti serikali yetu inashindwa kuwalipa walimu kwa sababu ya kukosa "uwezo".
Hivi umewahi kusikia mawaziri na raisi mishahara yao imechelewa kulipwa?
That's not it at all.
Nina shaka sana kama daraja kama hilo linaweza kuwa a white elephant. Sasa hivi watu walio wengi wanatumia usafiri wa maji kwa sababu tu hawana option nyingine ambayo ni nafuu zaidi.
Diven the option between driving, sailing, and flying, I believe many people would chose driving.
Na njia mojawapo ya kukusanya mapato ni kuwa na toll gates.
JFK alipata input ya watu wenye ujuzi wa astrophysics, hakuibuka tu kusema "tunataka kwenda mwezini" kama kichaa mwenye ambition.
One thing I don't want to people to get me wrong.
Siko against kujenga daraja, inawezekana kujenga daraja kuko technically feasible, economically desirable and politically sensible.
Lakini kabla ya kukubali kujenga daraja inabidi tujue hivyo kwanza.
Ndiyo maana nasema uamuzi wa kukubali au kukataa hili daraja itabidi uende na details. Bila details mna "fly blind" na mkigonga "white elephant" button mnaingiza vizazi 10-20 vijavyo kwenye deni kama mkataba wa IPTL.
[h=2]Future of TAZARA[/h]In 2005 the governments of Tanzania and Zambia agreed to privatize TAZARA due to a serious fall in traffic from 1.2mT in 1990 to 630kT in 2003 and a need for $25m worth of locomotive repairs.
Officials of the governments opened meetings on April 20, 2006. While the method of privatization was not determined at that time, officials stated that Chinese interests may be given priority due to their previous involvement in the railway.[SUP][13][/SUP] As of October 2008, a Tanzanian newspaper described the railway's condition as being "on the verge of collapse due to financial crisis", with the company being three months late on paying worker's wages and most of its 12 locomotives being out of service.[SUP][14][/SUP]
At the beginning of 2010 the Chinese government has given the financially crippled Tanzania-Zambia Railways Authority (TAZARA) US$39 million interest-free loan to revive its operations.[SUP][15][/SUP][SUP][16][/SUP]
Ahaaa...sasa angalau nimekuelewa. Ila kumbuka kuwa hapa hatujadili jambo ambalo limekwisha fanyiwa uamuzi. Kama tungekuwa tunajadili jambo ambalo limekwisha fanyiwa uamuzi basi hayo maswali yako (ambayo hata mimi ninayo) yangehusika zaidi.
Ni lazima tuwe na namba flani bana, at least mseme project inaweza ku cost so and so tzs trillions.
Mnaweza kuanzia na gharama za wachina, halafu muweke factors za distance(mfano la wachina ni km 42) na limecost so and so amount of money.Na la kwetu litakuwa na distance gani?Kuna distance gani kutoka Zanzibar hadi Dar?
Na pia la muhimu ni availability ya all that is needed to have a viable project.
So what are you implying here....that the pro-bridge brigade here (in JF) can't even bring up the idea?
Huwezi kuona namba hapa, kwanza hesabu ni ugonjwa wa taifa, pili Tanzania ni nchi ya "No Data Available" hata hiyo serikali yenyewe huenda haijui kina cha hiyo channel inayotenganisha Bara na Zanzibar.
Watu wanataka kujenga daraja!
Watu wanaleta ushairi katika an engineering project, hamna hata makadirio ya science fiction za Dr. Asimov anayeweza kukuambia idadi ya atom katika solar system au Drake equation inayoweza kukuambika formula ya kupata intelligent beings in a galaxy?
Hatari!
Halafu kesho utasikia watu hao hao wanawashambulia viongozi wetu kwa kufanya maamuzi ya kitaalamu kwa kutumia siasa tu.
Sasa tofauti yao hawa na hao viongozi wetu ni nini?
data zipo, watafuta mafuta hawa wana data kibao: http://www.tpdc-tz.com/Activity_Map_2012.pdf