DOKEZO Responded Zanzibar iungwe na Bara kwa Daraja - Wazo Jipya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

To plan is to choose.

And you can't choose if you don't have specifics.

Which is exactly my point here. How are you going to choose this bridge over an extension of the Mpanda rail to Mbeya if you don't have the specifics?

Vipi kama reli ya Mpanda kuunganishwa na TAZARA Mbeya kunaweza kuiunganisha nchi yetu vizuri zaidi, kwa gharama ndogo zaidi, kuwapa fursa wananchi wengi zaidi kujenga uchumi kwa manufaa zaidi na kui rejuvenate TAZARA iende kiuchumi zaidi?
 
Granted,

But how many engineers do you need for this project? And for how long?

mwanakijiji kashakueleza hiyo siyo kazi yetu, kuna watu wameajiriwa kufanya hizo projections na feasibility studies - na hatuhitaji kureinvent the wheel, kuna success stories na ongoing constructions kibao kama hizi, we can learn from them: List of longest bridges in the world - Wikipedia, the free encyclopedia

pia kwa kuwa tunaendekezwa kujengewa vitu na wachina basi tunaweza kuwaita wajenge pia!

ps. daraja la umoja umeliona?
 
Hahaha, unachekesha.

You shoot first, ask questions later. You gotta problem with that, talk to my lawyer.

Ndicho unachosema hapa.

Kuna kesi nyingine zimepinda mpaka lawyer anakukimbia.

Siyo una shoot tu bila kuangalia escape route.

Kama huna specifics, hata anecdotal, huna haki ya kupendekeza.

Unaweza kupendekeza kitu kitakachotufilisi.
 
To plan is to choose.

And you can't choose if you don't have specifics.

Which is exactly my point here. How are you going to choose this bridge over an extension of the Mpanda rail to Mbeya if you don't have the specifics?

Vipi kama reli ya Mpanda kuunganishwa na TAZARA Mbeya kunaweza kuiunganisha nchi yetu vizuri zaidi, kwa gharama ndogo zaidi, kuwapa fursa wananchi wengi zaidi kujenga uchumi kwa manufaa zaidi na kui rejuvenate TAZARA iende kiuchumi zaidi?

hapa hatuko kwenye mutual exclusivity - we need both reli na madaraja; majuzi nimeonyeshwa picha ya reli duniani toka enzi za ukoloni na jinsi zilivyosaidia kukuza uchumi, maendeleo na teknolojia nikasikitika sana maana afrika mistari ilikuwa michache na bado ni michache sana, ngoja niitafute hiyo picha.

if we are bold enough IN A GENERATION tanzania itazungukwa na reli, barabarara na madaraja kibao.
 
bila kuongeza weusi huu katika ramani ya tanzania na afrika kwa ujumla ili kuwezesha movement of people, goods, ideas kwa kasi ya ajabu basi bado safari ya maendeleo itakuwa ni ndefu sana tena ya kupiga hatua moja mbele,hatua mbili nyuma: http://bioval.jrc.ec.europa.eu/products/gam/images/large/railways.png
 
Sawa hatuko katika mutual exclusivity tunahitaji reli na daraja, hili linaweza kuwa kweli kabisa.

Lakini vile vile hatuna unlimited resources, kwa hiyo ingawa tunaweza kuwa tunahitaji reli na daraja, inabidi tuamue kipi tunahitaji zaidi.

Baba anaweza kuona anahitaji televisheni mpya na uhakika wa chakula kwa mwaka. Kweli anahitaji vyote.

Lakini ukweli kwamba anahitaji vyote haumaanishi kwamba anaweza kupata vyote kwa mpigo. Anaweza kufikia sehemu ya kuamua anunue televisheni mpya na kuacha kuwa na uhakika wa chakula kwa mwaka mzima, au awe na uhakika wa chakula mwaka mzima, lakini asinunue televisheni.

Tusiandike hapa kama vile tuna unlimited resources.
 
Granted hakuna lisilowezekana tukiamua, tunaweza hata kujenga kinu cha energy cha kufua "dark matter".

Tatizo, tunaamua vipi bila ya kuwa na details?

ukishaamua unakusanya details - hivi ukiamua kuchumbia mpaka uwe na details za size n.k?
 
Kwa hiyo kama kuna watendaji wazembe wa serikali wenye influence wanasoma mawazo ya watu humu na kuyachukua, wewe hutatoa upinzani kwa project kama hii?

Ukisoma kichwa cha mada utaona kinasema "wazo jipya". Ujenzi wa daraja kama wazo jipya nauunga mkono. Sasa hii haina maana kwamba nitakubaliana na kila detail ya hiyo project kama kweli ikija ku materialize na vile vile sitapinga tu ili mradi nami nionekane nimepinga hata kama sina cha kupinga. So, overall I like the idea. It's a bold one and we as a nation are not used to ideas like that.

Waje waone kuwa Watanzania wengi wanataka hiki kitu, waamue kukifanyia kazi, wakitangaze, ndipo uanze kuuliza maswali?

Kama nilivyosema, wazo nimelipenda. Maswali yataulizwa kabla na baada.

What's the point of the opposition then and not now? If then, why not now?

As far as I'm concerned asking pertinent questions is not opposition, or is it? Wewe mwenyewe umesema "Siko against kujenga daraja" na ukaongeza "inawezekana kujenga daraja kuko technically feasible, economically desirable and politically sensible."

Ukasema pia "Lakini kabla ya kukubali kujenga daraja inabidi tujue hivyo kwanza", hapa ukimaanisha maswali uliyouliza. Kwa hiyo sioni ubaya wowote wa kuuliza maswali na kimsingi umesema mwenyewe hauko agaisnt kujengwa kwa daraja.
 
bila kuongeza weusi huu katika ramani ya tanzania na afrika kwa ujumla ili kuwezesha movement of people, goods, ideas kwa kasi ya ajabu basi bado safari ya maendeleo itakuwa ni ndefu sana tena ya kupiga hatua moja mbele,hatua mbili nyuma: http://bioval.jrc.ec.europa.eu/products/gam/images/large/railways.png

Tunarudi pale pale.

Tunaongezaje movement of people in the most efficient way? Kwa kujenga extension ya reli ya Mpanda kwenda Mbeya au kwa kujenga daraja kwenda Zanzibar?

Bila specifics hatuwezi kujibu swali hilo.

Na mpaka sasa sijaona hata anecdotes, achilia mbali specifics.
 
Hahaha, unachekesha.

You shoot first, ask questions later. You gotta problem with that, talk to my lawyer.

Ndicho unachosema hapa.

Kuna kesi nyingine zimepinda mpaka lawyer anakukimbia.

Siyo una shoot tu bila kuangalia escape route.

Kama huna specifics, hata anecdotal, huna haki ya kupendekeza.

Unaweza kupendekeza kitu kitakachotufilisi.

tunakupa kazi ya kukusanya hizo specifics kisha uzilete humu
 
Resource ya muhimu kuliko zote ni elimu, na kabla ya kluelimisha watu kuangalia resources ambazo hatuwezi kuzivuna efficiently kama "resources" ni kujidanganya.

Ndiyo maana nashangaa kuona watu wana propose midaraja bila hata ya kujua ma engineer watakaohitajika kukarafati daraja.

Au tunataka kuwa wateja daima?

Si bado tunaamini katika "Ujamaa na Kujitegemea" au ?
 
Tunarudi pale pale.

Tunaongezaje movement of people in the most efficient way? Kwa kujenga extension ya reli ya Mpanda kwenda Mbeya au kwa kujenga daraja kwenda Zanzibar?

Bila specifics hatuwezi kujibu swali hilo.

Na mpaka sasa sijaona hata anecdotes, achilia mbali specifics.

tunajenga zote
 
Resource ya muhimu kuliko zote ni elimu, na kabla ya kluelimisha watu kuangalia resources ambazo hatuwezi kuzivuna efficiently kama "resources" ni kujidanganya.

Ndiyo maana nashangaa kuona watu wana propose midaraja bila hata ya kujua ma engineer watakaohitajika kukarafati daraja.

Au tunataka kuwa wateja daima?

Si bado tunaamini katika "Ujamaa na Kujitegemea" au ?

mlihesabu idadi ya mainjinia mlipoomba wachina wajenge tazara, uwanja wa taifa na daraja la umoja achilia mbali terminal 3 ya uwanja wa ndege?
 
tunakupa kazi ya kukusanya hizo specifics kisha uzilete humu

Kazi ya kukusanya specifics wanayo waliopendekeza, mie sijapendekeza daraja nimeomba specifics kunipa kazi ya kuja na specifics unanionyesha hujafanya homework yako, unanitwisha mie.
 
ukishaamua unakusanya details - hivi ukiamua kuchumbia mpaka uwe na details za size n.k?

Companero,

Je kuna studies zozote za kuonyesha ujenzi wa TAZARA kama uli-boost economic activities?
 
tunajenga zote

Unajenga zote hujajua hata budget? Unajenga zote budget ya serikali yako ushaweza kuikidhi?

Au utaomba msaada kwa wachina wajenge madaraja mawili? Moja lao moja la Tanzania?
 
Back
Top Bottom