DOKEZO Responded Zanzibar iungwe na Bara kwa Daraja - Wazo Jipya

DOKEZO Responded Zanzibar iungwe na Bara kwa Daraja - Wazo Jipya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
they do need infrastructure, lakini bila details huwezi kujua infrastructure gani inahitajika zaidi, daraja la kwenda Zanzibar au reli ya Mpanda Mbeya.

tumeshakupa kazi ya kukusanya hizo details maana naona huoni umuhimu wa division of labor, kama wewe ni jack of all trade basi fanya cost benefit analysis ulete humu; kama huwezi kuna watu wa kuifanya tukiamua kujenga hilo daraja
 
Ni lazima tuwe na namba flani bana, at least mseme project inaweza ku cost so and so tzs trillions.
Mnaweza kuanzia na gharama za wachina, halafu muweke factors za distance(mfano la wachina ni km 42) na limecost so and so amount of money.Na la kwetu litakuwa na distance gani?Kuna distance gani kutoka Zanzibar hadi Dar?

Na pia la muhimu ni availability ya all that is needed to have a viable project.

nimetumia kigezo hicho hicho cha daraja la China kuwa inaweza kugharimu kati ya dola bilioni 3-5 hivi kwa sababu hata umbali si tofauti sana..
 
tumeshakupa kazi ya kukusanya hizo details maana naona huoni umuhimu wa division of labor, kama wewe ni jack of all trade basi fanya cost benefit analysis ulete humu; kama huwezi kuna watu wa kuifanya tukiamua kujenga hilo daraja

Nishakwambia huwezi kunipa kazi hiyo kwani mie si proponent. Anayetetea daraja ndiye aje na details.
 
Yeah sasa tuambie kwa nini tusijenge barabara zilizopo badala ya daraja hili?

unaongea kama wale watu wanaosema watoto wasiende shule kwanza kwa kuwa hakuna madarasa ya kutosha
 
unazunguka kaka, nimeakuambia vyote ni muhimu - tunahitaji kujenga vyote kwa pamoja au kwa kufuatana

Na mimi nimekubali vyote muhimu, ila nikasema kwa kuwa hatuna unlimited resources inabidi tufanye prioritization.

Na bila details huwezi kufanya prioritization.

Details zenu ziko wapi?
 
nimetumia kigezo hicho hicho cha daraja la China kuwa inaweza kugharimu kati ya dola bilioni 3-5 hivi kwa sababu hata umbali si tofauti sana..

Gharama haziendi kwa umbali tu, kina na teknolojia pia vitaamua gharama iweje.

Sijaona chochote kuhusu kina na teknolojia hapa.
 
Huwezi kuona namba hapa, kwanza hesabu ni ugonjwa wa taifa, pili Tanzania ni nchi ya "No Data Available" hata hiyo serikali yenyewe huenda haijui kina cha hiyo channel inayotenganisha Bara na Zanzibar.

Watu wanataka kujenga daraja!

nimedokeza hapo juu kuwa:

Jambo pekee ambalo tuna uhakika nalo kwa kuangalia China ni kuwa inawezekana kuunganisha kwa daraja umbali wa kilomita 42 (au hata zaidi) kwani Zanzibar iko kati ya Maili 16-31 sawa na kilomita 25-50 hivi (kutegemeana na eneo unalosimama kutoka bara). Hii ina maana tukiangalia mahali ambapo ni shortest distance. Hivyo swali la kama inawezekana kiteknolojia au vinginevyo limeshabiwa. Kwa upande wetu ni swali la kisiasa zaidi - je tuna viongozi ambao wanaweza kubuni, kusukuma na kusimamia mpango huu?

Na hapo juu nikaonesha kuwa hilo la China:

Bila ya shaka utakuwa umesikia leo taarifa ya lile daraja refu zaidi kupita bahari limefunguliwa huko China leo. Daraja hilo liitwalo Daraja la Qingdao Jiazhou lina urefu wa kilometa 42 (sawa na umbali wa mbio za marathoni) kama mile 26 hivi

Swali la umbali si hoja, swali la gharama siyo hoja sana (hatuna tatizo la fedha kabisa).
 
unaongea kama wale watu wanaosema watoto wasiende shule kwanza kwa kuwa hakuna madarasa ya kutosha

Hapana,

Mie ninachosema nikwamba kabla ya kujenga daraja angalau watoto waende shule kesho daraja liwe na wahandisi wa kulikarabati wa kutoka nyumbani.

Wewe kwa kutaka kujenga daraja bila ya kuwa na bajeti ya kutosha ndiye unayekataza watoto kuenda shule.
 
Gharama haziendi kwa umbali tu, kina na teknolojia pia vitaamua gharama iweje.

Sijaona chochote kuhusu kina na teknolojia hapa.

Kiranga, kina cha bahari yetu kinajulikana; unaweza kugoogle hiyo; suala la teknolojia kama alivyosema companero ipo tayari - hatuhitaji kuinvent new technology. Suala kubwa tukiamua litakuwa ni la mazingira zaidi kuliko kitu kingine chochote.
 
nimedokeza hapo juu kuwa:



Na hapo juu nikaonesha kuwa hilo la China:



Swali la umbali si hoja, swali la gharama siyo hoja sana (hatuna tatizo la fedha kabisa).

Unajua daraja hili litagharimu kliasi gani kwa uhaklika kiasi cha kusema "gharama si hoja"?
 
Hapana,

Mie ninachosema nikwamba kabla ya kujenga daraja angalau watoto waende shule kesho daraja liwe na wahandisi wa kulikarabati wa kutoka nyumbani.

Wewe kwa kutaka kujenga daraja bila ya kuwa na bajeti ya kutosha ndiye unayekataza watoto kuenda shule.

Kiranga...kwa nini unadhani ujenzi wa hilo daraja utazorotesha ama kusimamisha kabisa mambo mengine?
 
Hapana,

Mie ninachosema nikwamba kabla ya kujenga daraja angalau watoto waende shule kesho daraja liwe na wahandisi wa kulikarabati wa kutoka nyumbani.

Wewe kwa kutaka kujenga daraja bila ya kuwa na bajeti ya kutosha ndiye unayekataza watoto kuenda shule.

naona leo unakana mambo ya forward and backward economic linkages ya investment za infrastructure mnazotuhubiria kila siku

ps. barabara kuu ya dar arusha ilipotolewa kwetu na kupelekwa mkomazi-hedaru-same mabadiliko makubwa yalitokea!
 
Back
Top Bottom