DOKEZO Responded Zanzibar iungwe na Bara kwa Daraja - Wazo Jipya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Sikatai kuna vitu haviwezi kusubiri.

Nilichofanya ni kukuomba details unionyeshe kwamba hili daraja haliwezi kusubiri.

Hujanionyesha hivyo.
 
kweli u can take mbongo out of bongo but you cannot take ubongo out of mbongo, kwa mwendo huu change is not gonna come hata ukijengewa madaraja kutoka kiwanja hadi bongo!

Hapana mkuu. Lazima uwe smart kwenye finance. Kama napata mshiko mkubwa kwa kila mwezi basi sina haja ya kutumia credits kwa matumizi yangu. Na mwisho wa mwaka nailipa serikali tax zake.:lol:
 

Nakubaliana na wewe.

Na moja ya mabadiliko haya ni kuacha kuiga iga.

Leo china kajenga daraja kwa sababu zake tunataka kumuiga bila kuangalia ufanisi wa daraja hilo kwetu, ili mradi tu na sie tuwe na daraja refu!

Sikatai project kubwa, nakataa project kubwa ambazo hazina justification inayolingana na ukubwa wake.
 

indeed but experts wa hizo details do not have to be the ones who came with the idea in the first place, wazo limeshatoka sasa wenye uwezo wa kukusanya details wafanye hivyo


hakuna limit ya kuwaza, hata mimi hapa naweza kusema twende mwezini watanzania kisha nikakuomba wewe mtaalam pundit ulete details za kuonyesha kama kweli tunaweza kwenda au la.
 

Kutokana na rough estimate za kiufundi. Daraja hilo litabidi lisubiri kwa muda fulani. Na nina sababu za kiuchumi pia. Lakini usingizi unaanza.
 
Hapana mkuu. Lazima uwe smart kwenye finance. Kama napata mshiko mkubwa kwa kila mwezi basi sina haja ya kutumia credits kwa matumizi yangu. Na mwisho wa mwaka nailipa serikali tax zake.:lol:

ndio tabia za kifisadifisadi hizo, tena ni legalized corruption kama bongo - dependents 7 ili upate fungu kubwa bila jasho!
 

Kama huna details huwezi kusema lolote kuhusu mradi kama huu seriously.

Unakuwa huna tofauti na mwanasiasa anayetoa ahadi kama za ule wimbo wa Professor Jay "Ndiyo Mzee"

Hiyo bajeti "yetu" unayoiongelea ni "yetu" kwa kiasi gani na kiasi gani tunafadhiliwa?

Mbona wa Finn wanaotufadhili kila mwaka hawajajenga daraja kutoka Helsinki mpaka Tallin? Hawana uwezo?
 

hapa nimeshindwa kwa kweli.
 

Naam. Sina hoja katika hili kwa kweli.
 
Ngoja niingie Gym mie, naona ushairi tu hapa watu hata details hawana wanataka kujenga maghorofa hewani.
 

As a matter of fact ndicho alichofanya JFK; alitoa challenge kuwa within ten years Marekani iweze kupeleka mtu mwezini. Hakukuwa na teknolojia yote na hakukuwa na kila kitu kwenye karatasi. Ilikuwa ni challenge kwa wasomi kuwa "tunataka tufanye hili" na wakagonganisha vichwa likafanyika.

Wakati wa vita ya Uganda vikosi vya Idi Amin vilibomoa daraja kwenye mto kagera; hatukuwahi kuwa katika mazingira yale na hakukuwa na njia nyingine ya haraka ya kuvusha vifaru na askari wetu. Wanajeshi wetu wakapewa changamoto ya kusolve hilo tatizo temporarily na kwa longterm - well waliweza kufanya kama tunavyokumbuka na haikuwa kureinvent teknology; waliunganisha mitumbwi iktangeneza daraja na vifaru fikapita wakati wanatengeneza a permanent bridge.

Hivi leo - acha hili la Zanzibar - tukiwaambiwa wataalamu wetu kuwa tunataka daraja la Kigamboni lijengwe kwa kutumia wataalamu wetu, kwa fedha zetu tunaweza? Well to me itakuwa nzuri kuwaona wasomi wetu wanafanya nini kaw sababu wanao uwezo na ninauhakika wataweza kujenga hilo daraja! Wapo watakaoshangaa mimi sitokuwa mmoja wao.
 
Ngoja niingie Gym mie, naona ushairi tu hapa watu hata details hawana wanataka kujenga maghorofa hewani.

Kiranga bana...unataka details as if watu ndio wakandarasi humu!! Huu mjadala ni wa wazo jipya...wazo ambalo sijawahi kumsikia kiongozi yeyote akilitoa hadharani.

Sasa unataka upewe nitty-gritty details za ujenzi? SMH!
 
Kiranga bana...unataka details as if watu ndio wakandarasi humu!! Huu mjadala ni wa wazo jipya...wazo ambalo sijawahi kumsikia kiongozi yeyote akilitoa hadharani.

Sasa unataka upewe nitty-gritty details za ujenzi? SMH!


LOL, anataka Mwanakijiji afanye haya kwanza kisha ndio abunge bongo na kutoa wazo:

1. Cost Benefit Analysis
2. Social and Environmental Impact Assessment
3. etcetera

GOSH, the tyranny of the intellect can indeed be scary!
 
LOL, anataka Mwanakijiji afanye haya kwanza kisha ndio abunge bongo na kutoa wazo:

1. Cost Benefit Analysis
2. Social and Environmental Impact Assessment
3. etcetera

GOSH, the tyranny of the intellect can indeed be scary!

sasa kushindwa kutoa hizo ameamua kudismiss the whole idea kwasababu hatujaweza kuweka hesabu zote na undani wa mpango mzima ili kujua kama unafaa au la!
 
Ngoja nikalale nijiotee ndoto njema ya Tanzania yenye reli kutoka Mtwara kuelekea Mwanza, Darisalama kupitia Dareda na Tunduma kwenda Tanga; madaraja kutoka Pemba hadi Pwani, Kigoma kuelekea Kongo - nchi ya kusadikika na sio kufikirika tu ampapo watu, mawazo na bidhaa zake zinaweza kusafiri ama kusafirishwa kwa kasi kutoka Unguja hadi Ujiji!
 
Baada ya uchaguzi mkuu wa 2005 na baada ya kuapishwa kuwa Rais, JK alikuja Washington DC. Mi sina mapenzi na viongozi lakini jinsi watanzania walivyokuwa na imani naye wakati hule ilibidi niende kwenye mkutano.

kwenye mkutano alisema kuwa Mwinyi alipoondoka aliacha kama dollar 800 Milioni katika reserve ya taifa. Na Mkapa aliacha kama dollar bilioni 2 katika reserve. Watu wakalipuka kwa vifijo. Na mimi bila kujijua nikajiunga kwenye frenzy ya kushangilia. Lakini akili ilipotulia ikabidi nigawe 2 Bilioni kwa population ya watanzania. Nikaona jamaa anasema upuuzi nikaondoka.

Thamani ya daraja mnalotaja ni dollar 1.4 Bilioni. Hii ni reserve ya Tanzania. Na kulikamilisha itabidi nchi iingie madeni makubwa.

Kama mafuta yamegunduliwa mradi huu unaweza kufanyika. Lakini kwa sasa itabidi ziwe ndoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…