Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Katoa wazo ambalo limekuwa backed up na siasa tu
Tuna uwezo wa kujenga daraja mpaka z'bar, hata shimbo tu anaweza. Lakini sababu za kufanya hivyo hatuna kwa sasa, labda vizazi vijavyo.
Sasa ubaya uko wapi hapo kama yeye katoa wazo linalotoa changamoto kwa viongozi wetu wa kisiasa kuwa na ujasiri wa kuthubutu kufanya makubwa?
Hakuna ubaya wa kutoa wazo lakini tunapojadili wazo kubwa kama hilo tunatakiwa kuangalia details kwa kina ili isiwe kama kusadikika
Kuna nchi nyingi tu hapa duniani zilizojenga madaraja makubwa kwa hiyo si jambo geni kihivyo wala kusadikika.
Kama wengine wameweza, kwa nini sisi tushindwe?
Jee daraja hilo kwa nchi yetu ni priority?
Manufaa yake ya kiuchumi yakoje?
We lose 1 billion USD kila mwaka through corruption; mwaka 2008 tulitengeneza stimulus package ya dola bilioni moja kwa ajili ya kilimo; posho za watumishi mbalimbali kwa mwaka huu peke yake ni karibu shilingi trilioni moja! Unaweza kuona kuwa suala nipolitical will and leadership tu siyo resources.
Miundombinu kwa ujumla ni priority. Na kwa ajili lita provide alternative ya usafiri kwangu mimi hiyo ni plus.
Kwani kila kitu lazima kiwe na manufaa kiuchumi? Licha ya hivyo, kwenye ends zote mbili kunaweza kukawa na toll gates. Wengine sisi huku kila siku tuendayo kazini tunalipia toll ya kufidia ujenzi wa highway. Na sisi tunaweza kufanya hivyo.
Miundombinu kwa ujumla ni priority. Na kwa ajili lita provide alternative ya usafiri kwangu mimi hiyo ni plus.
Kwani kila kitu lazima kiwe na manufaa kiuchumi?
Licha ya hivyo, kwenye ends zote mbili kunaweza kukawa na toll gates. Wengine sisi huku kila siku tuendayo kazini tunalipia toll ya kufidia ujenzi highway. Na sisi tunaweza kufanya hivyo.
Kwa sababu nchi yenye matatizo ya uchumi inapaswa kuweka kipaumbele katika mambo yanayozalisha kiuchumi.
Mathalani, kama tunaweza kuwekeza fedha hizo katika kinu kipya cha kufua umeme kikasaidia uchumi kukua na kutupa umeme wa ziada kuuza nchi jirani, kiasi kwamba tukapata surplus ya kuturuhusu kujenga daraja pia, si vibaya tukaanza na kinu cha kufua umeme kwanza, na baadaye kujenga daraja. Kwa sababu hela hiyo hiyo itafanya yote, itatupa kinu cha kufua umeme, kitazalisha kiasi cha kutupa hela za kujenga daraja.
Ukisema uanze kujenga daraja wakati halina uzalishaji wa kiuchumi, unaweza kuzifunga hela katika daraja ukapata daraja tu, ukashindwa kupata umeme.
Worse still, unaweza kuzifunga hela halafu daraja badala ya kuzalisha hela likawa shimo la kutupa hela kwa gharama za matengenezo.
Nimeshasema moja ni unaweza ukatoza toll fee katika kila upande. Utahitaji watu wa kupokea hizo hela hata kama kutakuwepo na automated gates. Hapo utakuwa umeshatengeneza ajira.
Kwani hatuwezi kujenga hicho kinu na daraja kwa wakati mmoja? Toka jana unadhani daraja hilo litasimamisha miradi mingine yote...kwa nini?
A bridge linking the mainland and the Isles is not a bridge to nowhere. I believe we have the money to build it. We just don't have the will.
Nimejifunza mengi kweli humu.
Hivi Tanzania kuna madaraja mangapi na yote mafanikio yake kiuchumu yakoje?
Suala la kina linakuja kwenye feasibility study. Baada ya kutoa wazo bila details za kutosha wazo linakibaliwa kwanza. Likishakubaliwa kinachofuata ni kufanya feasibility study kuona kama mradu unawezekana au la. Hapa ndipo possible points za dara zitaangaliwa, hapa ndio mkondo wa maji na kina vitaangaliwa na ni hapa suala la economic sense litaangaliwa. Feasibility study itatuonesha kama wazo lenyewe linatekelezeka. Kwa mfano wazo likiubaliwa na wakuu wakanihire niwaandikie concept paper nitajibu baadhi ya hoja hizi. Wazo kama hili lnakataliwa kwa kuonesha haliwezekani siyo kwa kutolewa. Na ili lioneshwe haliwezekani au halifai kwa nchi kama ya kwetu serikali inafanya feasibility study. Hivi ndivyo tulivyofanya kwenye Stielger 's Gorge.Sasa kama hajui kina hawezi kujua challenge ya kujenga ikoje na teknolojia ya kutumia ni ipi, na kama hajui challenge hajui gharama, kama hajui gharama na anataka daraja lijengwe.... hatari!!
Hivi Tanzania kuna madaraja mangapi na yote mafanikio yake kiuchumu yakoje?
Suala la kina linakuja kwenye feasibility study. Baada ya kutoa wazo bila details za kutosha wazo linakibaliwa kwanza. Likishakubaliwa kinachofuata ni kufanya feasibility study kuona kama mradu unawezekana au la. Hapa ndipo possible points za dara zitaangaliwa, hapa ndio mkondo wa maji na kina vitaangaliwa na ni hapa suala la economic sense litaangaliwa. Feasibility study itatuonesha kama wazo lenyewe linatekelezeka. Kwa mfano wazo likiubaliwa na wakuu wakanihire niwaandikie concept paper nitajibu baadhi ya hoja hizi. Wazo kama hili lnakataliwa kwa kuonesha haliwezekani siyo kwa kutolewa. Na ili lioneshwe haliwezekani au halifai kwa nchi kama ya kwetu serikali inafanya feasibility study. Hivi ndivyo tulivyofanya kwenye Stielger 's Gorge.