Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Hata tukiwa na madaraja 100,000 yasiyo na mafanikio ya kiuchumi, hii si sababu ya kuongeza lingine.
Pengine itakuwa ni sababu ya kuyapunguza.
Pamoja na fikra za kimaendeleo za Mwanakijiji, naamini hili wazo litapingwa na Wazanzibari wengi. Tunapoizungumzia Zanzibar tunazungumzia visiwa 2 vya Unguja na Pemba. Kuiunganisha Pemba na Tanga, Unguja na Bagamoyo (labda) itatafsiriwa na Wazanzibari wengi sawa na kuvitenganisha visiwa vyao au kutekwa nyara na Tanganyika, labda kama hayo madaraja yangeanza kuziunganisha Unguja na Pemba kwanza.Muungano wenyewe sasa hivi unatumia ARV kuongeza urefu wa maisha. teh teh teh Hilo wazo japo ni zuri hata bila muungano kuna upande utapinga kwa nguvu zote.
Kiranga,Zakumi,Companero,Nyani Ngabu,jmushi1,
..nadhani Mwanakijiji is daring wa-Tanzania to think big and come up with an ambitious project itayatukwamua toka hapa tulipo.
..nakumbuka kusoma kuhusu jinsi gani mradi wa interstate highways za USA uliovyosaidia ktk kukuza biashara na uchumi wa Marekani.
..wa-Tanzania na sisi tunatakiwa tuibue mradi mkubwa ambao utasaidia kuinua sekta nyingine hapa nyumbani.
Nimejifunza mengi kweli humu.
Tukiweka daraja kesi itapelekwa wapi sasa maana ile ya kutumia bahari ilipelekwa UN.
Kwa hiyo wewe umeshahitimisha kuwa hilo daraja (ambalo hata halipo) halina/ halitakuwa na mafanikio ya kiuchumi?
To the contrary, nimeomba data tu.
Na the underlying message hapo ni kwamba "two wrongs do not make a right". Hata kama kuna madaraja yaso ufanisi lukuki, hili halisababishi tukubali lingine liso ufanisi.
Kitu kitakachohalalisha daraja ni ufanisi, ambao haujaoneshwa mpaka sasa hivi.
Hahahaha, mkuuu mi nashangaa watu wanashadadia daraja la muungano wakati muungano wenyewe uko ICU!!
Nimewauliza hapa muungano ukivunjika nani atalipa deni? Kuuliza prenup si kukosa mapenzi, ni kujiandaa tu.
To the contrary, nimeomba data tu.
Na the underlying message hapo ni kwamba "two wrongs do not make a right". Hata kama kuna madaraja yaso ufanisi lukuki, hili halisababishi tukubali lingine liso ufanisi.
Kitu kitakachohalalisha daraja ni ufanisi, ambao haujaoneshwa mpaka sasa hivi.
Nani anayepaswa kuonesha ufanisi wa hilo daraja nililopendekeza?
Wewe unaomba data ambazo haziwezi kupatikana sasa hivi. Ingekuwa mchakato wa kweli umeshaanza hapo maombi yako yangekuwa na maana zaidi.
Sasa hapa unaomba mechanical na technical details wa jambo ambalo hata kwenye karatasi halipo zaidi ya kuwepo kwenye kichwa cha Mwanakijiji.
Btw, data za lile la Kigamboni ushaziomba? Lile mchakato wake ushaanza, kama ulikuwa hujui.
TAZARA ilijengwa ili kuepuka kutumia Bandari za South Africa, enzi hizo zilikuwa chini ya Apartheid regime.It was more political than economical.Sometimes, ili kulinda heshima unachukua maamuzi ambayo sito feasible... but now that SA is cool, TAZARA inakuwa haina significance kwa sana, but that was a nice move, we(as frontline states) didn't want to trade with SA.Ukweli wa mambo, kwa ukubwa wa Tanzania bara, diversity ya resources zake, na population naona tukubali kuwa tu nchi imeshindwa to live to its potential.
Ukisoma ujenzi wa reli ya TAZARA utoana kuwa waChina hawaku na economic gain yoyote zaidi ya kujitangaza kisiasa kwa nchi za dunia ya tatu. Wakati waChina wanajenga TAZARA, per capital ya Somalia ilikuwa juu kuliko China.
Lakini kwa sababu walikuwa bold naona waliweza kufanikiwa.
Ukweli wa mambo, kwa ukubwa wa Tanzania bara, diversity ya resources zake, na population naona tukubali kuwa tu nchi imeshindwa to live to its potential.