DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Waislamu wa Zanzibar na Tanganyika huwaambii kitu kwa waarabu na chochote/yeyote mwenye connection na uarabu.
Wa-Omani wakiwa serious, hakika watarudi na kuitawala Zanzibar.
Mkuu alisema ataolewa akiuza uduvi😀Kumbe wewe unapenda kuchekeshwa?
Kauze Uduvi basi🐼
Ndio ujue kuwa yalikuwa mapinduzi haramu. Kuna watu walitumwa waje wawauwe wazanzibari tu. Sio kwa sababu za uhuru bali kwa sababu za chuki tu kwa wazanzibari na waislamu.
Mbona Tanganyika ilipata uhuru wake kwa amani.
Na hata zanzibar ilikuwa ishapata uhuru wake December 10 mwaka 1963, ila wahuni wakajitia kupindua ili kupata uhuru kumbe lengo ilikuwa ni kuuaa
Lengo ni kwamba walio wazanzibari wanajua hasa km kulikuwa hakuna haja ya mapinduzi yale haramu yaliochangia kudhulumu roho na mali za watu waliokuwa hawana hatia. Sasa wanataka kujikoshakosha tu kwa makosa walioyafanya wengine.Sijui lengo ni nini lakini hilo ni kosa kubwa.
Namchapa risasiUtamfanya nini kwa mfano? Kwani bara hakuna waislamu! Yani tukuangalie tu sio!
Na sisi tukuangalie sio?Namchapa risasi
Watu wanaongea tu hawajui km mpk Leo tupo ambao hatusahau walichofanyiwa ndugu zetu. Kuna watu mpk Leo wanaishi na trauma.Waislamu waliuawa sana, halafu anakuja mtu kusherehekea mapinduzi Zanzibar, marais mbalimbali wanaenda znz kwa ajili ya unyama uliofanywa na makafiri, hata waislamu pia wanakuwepo kwenye huo ushenzi uliofanywa na akina okello laanatullah alayhim.
Watakua na dhimma kubwa mbele ya Mwenyezi Mungu
Huyu anapaswa kupewa heshima zote aliwafanyia Tanganyika mambo mema, ndo aliowafundisha watanganyika kuvaa nguo, alishirikiana na serikali ya uingereza kukomesha biashara ya utumwa, alizuia kazi za manamba, alitengeneza utawala wa sheria, aliruhusu vyama vingi vya siasa. wahuni wakatumia uungwana wake kumfanyia mambo ya hovyo,hilo bwenyeye lisikanyage tanganyika
Hamna cha kunifanyaNa sisi tukuangalie sio?
Mfyuuuuu fanyeni kazi acheni kulalamikaWatu wanaongea tu hawajui km mpk Leo tupo ambao hatusahau walichofanyiwa ndugu zetu. Kuna watu mpk Leo wanaishi na trauma.
Ati mapinduzi matukufu.....mapinduzi my foot
Ndio maana nchi mpk Leo imekaa km imelaaniwa dhiki kila siku zinazidi, kumbe damu za watu zinalipa
Suala si ninyi kuwa ndugu, bali ni inferiority complex yenu kwa waarabu.Wewe na lukuvi mnapaswa mkae meza moja
Huwezi kututenganisha waislamu hata siku moja, wale ni ndugu zetu.
Na ukiona mtu mweusi au mhindi wa kiislamu anamchukia muarabu basi huyo ni muislamu jina, hata ukimsalimia Assalaam alaikum hajui kurudisha
kabisa, arudishiwe u sultani wake, kwanza hauna uhusiano na mapinduzi, ni utoto wa wakati ule ulimfanya akimbie, yeye aendelee na mambo yake ya kisultani na serikali iendelee na mambo yake ya kiutawalaHuyo hakuwa Rais, alikuwa ni Sultani (mfalme), ni zaidi ya Rais.
Walijitahidi sn kuwaua lkn kuna ambao Mungu Aliwabakisha, na wapo mpk Leo. Walitamani wauondoe uarabu huku Zanzibar lkn uarabu upo na utaendelea kuwepo.Kwahiyo masultani wanarudi Zanzibar
Mffyuuu.Mfyuuuuu fanyeni kazi acheni kulalamika
uko sahihi, musolini alikuwa mtu mweusi alitawala kiharamia, hakuna mzungu hata mmoja anaelaumu uduni wake wa maisha ulisababishwa na utawala wa musolini, sie miaka miasita tangu mwarabu apite bado tunamlaumu, sina ushahidi wala ufahamu kama sultan kwa namna yeyote alisababisha dhahama, lakini madhila ya okello na genge lake hadi leo yapo yanaonekana kwa machoSuala si ninyi kuwa ndugu, bali ni inferiority complex yenu kwa waarabu.
Waarabu wamewadominate kwenye kila angle ya maisha.
Kiufupi, waarabu ni superior race kwa waislamu wote wa Zanzibar na Tanganyika, na ninyi wabantu mmesalia kwenye nafasi ya utumwa.
- Hapa mnatamani warudi kuwatawala hapo Zanzibar, lakini wao hawawezi kuwaruhusu mkawatawala na wanawabagua weusi wote, uwe muislamu au la.
- Mnaitwa majina yao, mnafuata imani na matendo yao, meanwhile, hamna chenu wanachofuata.
Na sisi tukuangalie sio?
sultan sio mwanasiasa ujio wake hauna uhusiano na mambo yenu ya kisiasa akifika ataenda msikitini kuswali badae anaenda nyumbani kwakeSultan Freeman atakiwepo?