DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Waislamu wa Zanzibar na Tanganyika huwaambii kitu kwa waarabu na chochote/yeyote mwenye connection na uarabu.
Wa-Omani wakiwa serious, hakika watarudi na kuitawala Zanzibar.
Wewe na lukuvi mnapaswa mkae meza moja
Huwezi kututenganisha waislamu hata siku moja, wale ni ndugu zetu.
Na ukiona mtu mweusi au mhindi wa kiislamu anamchukia muarabu basi huyo ni muislamu jina, hata ukimsalimia Assalaam alaikum hajui kurudisha