Zanzibar Kumpokea Sultan Jamshid: Ziara ya Kihistoria Baada ya Miaka 60 Uhamishoni

Zanzibar Kumpokea Sultan Jamshid: Ziara ya Kihistoria Baada ya Miaka 60 Uhamishoni

Waislamu wa Zanzibar na Tanganyika huwaambii kitu kwa waarabu na chochote/yeyote mwenye connection na uarabu.
Wa-Omani wakiwa serious, hakika watarudi na kuitawala Zanzibar.

Wewe na lukuvi mnapaswa mkae meza moja

Huwezi kututenganisha waislamu hata siku moja, wale ni ndugu zetu.

Na ukiona mtu mweusi au mhindi wa kiislamu anamchukia muarabu basi huyo ni muislamu jina, hata ukimsalimia Assalaam alaikum hajui kurudisha
 
Ndio ujue kuwa yalikuwa mapinduzi haramu. Kuna watu walitumwa waje wawauwe wazanzibari tu. Sio kwa sababu za uhuru bali kwa sababu za chuki tu kwa wazanzibari na waislamu.
Mbona Tanganyika ilipata uhuru wake kwa amani.
Na hata zanzibar ilikuwa ishapata uhuru wake December 10 mwaka 1963, ila wahuni wakajitia kupindua ili kupata uhuru kumbe lengo ilikuwa ni kuuaa

Waislamu waliuawa sana, halafu anakuja mtu kusherehekea mapinduzi Zanzibar, marais mbalimbali wanaenda znz kwa ajili ya unyama uliofanywa na makafiri, hata waislamu pia wanakuwepo kwenye huo ushenzi uliofanywa na akina okello laanatullah alayhim.

Watakua na dhimma kubwa mbele ya Mwenyezi Mungu
 
Sijui lengo ni nini lakini hilo ni kosa kubwa.
Lengo ni kwamba walio wazanzibari wanajua hasa km kulikuwa hakuna haja ya mapinduzi yale haramu yaliochangia kudhulumu roho na mali za watu waliokuwa hawana hatia. Sasa wanataka kujikoshakosha tu kwa makosa walioyafanya wengine.
Hivi angekuwa sultan mbaya kweli angerudi Zanzibar au angepata mualiko wa kuja Zanzibar!!?
Akili kumkichwa. Za kuambiwa changanya na zako
 
Waislamu waliuawa sana, halafu anakuja mtu kusherehekea mapinduzi Zanzibar, marais mbalimbali wanaenda znz kwa ajili ya unyama uliofanywa na makafiri, hata waislamu pia wanakuwepo kwenye huo ushenzi uliofanywa na akina okello laanatullah alayhim.

Watakua na dhimma kubwa mbele ya Mwenyezi Mungu
Watu wanaongea tu hawajui km mpk Leo tupo ambao hatusahau walichofanyiwa ndugu zetu. Kuna watu mpk Leo wanaishi na trauma.
Ati mapinduzi matukufu.....mapinduzi my foot
Ndio maana nchi mpk Leo imekaa km imelaaniwa dhiki kila siku zinazidi, kumbe damu za watu zinalipa
 
hilo bwenyeye lisikanyage tanganyika
Huyu anapaswa kupewa heshima zote aliwafanyia Tanganyika mambo mema, ndo aliowafundisha watanganyika kuvaa nguo, alishirikiana na serikali ya uingereza kukomesha biashara ya utumwa, alizuia kazi za manamba, alitengeneza utawala wa sheria, aliruhusu vyama vingi vya siasa. wahuni wakatumia uungwana wake kumfanyia mambo ya hovyo,
 
Watu wanaongea tu hawajui km mpk Leo tupo ambao hatusahau walichofanyiwa ndugu zetu. Kuna watu mpk Leo wanaishi na trauma.
Ati mapinduzi matukufu.....mapinduzi my foot
Ndio maana nchi mpk Leo imekaa km imelaaniwa dhiki kila siku zinazidi, kumbe damu za watu zinalipa
Mfyuuuuu fanyeni kazi acheni kulalamika
 
Wewe na lukuvi mnapaswa mkae meza moja

Huwezi kututenganisha waislamu hata siku moja, wale ni ndugu zetu.

Na ukiona mtu mweusi au mhindi wa kiislamu anamchukia muarabu basi huyo ni muislamu jina, hata ukimsalimia Assalaam alaikum hajui kurudisha
Suala si ninyi kuwa ndugu, bali ni inferiority complex yenu kwa waarabu.
Waarabu wamewadominate kwenye kila angle ya maisha.
  • Hapa mnatamani warudi kuwatawala hapo Zanzibar, lakini wao hawawezi kuwaruhusu mkawatawala na wanawabagua weusi wote, uwe muislamu au la.
  • Mnaitwa majina yao, mnafuata imani na matendo yao, meanwhile, hamna chenu wanachofuata.
Kiufupi, waarabu ni superior race kwa waislamu wote wa Zanzibar na Tanganyika, na ninyi wabantu mmesalia kwenye nafasi ya utumwa.
 
Kwahiyo masultani wanarudi Zanzibar
Walijitahidi sn kuwaua lkn kuna ambao Mungu Aliwabakisha, na wapo mpk Leo. Walitamani wauondoe uarabu huku Zanzibar lkn uarabu upo na utaendelea kuwepo.
Na ajabu hao waarabu ndio wanaowapenda kuoa ili wapate watt wazuri machotara.
Eeh waarabu wazuri wee asikwambi mtu
 
Mfyuuuuu fanyeni kazi acheni kulalamika
Mffyuuu.
Alokwambia hatufanyi kazi nani. Lini tulikuja kula kwako!?
We huwezi kujifananisha na mie katu.
Lkn ukweli usemwe tu, dhulma imepita na bado inatuadhibu, sote...tulokuwemo na tusokuwemo.
 
Suala si ninyi kuwa ndugu, bali ni inferiority complex yenu kwa waarabu.
Waarabu wamewadominate kwenye kila angle ya maisha.
  • Hapa mnatamani warudi kuwatawala hapo Zanzibar, lakini wao hawawezi kuwaruhusu mkawatawala na wanawabagua weusi wote, uwe muislamu au la.
  • Mnaitwa majina yao, mnafuata imani na matendo yao, meanwhile, hamna chenu wanachofuata.
Kiufupi, waarabu ni superior race kwa waislamu wote wa Zanzibar na Tanganyika, na ninyi wabantu mmesalia kwenye nafasi ya utumwa.
uko sahihi, musolini alikuwa mtu mweusi alitawala kiharamia, hakuna mzungu hata mmoja anaelaumu uduni wake wa maisha ulisababishwa na utawala wa musolini, sie miaka miasita tangu mwarabu apite bado tunamlaumu, sina ushahidi wala ufahamu kama sultan kwa namna yeyote alisababisha dhahama, lakini madhila ya okello na genge lake hadi leo yapo yanaonekana kwa macho
 
Back
Top Bottom