Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Hiyo ni tisa kumi ambayo ni kiboko yao ni plan b aliyonayo Lissu kama CCM watafanya mchezo wao wa miaka yote wa Jechaism , mwaka huu wanaenda kuchemka believe me , this is from reliable source .Nilikuwa nadhani kuwa Uchaguzi Mkuu huu ujao wa Oktoba 28, 2020 utakuwa mrahisi kwa Mgombea fulani na Chama fulani ila sasa naogopa mno.
Mkiambiwa wekeni Live Hamtaki ok hizo picha za 2015 za kampeni za Lowasa bakini nazo wenyewe mudanganyane
pole kwa makwenzi mkuu 😆😆😆Mkiambiwa wekeni Live Hamtaki ok hizo picha za 2015 za kampeni za Lowasa bakini nazo wenyewe mudanganyane
Hao watu mnaosomba na malori kutoka nyampande, kalemela na sehemu nyingine ndo mnajidanganya nao kwamba mlikuwa na nyomiAchaneni na kibandamaiti angalieni TV kinachoendelea uwanja wa kirumba mwanza mjini. Kura tu za mwanza mjini zinatosha kumuweka rais madarakani angalieni umati uliopo.
Ccm wana laana sana..... Kukatisha masomo ya watoto kisa kumsikiliza diktetaWananchama wa ccm wakitoka kwenye mkutano wa chama 😀😀😀😀😀
Magufuli ana kila dalili za kuchoka wakati kwanza hata wiki mbili hazijaisha. Sasa kama Lissu anaweza kuvuta watu kiasi hiki ZNZ basi itabidi CCM waje na plan B kuhakikisha kuwa jamaa anastahimili kampeni kipindi chote 2015 alijifanya anapiga push up. safari hii sidhani kama anahuo ubavu!! Walimdhihaki Lowasa .... sasa what goes around.View attachment 1561973
Si haba...
Mbali na diamond wamwongeze Lowasa na sumayi wawasaidieMagufuli ana kila dalili za kuchoka wakati kwanza hata wiki mbili hazijaisha. Sasa kama Lissu anaweza kuvuta watu kiasi hiki ZNZ basi itabidi CCM waje na plan B kuhakikisha kuwa jamaa anastahimili kampeni kipindi chote .... 2015 alijifanya anapiga push up .... safari hii sidhani kama anahuo ubavu!! Walimdhihaki Lowasa .... sasa what goes around ......!!
Safari hii kabadilisha style anakula mahindi badala ya kupiga push upsMagufuli ana kila dalili za kuchoka wakati kwanza hata wiki mbili hazijaisha. Sasa kama Lissu anaweza kuvuta watu kiasi hiki ZNZ basi itabidi CCM waje na plan B kuhakikisha kuwa jamaa anastahimili kampeni kipindi chote .... 2015 alijifanya anapiga push up .... safari hii sidhani kama anahuo ubavu!! Walimdhihaki Lowasa .... sasa what goes around ......!!
Act tuliaambiwa bara waungane na Chadema ili wagawane wabunge wakang'ang'ania mgombea wa kuazima toka ccm hao awauziki tangu lowsa alipotutenda,Wangeliungana na ACT pangefurika. Watu Zanzibar wanamsubiri Maalim Seif tu!
Watanzania tumuombe atupe katiba na tume huru kwa umoja wetu tuishtaki serikali kupitia uwakili wake.Tumeona matunda yake kwa kweli ka Uhuru ka kusema angalau kidogo baada ya ujio wa Lissu.Hahahaaa! Robert Amsterdam baba🤣🤣
Hahahaha tukiachana na kichekesho iki, hawa watu wamefikilia nn mpaka waukate mbuyu na shoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanachofanya chadema uchaguzi huuView attachment 1561570
Itawezemana ila ni kazi saaanaWanachofanya chadema uchaguzi huuView attachment 1561570
zaidi ya mabasi 100 yamesomba watu kutoka mikoa ya jirani , haifahimiki gharama analipa nani ?Hao watu mnaosomba na malori kutoka nyampande, kalemela na sehemu nyingine ndo mnajidanganya nao kwamba mlikuwa na nyomi
Ccm wana laana sana..... Kukatisha masomo ya watoto kisa kumsikiliza dikteta
Sio mwinyi kama yeye binafsi, CCM haiuziki visiwani. Ina madudu mengi wala hayasemeki kwa post moja kama hii. Kiufupi CCM bila ya kuekwa na vyombo vya dola madarakani, hawauziki tena visiwani Zanzibar.Uchaguzi huu ulikuwa mwepesi sana kwa Yesu mtu, tatizo lugha za vitisho anazotumia wakati wa kampeni zinampunguzia credibility ajithamini kwa hilo ingawa bado nafasi ya yeye kuwa rais ni kubwa mno. Ila kwa Zanzibar kazi ipo kwa Hussein Mwinyi.