Zanzibar 2020 Zanzibar: Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu (CHADEMA), afanya Mkutano Uwanja wa Kibandamaiti

Zanzibar 2020 Zanzibar: Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu (CHADEMA), afanya Mkutano Uwanja wa Kibandamaiti

Subpost 5 - Tulipata salamu za SINGIDA, TABORA, MWANZA, DODOMA, MBEYA, MTWARA na ( 425 X 640 ).jpg
 
Upinzani unanguvu sana magufuli lazima aibe kura sana vinginevo ccm hawataamini kipigo cha kushtukiza, maisha ya watu yamepigwa na ukata mzunguko wa fedha upo chinii sana
 
Upinzani unanguvu sana magufuli lazima aibe kura sana vinginevo ccm hawataamini kipigo cha kushtukiza, maisha ya watu yamepigwa na ukata mzunguko wa fedha upo chinii sana
Lissu hatokubali kuibiwa
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mh Tundu Lissu mgombea urais mwenye hoja nzito na asiyewatisha wananchi , leo atanadi sera zake Zanzibar kwenye viwanja vya Kibandamaiti.

Ikumbukwe kwamba hii Septemba 7 ndio kumbukumbu ya kushambuliwa kwake , ambapo watu waliotumwa na Shetani walimmiminia risasi zaidi ya 38 kwa lengo la kumuua ili kumridhisha shetani , hata hivyo Mungu alimfufua kutoka kwenye kifo baada ya shambulio hilo la kishamba kutoka kwa watu waoga walioshindwa hoja.

=======
Kwa vile leo pia ni siku ya kumbukumbu ya shambulio la kinyama dhidi ya Lissu ,
View attachment 1561705
timu ya kampeni iliimba wimbo maalum wa kumtukuza Mungu kama shukrani kwa Uhai wa Tundu Lissu .

Jionee mwenyewe
View attachment 1561410
View attachment 1561705
View attachment 1561871View attachment 1561872View attachment 1561873View attachment 1561874View attachment 1561875View attachment 1561876View attachment 1561877View attachment 1561878View attachment 1561879View attachment 1561880View attachment 1561881View attachment 1561882
Huko zanziba na kungine mnako enda hakuna mashehe na maaskofu zaidi ya mwamakura na katimba? Au hao ni wana siasa?
Mpeni katimba na mwamakura.
 
Japo wamechelewa sana Kuja na kahutubia dakika chache Lakin kwa hakika ujumbe wake tumeupata, kama amesema chadema itamuunga Maalif seif ZNZ sababu ni yeye ndio Ana uwezo wa kuitoa CCM madarakani basi ni wakati Sasa wa Membe kumuunga mkono Lisu Bara Kwan ACT Bara haina nguvu kama ilivyo Chadema ZNZ.
 
H
Huyo atakuwa Lucifer ndio mnaetegemea baraka zake, ila Mungu muumba mbingu na ardhi Hana habari na yuda na kizazi cha nyoka.
Hivi mwamakura kanisani kwake nani anaendesha misa? Maana naona ni meneja kampeni ni wa chadema
 
Huko zanziba na kungine mnako enda hakuna mashehe na maaskofu zaidi ya mwamakura na katimba? Au hao ni wana siasa?
Mpeni katimba na mwamakura.
Mkuu viongozi wengine wa Dini wameamua kuchagua Njia Pans....Sasa tufanyeje!?
 
Achaneni na kibandamaiti angalieni TV kinachoendelea uwanja wa kirumba mwanza mjini. Kura tu za mwanza mjini zinatosha kumuweka rais madarakani angalieni umati uliopo.
Mabasi leo 'stand imekuwa apo kirumba
Nina weka video inagoma
Leo yame somba watu kama manamba
 
Mwam
Mkuu viongozi wengine wa Dini wameamua kuchagua Njia Pans....Sasa tufanyeje!?
Mwambie mgombea wenu abadilishe tabia.
Lazima kuna tatizo katika mahusiano yake na yale anayo wazia nchi
 
Pole Lissu kwa September 7, ilikiwa ninsikunya mauti kwako ila Mungu akawagomea watesi wako!!

Zaburi ya 23 ikasimama!! Mungu ni mwema!!
 
Picha inaongea vyema sana,kazi rahisi mno kwa upande wa huko,ila wamejitahidi.
 
Mabasi leo 'stand imekuwa apo kirumba
Nina weka video inagoma
Leo yame somba watu kama manamba
Hata usipoweka CCM kawaida yetu kutotesa wanachama wetu tuna matajiri kibao wanachama wetu wenye vyombo vya usafiri wa kubeba bure wanachama wetu kwenda mikutanoni ya CCM ni kawaida yetu usijihangaishe tuna matajiri kibao wa kufanya kazi Hiyo bure
 
Hata usipoweka COM kawaida yetu kutotesa wanachama wetu tuna matajiri kibao wanachama wetu wenye vyombo vya usafiri wa kubeba bure wanachama wetu kwenda mikutanoni ya CCM ni kawaida yetu usijihangaishe tuna matajiri kibao wa kufanya kazi Hiyo bure
😂😂😂😂😂😂😂
Matajiri walisha geuzwa kuwa mashetani shika adabu yako wewe me mwenyewe nipo nusu shetani!!!
Iyo ni kazi ya 1.5!
 
Upinzani unanguvu sana magufuli lazima aibe kura sana vinginevo ccm hawataamini kipigo cha kushtukiza, maisha ya watu yamepigwa na ukata mzunguko wa fedha upo chinii sana
Ccm inakubalika wewe.

Hujaona lile nyomi la Wanafunzi kule mwanza ?
 
Back
Top Bottom