Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #181
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa nadhani kuwa Uchaguzi Mkuu huu ujao wa Oktoba 28, 2020 utakuwa mrahisi kwa Mgombea fulani na Chama fulani ila sasa naogopa mno.
Lissu hatokubali kuibiwaUpinzani unanguvu sana magufuli lazima aibe kura sana vinginevo ccm hawataamini kipigo cha kushtukiza, maisha ya watu yamepigwa na ukata mzunguko wa fedha upo chinii sana
Wanaita propaganda.
Huko zanziba na kungine mnako enda hakuna mashehe na maaskofu zaidi ya mwamakura na katimba? Au hao ni wana siasa?Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mh Tundu Lissu mgombea urais mwenye hoja nzito na asiyewatisha wananchi , leo atanadi sera zake Zanzibar kwenye viwanja vya Kibandamaiti.
Ikumbukwe kwamba hii Septemba 7 ndio kumbukumbu ya kushambuliwa kwake , ambapo watu waliotumwa na Shetani walimmiminia risasi zaidi ya 38 kwa lengo la kumuua ili kumridhisha shetani , hata hivyo Mungu alimfufua kutoka kwenye kifo baada ya shambulio hilo la kishamba kutoka kwa watu waoga walioshindwa hoja.
=======
Kwa vile leo pia ni siku ya kumbukumbu ya shambulio la kinyama dhidi ya Lissu ,
View attachment 1561705
timu ya kampeni iliimba wimbo maalum wa kumtukuza Mungu kama shukrani kwa Uhai wa Tundu Lissu .
Jionee mwenyewe
View attachment 1561410
View attachment 1561705
View attachment 1561871View attachment 1561872View attachment 1561873View attachment 1561874View attachment 1561875View attachment 1561876View attachment 1561877View attachment 1561878View attachment 1561879View attachment 1561880View attachment 1561881View attachment 1561882
Purely Talented!Nilikuwa nadhani kuwa Uchaguzi Mkuu huu ujao wa Oktoba 28, 2020 utakuwa mrahisi kwa Mgombea fulani na Chama fulani ila sasa naogopa mno.
Hivi mwamakura kanisani kwake nani anaendesha misa? Maana naona ni meneja kampeni ni wa chademaHuyo atakuwa Lucifer ndio mnaetegemea baraka zake, ila Mungu muumba mbingu na ardhi Hana habari na yuda na kizazi cha nyoka.
Mkuu viongozi wengine wa Dini wameamua kuchagua Njia Pans....Sasa tufanyeje!?Huko zanziba na kungine mnako enda hakuna mashehe na maaskofu zaidi ya mwamakura na katimba? Au hao ni wana siasa?
Mpeni katimba na mwamakura.
Mabasi leo 'stand imekuwa apo kirumbaAchaneni na kibandamaiti angalieni TV kinachoendelea uwanja wa kirumba mwanza mjini. Kura tu za mwanza mjini zinatosha kumuweka rais madarakani angalieni umati uliopo.
Mwambie mgombea wenu abadilishe tabia.Mkuu viongozi wengine wa Dini wameamua kuchagua Njia Pans....Sasa tufanyeje!?
Hata usipoweka CCM kawaida yetu kutotesa wanachama wetu tuna matajiri kibao wanachama wetu wenye vyombo vya usafiri wa kubeba bure wanachama wetu kwenda mikutanoni ya CCM ni kawaida yetu usijihangaishe tuna matajiri kibao wa kufanya kazi Hiyo bureMabasi leo 'stand imekuwa apo kirumba
Nina weka video inagoma
Leo yame somba watu kama manamba
😂😂😂😂😂😂😂Hata usipoweka COM kawaida yetu kutotesa wanachama wetu tuna matajiri kibao wanachama wetu wenye vyombo vya usafiri wa kubeba bure wanachama wetu kwenda mikutanoni ya CCM ni kawaida yetu usijihangaishe tuna matajiri kibao wa kufanya kazi Hiyo bure
Ccm inakubalika wewe.Upinzani unanguvu sana magufuli lazima aibe kura sana vinginevo ccm hawataamini kipigo cha kushtukiza, maisha ya watu yamepigwa na ukata mzunguko wa fedha upo chinii sana
Kwa Lissu kusikilizwa na umati huu ni ishara ya hatari sanaView attachment 1561973
Si haba...
Wananchama wa ccm wakitoka kwenye mkutano wa chama 😀😀😀😀😀