Mamserenger
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,156
- 2,092
Ila huyu Msengerema anataka kutuaribia nchi yetu kwelii.
Hana njia njema kweli...
Hawezi mkuu! Atarudi kwa bebebru wake Amsterdamu akiwa analiaIla huyu Msengerema anataka kutuaribia nchi yetu kwelii.
Hana njia njema kweli.
Yaan watu waingie bara barani kwa ajili yake ili awe Rais.
Huyu Kengere wa kuangaliwa Kwa jicho la ukaribu asee
Superb! Ameongea vema kabisa! Kawashika pabaya! Utamuunga mkono tu!Missile of the Nation, pLissu kaongea vizuri sana kule Mtwara na Zanzibar nasubiri hotuba yake kule Pemba.
Sure love
Ccm ni chama cha kigaidi na hii ni serikali ya kishetaniFisiemu are monsters and bloodsuckers who are pretending to be humans
Kwa kweli Mungu wa Tundu Lissu ndio Mungu wa WatanzaniaWatanzania tumuombe atupe katiba na tume huru kwa umoja wetu tuishtaki serikali kupitia uwakili wake.Tumeona matunda yake kwa kweli ka Uhuru ka kusema angalau kidogo baada ya ujio wa Lissu.
Polepole.... Uchaguzi ukiwa huru na haki ccm ijiandae kukabidhi madarakaCCM haipo tangu 1995 haipo kwa sababu watu walikuwa chama alichokuwepo Maalim seif nacho ni CUF na sio CDM. Kama unaweka CDM na ACT sasa ivi, Lissu anaambulia kura za wapambe tu.
Ni kichaa tu unaweza kupenda shetani huyo....Lissu mzalendo anayetafutiwa urais na wazungu!! we uliona wapi mtu mwenye uraia wa ubelgiji anang'ang'ania kuwa Rais wa Tz? nani kampa hela? aliyemlipa anategemea kuvuna nini? kwa nini? halafu unasema Lissu mzalendo!! bora hata Hashim Rungwe! we Mtu anakuja kudai urais kwa maelekezo na ulinzi wq Robert Amstardam?? Hao wazungu wanataka nini? Lissu sio, hajawahi, hatakuja kuwa mzalendo, nani alisema tusiwadai wazungu gawio eti tutashitakiwa?? Lissu ni kichaa. Over.
Ni kichaa tu unaweza kupenda shetani huyo....Ni vichaa peke yenu mnayeamini eti mwendawizimu mwenye faili mirembe anaweza kuja kuwa Rais wa nchi hii!! Lissu ni kichaa.Over.
Mzalendo gani anayetafutiwa urais na wabelgiji???Ni kichaa tu unaweza kupenda shetani huyo....
Tulishauri wagombea wapimwe akili kabla ya kuteuliwa na tume..... Oneni mgombea wenu anavoropoka km kichaa...
Tundu Lissu akili kubwa mzalendo wa kweli ndiye anayetakiwa na watz sio huyo nyampala Mshamba na limbukeni aliyeharibu nchi yetu nzuri.....
Ulitaka atafutiwe na Burundi km mhutu wenu anavohangaika na ndugu zakeMzalendo gani anayetafutiwa urais na wabelgiji???
Kamwe haitotokea kukawa na uchaguzi wa haki kwa Zanzibar. Wamethubutu kusema ndani ya Bunge kuwa nchi haitoki kwa makaratasi hii, wao wamepindua. Maana yake waliopo saivi kama wanataka kuongoza nchi na wao wapindue, wamwage damu.Polepole.... Uchaguzi ukiwa huru na haki ccm ijiandae kukabidhi madaraka
MKwa kweli Mungu wa Tundu Lissu ndio Mungu wa Watanzania
Bila Shaka wewe ndie wale wa vyeti fekiNi kichaa tu unaweza kupenda shetani huyo....
Tulishauri wagombea wapimwe akili kabla ya kuteuliwa na tume..... Oneni mgombea wenu anavoropoka km kichaa...
Tundu Lissu akili kubwa mzalendo wa kweli ndiye anayetakiwa na watz sio huyo nyampala Mshamba na limbukeni aliyeharibu nchi yetu nzuri.....