Zanzibar 2020 Zanzibar: Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu (CHADEMA), afanya Mkutano Uwanja wa Kibandamaiti

Ila huyu Msengerema anataka kutuaribia nchi yetu kwelii.

Hana njia njema kweli.

Yaan watu waingie bara barani kwa ajili yake ili awe Rais.
Huyu Kengere wa kuangaliwa Kwa jicho la ukaribu asee
 
JPM atashinda kwa zaidi ya asilimia 90% na Hakuna mtu ataingia barabarani mana ni maendeleo tunayaona mabadiko makubwa yanaonekana nani atakubali kurubuniwa na Genge la wahuni wa Kaskazini yani tuwape nchi wakina mbowe tuna kichaa, magufuli bado tuna imani nae and he is there to stay
 
Ila huyu Msengerema anataka kutuaribia nchi yetu kwelii.

Hana njia njema kweli.

Yaan watu waingie bara barani kwa ajili yake ili awe Rais.
Huyu Kengere wa kuangaliwa Kwa jicho la ukaribu asee
Hawezi mkuu! Atarudi kwa bebebru wake Amsterdamu akiwa analia
 
Huyu Lisu ni mpinzani wa kweli na anania ya kweli kuingia Ikulu na kutukomboa.
Hawa kina Membe nahisi wamepandikizwa kama walivyofanya kwa Lowasa.
 
Watanzania tumuombe atupe katiba na tume huru kwa umoja wetu tuishtaki serikali kupitia uwakili wake.Tumeona matunda yake kwa kweli ka Uhuru ka kusema angalau kidogo baada ya ujio wa Lissu.
Kwa kweli Mungu wa Tundu Lissu ndio Mungu wa Watanzania
 
CCM haipo tangu 1995 haipo kwa sababu watu walikuwa chama alichokuwepo Maalim seif nacho ni CUF na sio CDM. Kama unaweka CDM na ACT sasa ivi, Lissu anaambulia kura za wapambe tu.
Polepole.... Uchaguzi ukiwa huru na haki ccm ijiandae kukabidhi madaraka
 
Lissu mzalendo anayetafutiwa urais na wazungu!! we uliona wapi mtu mwenye uraia wa ubelgiji anang'ang'ania kuwa Rais wa Tz? nani kampa hela? aliyemlipa anategemea kuvuna nini? kwa nini? halafu unasema Lissu mzalendo!! bora hata Hashim Rungwe! we Mtu anakuja kudai urais kwa maelekezo na ulinzi wq Robert Amstardam?? Hao wazungu wanataka nini? Lissu sio, hajawahi, hatakuja kuwa mzalendo, nani alisema tusiwadai wazungu gawio eti tutashitakiwa?? Lissu ni kichaa. Over.
Ni kichaa tu unaweza kupenda shetani huyo....
Tulishauri wagombea wapimwe akili kabla ya kuteuliwa na tume..... Oneni mgombea wenu anavoropoka km kichaa...
Tundu Lissu akili kubwa mzalendo wa kweli ndiye anayetakiwa na watz sio huyo nyampala Mshamba na limbukeni aliyeharibu nchi yetu nzuri.....
 
Ni vichaa peke yenu mnayeamini eti mwendawizimu mwenye faili mirembe anaweza kuja kuwa Rais wa nchi hii!! Lissu ni kichaa.Over.
Ni kichaa tu unaweza kupenda shetani huyo....
Tulishauri wagombea wapimwe akili kabla ya kuteuliwa na tume..... Oneni mgombea wenu anavoropoka km kichaa...
Tundu Lissu akili kubwa mzalendo wa kweli ndiye anayetakiwa na watz sio huyo nyampala Mshamba na limbukeni aliyeharibu nchi yetu nzuri.....
 
Ni kichaa tu unaweza kupenda shetani huyo....
Tulishauri wagombea wapimwe akili kabla ya kuteuliwa na tume..... Oneni mgombea wenu anavoropoka km kichaa...
Tundu Lissu akili kubwa mzalendo wa kweli ndiye anayetakiwa na watz sio huyo nyampala Mshamba na limbukeni aliyeharibu nchi yetu nzuri.....
Mzalendo gani anayetafutiwa urais na wabelgiji???
 
Polepole.... Uchaguzi ukiwa huru na haki ccm ijiandae kukabidhi madaraka
Kamwe haitotokea kukawa na uchaguzi wa haki kwa Zanzibar. Wamethubutu kusema ndani ya Bunge kuwa nchi haitoki kwa makaratasi hii, wao wamepindua. Maana yake waliopo saivi kama wanataka kuongoza nchi na wao wapindue, wamwage damu.
 
Tunakubali hapajawah kua na mgombea bora wa upinzani kama ilivyo sasa. Ila na sisi CCM tumejipanga!!
 
Ni kichaa tu unaweza kupenda shetani huyo....
Tulishauri wagombea wapimwe akili kabla ya kuteuliwa na tume..... Oneni mgombea wenu anavoropoka km kichaa...
Tundu Lissu akili kubwa mzalendo wa kweli ndiye anayetakiwa na watz sio huyo nyampala Mshamba na limbukeni aliyeharibu nchi yetu nzuri.....
Bila Shaka wewe ndie wale wa vyeti feki
Au Wasomi uchwara mlio kosa ajira

Ama Jipu lililo Iva alafu likatumbuliwaa

Poleee sanaaaa

Magu mitano tenaa

Kafie mbeleeee
 
Back
Top Bottom