The Elephant
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 4,342
- 4,614
Uzuri baada ya uchaguzi Kaijage atakuwa chini ya mikono isiyo na damuAzuiwe haraka! Anakwenda "kuchomoa betri" kuhusu Muungano. Leo ndio Magu atamjua Lisu ni nani!
Kaijage lazima aangushiwe jumba bovu baada ya uchaguzi, kwanini alimpa fomu na kisha kumpitisha!
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Asante sana Genta.Nilikuwa nadhani kuwa Uchaguzi Mkuu huu ujao wa Oktoba 28, 2020 utakuwa mrahisi kwa Mgombea fulani na Chama fulani ila sasa naogopa mno.
Hahahaha roho itakutoka mwaka huu. Lissu amtume kubenea kufwata million 28? Hivi unajua kama Kubenea alishaondoka CHADEMA?Mwambieni Lisu Kubenea kadakwa na pesa zake alizomtuma akachukue kenya
Hilo dude huu mwaka halichomoki limeanza kupaniki sana hata lugha yake haina hata chembe ya hekima wakubwa wanadai kwamba hali itazidi kuwa mbaya kila uchao.Mwaka huu litakufa jitu
Hakikaa..Dunia kigeugeu!!Mungu mbariki na kumlinda TAL...Hii siku ni muhimu sana kwake , familia yake na wapenda haki duniani kote..
JOKA kuu ni hilo shetani unaloshabikia linalofaurahia kuua, kuteka, kupiga watu risasi hovyo, kutoa lugha zenye ukakasi kila uchao sasa hivi litawekwa uchi na litapaniki.Mungu Hana time na kina yuda iskariote hawezi kupoteza baraka zake kwa uzao wa nyoka
Hahaaa........ Misukule ya lumumba bana🤣🤣Kwahiyo kila nyimba muna sema mumenunua ndege na kutengeza madaraja
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mh Tundu Lissu mgombea urais mwenye hoja nzito na asiyewatisha wananchi , leo atanadi sera zake Zanzibar kwenye viwanja vya Kibandamaiti.
Ikumbukwe kwamba hii Septemba 7 ndio kumbukumbu ya kushambuliwa kwake , ambapo watu waliotumwa na Shetani walimmiminia risasi zaidi ya 38 kwa lengo la kumuua ili kumridhisha shetani , hata hivyo Mungu alimfufua kutoka kwenye kifo baada ya shambulio hilo la kishamba kutoka kwa watu waoga walioshindwa hoja.
Huyu mgombea wa Chadema atapata hata kura laki mbili?
Huu mwaka Chama Cha Mauaji mna hali mbaya, mara ooh Lisu mgonjwa, sijui CDM haina hela ya kampeni sijui nini huu mwaka mtawaomba wanyama kama fungo, nyegere, bunde blazatusii (kakakuona) wawapigie kura vinginevyo CHALII.kura za uraisi huwa hazitafutwi kwa style hii ya chadema labda kama wanajitambulisha kwa wananchi kwa ajili ya uchaguzi wa 2025 sio mwaka huu 2020.
kura za urais sio rahisi kuzipata kwa style hiyo
Ndio kaondoka lakini yeye na Lisu wana urafiki binafsi alimtuma akamchukulie hela KenyaHahahaha roho itakutoka mwaka huu. Lissu amtume kubenea kufwata million 28? Hivi unajua kama Kubenea alishaondoka CHADEMA?
Weka ushahidi wa pichaNdio kaondoka lakini yeye na Lisu wana urafiki binafsi alimtuma akamchukulie hela Kenya
Hayo ndo makosa ya upinzani. Badala ya kusifia CHADEMA, munasifia Tundu Lissu. 2015 pia CCM waliona hawana soko wakaanza kusifu Magufuli. Alipita na ameamua kuifanya nchi na serikali ni mali yake. Je Lissu akipita ataongoza na nani wakati CHADEMA haisikiki?
Lisu na kubenea ni marafiki wakubwa Lisu Ndie alimpa ushauri wa kisheria kubenea jinsi ya kumwekea pingamizi mgombea ubunge wa Chadema ubungo Boniphace JacobHahahaha roho itakutoka mwaka huu. Lissu amtume kubenea kufwata million 28? Hivi unajua kama Kubenea alishaondoka CHADEMA?
OkLisu na kubenea ni marafiki wakubwa Lisu Ndie alimpa ushauri wa kusheria kubenea jinsi ya kumwekea pingamizi mgombea ubunge wa Chadema ubungo Boniphace Jacob
Iskariote ni yule anayeua watu na kuwateka raia wake mwenyewe.Mungu Hana time na kina yuda iskariote hawezi kupoteza baraka zake kwa uzao wa nyoka [emoji16]