Zanzibar 2020 Zanzibar: Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu (CHADEMA), afanya Mkutano Uwanja wa Kibandamaiti

Zanzibar 2020 Zanzibar: Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu (CHADEMA), afanya Mkutano Uwanja wa Kibandamaiti

Mkutano mnaifanya mortuary kibanda maiti nyie Chadema vipi? Yaani mikutano mumeanza messages viwanja vya mortuary
 
Go Lissu!! Mungu akutangulie na akushindie kwenye uchaguzi wa mwaka huu!! Kwa Jina la Yesu!!
 
kura za uraisi huwa hazitafutwi kwa style hii ya chadema labda kama wanajitambulisha kwa wananchi kwa ajili ya uchaguzi wa 2025 sio mwaka huu 2020.
kura za urais sio rahisi kuzipata kwa style hiyo
 
Mungu Hana time na kina yuda iskariote hawezi kupoteza baraka zake kwa uzao wa nyoka
emoji16.png
JOKA kuu ni hilo shetani unaloshabikia linalofaurahia kuua, kuteka, kupiga watu risasi hovyo, kutoa lugha zenye ukakasi kila uchao sasa hivi litawekwa uchi na litapaniki.
 
Zanzibar oyeeee. Zanzibar ni Nchi kamili. Jamhuri ya Watu wa Zanzibar oyeee
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mh Tundu Lissu mgombea urais mwenye hoja nzito na asiyewatisha wananchi , leo atanadi sera zake Zanzibar kwenye viwanja vya Kibandamaiti.

Ikumbukwe kwamba hii Septemba 7 ndio kumbukumbu ya kushambuliwa kwake , ambapo watu waliotumwa na Shetani walimmiminia risasi zaidi ya 38 kwa lengo la kumuua ili kumridhisha shetani , hata hivyo Mungu alimfufua kutoka kwenye kifo baada ya shambulio hilo la kishamba kutoka kwa watu waoga walioshindwa hoja.


Mbona hujaweka wakati ?? saa ngapi ??
 
kura za uraisi huwa hazitafutwi kwa style hii ya chadema labda kama wanajitambulisha kwa wananchi kwa ajili ya uchaguzi wa 2025 sio mwaka huu 2020.
kura za urais sio rahisi kuzipata kwa style hiyo
Huu mwaka Chama Cha Mauaji mna hali mbaya, mara ooh Lisu mgonjwa, sijui CDM haina hela ya kampeni sijui nini huu mwaka mtawaomba wanyama kama fungo, nyegere, bunde blazatusii (kakakuona) wawapigie kura vinginevyo CHALII.
 
Hahahaha roho itakutoka mwaka huu. Lissu amtume kubenea kufwata million 28? Hivi unajua kama Kubenea alishaondoka CHADEMA?
Ndio kaondoka lakini yeye na Lisu wana urafiki binafsi alimtuma akamchukulie hela Kenya
 
Hayo ndo makosa ya upinzani. Badala ya kusifia CHADEMA, munasifia Tundu Lissu. 2015 pia CCM waliona hawana soko wakaanza kusifu Magufuli. Alipita na ameamua kuifanya nchi na serikali ni mali yake. Je Lissu akipita ataongoza na nani wakati CHADEMA haisikiki?

..katiba itawekwa vizuri ili mtu mmoja asiweze kuhodhi madaraka.

..Jpm kufanya serikali na vyombo kuwa kama mali yake, ni tatizo la kibinafsi, lakini linalowezeshwa na katiba.
 
Hahahaha roho itakutoka mwaka huu. Lissu amtume kubenea kufwata million 28? Hivi unajua kama Kubenea alishaondoka CHADEMA?
Lisu na kubenea ni marafiki wakubwa Lisu Ndie alimpa ushauri wa kisheria kubenea jinsi ya kumwekea pingamizi mgombea ubunge wa Chadema ubungo Boniphace Jacob
 
Back
Top Bottom