Zanzibar 2020 Zanzibar: Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu (CHADEMA), afanya Mkutano Uwanja wa Kibandamaiti

Lisu na kubenea ni marafiki wakubwa Lisu Ndie alimpa ushauri wa kusheria kubenea jinsi ya kumwekea pingamizi mgombea ubunge wa Chadema ubungo Boniphace Jacob
Pesa za laana mlizomlipa Kubenea zimemtoka puani
 
Wanahaha muda hata. Hata mambo ya mpira hawaruhusiwi kufatilia, nguvu na akili zote wameambiwa waelekeze kwenye kumnadi mgombea.
 
Tutegemee makubwa huko huyu ni level ya Juu kabisa
 
Achaneni na kibandamaiti angalieni TV kinachoendelea uwanja wa kirumba mwanza mjini .Kura tu za mwanza mjini zinatosha kumuweka raisi madarakani angalieni umati uliopo
Kumbe unakubaliana umati unaleta matokeo..sasa iweje wakiwa upinzani unahoji kama ni wapiga kura.
 
Nilikuwa nadhani kuwa Uchaguzi Mkuu huu ujao wa Oktoba 28, 2020 utakuwa mrahisi kwa Mgombea fulani na Chama fulani ila sasa naogopa mno.
Mkuu had the same idea down here but mambo kwa ground ni different
 
CHADEMA inakwenda kuwapa Uhuru wazanzibari kwa Katiba Mpya ya serikali 3, Niko zenji hap watu wanasubiri lissu kwa hamu sana.
 
Nilikuwa nadhani kuwa Uchaguzi Mkuu huu ujao wa Oktoba 28, 2020 utakuwa mrahisi kwa Mgombea fulani na Chama fulani ila sasa naogopa mno.
Mwaka huu ccm tunachukua madaraka tena asubuhi kabla jogoo hajawika.
 
Wangeliungana na ACT pangefurika. Watu Zanzibar wanamsubiri Maalim Seif tu!
Tatizo lenu mnakurupushwa hata siasa hamzijui zanzibar CDM haijamsimamisha mgombea urais kumpisha Maalim Seif hata leo kwenye mkutano anaweza kuwapo upo nyonyo stay tune mambo mazuri yanakuja mtaelewa tu
 
Hapo tayari nimemaliza Mkuu na nina uhakika wale wenye 'Akili' kubwa, wafuatiliaji wa 'Masuala' watakuwa 'wameshanielewa' yema sana tu Mkuu.
Hapo ndipo unapokosea Mkuu kila mtu Ana karama yake,Kuna wengine ni slow leaner,jinias huelewi hili?
Hebu funguka kwa hao wasio na akili kubwa Kama yako.
Kuwa na akili Ni pamoja na kujua udhaifu wa wengine.
Funguka jinias wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…