Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,273
Mimi nimekuelewa na nakuelewaga sana mkuu!Hapo tayari nimemaliza Mkuu na nina uhakika wale wenye 'Akili' kubwa, wafuatiliaji wa 'Masuala' watakuwa 'wameshanielewa' yema sana tu Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nimekuelewa na nakuelewaga sana mkuu!Hapo tayari nimemaliza Mkuu na nina uhakika wale wenye 'Akili' kubwa, wafuatiliaji wa 'Masuala' watakuwa 'wameshanielewa' yema sana tu Mkuu.
Pesa za laana mlizomlipa Kubenea zimemtoka puaniLisu na kubenea ni marafiki wakubwa Lisu Ndie alimpa ushauri wa kusheria kubenea jinsi ya kumwekea pingamizi mgombea ubunge wa Chadema ubungo Boniphace Jacob
Viashiria vya kukaukiwa hoja.Mkutano mnaifanya mortuary kibanda maiti nyie Chadema vipi? Yaani mikutano mumeanza messages viwanja vya mortuary
Kumbe unakubaliana umati unaleta matokeo..sasa iweje wakiwa upinzani unahoji kama ni wapiga kura.Achaneni na kibandamaiti angalieni TV kinachoendelea uwanja wa kirumba mwanza mjini .Kura tu za mwanza mjini zinatosha kumuweka raisi madarakani angalieni umati uliopo
Mkuu had the same idea down here but mambo kwa ground ni differentNilikuwa nadhani kuwa Uchaguzi Mkuu huu ujao wa Oktoba 28, 2020 utakuwa mrahisi kwa Mgombea fulani na Chama fulani ila sasa naogopa mno.
CHADEMA inakwenda kuwapa Uhuru wazanzibari kwa Katiba Mpya ya serikali 3, Niko zenji hap watu wanasubiri lissu kwa hamu sana.Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mh Tundu Lissu mgombea urais mwenye hoja nzito na asiyewatisha wananchi , leo atanadi sera zake Zanzibar kwenye viwanja vya Kibandamaiti.
Ikumbukwe kwamba hii Septemba 7 ndio kumbukumbu ya kushambuliwa kwake , ambapo watu waliotumwa na Shetani walimmiminia risasi zaidi ya 38 kwa lengo la kumuua ili kumridhisha shetani , hata hivyo Mungu alimfufua kutoka kwenye kifo baada ya shambulio hilo la kishamba kutoka kwa watu waoga walioshindwa hoja.
Unaogopa kwamba hao wengine ni wananyama sio Binaadamu auNilikuwa nadhani kuwa Uchaguzi Mkuu huu ujao wa Oktoba 28, 2020 utakuwa mrahisi kwa Mgombea fulani na Chama fulani ila sasa naogopa mno.
Hadi wewe umesema ukweli kuwaNilikuwa nadhani kuwa Uchaguzi Mkuu huu ujao wa Oktoba 28, 2020 utakuwa mrahisi kwa Mgombea fulani na Chama fulani ila sasa naogopa mno.
Kama tumemlipa serikali ya CCM tungemkamata?Pesa za laana mlizomlipa Kubenea zimemtoka puani
Mwaka huu ccm tunachukua madaraka tena asubuhi kabla jogoo hajawika.Nilikuwa nadhani kuwa Uchaguzi Mkuu huu ujao wa Oktoba 28, 2020 utakuwa mrahisi kwa Mgombea fulani na Chama fulani ila sasa naogopa mno.
Tatizo lenu mnakurupushwa hata siasa hamzijui zanzibar CDM haijamsimamisha mgombea urais kumpisha Maalim Seif hata leo kwenye mkutano anaweza kuwapo upo nyonyo stay tune mambo mazuri yanakuja mtaelewa tuWangeliungana na ACT pangefurika. Watu Zanzibar wanamsubiri Maalim Seif tu!
Ona huyu yaani mnaonekana jinsi mlivyo weupe kichwani pole yenuMwambieni Lisu Kubenea kadakwa na pesa zake alizomtuma akachukue kenya
Hapo ndipo unapokosea Mkuu kila mtu Ana karama yake,Kuna wengine ni slow leaner,jinias huelewi hili?Hapo tayari nimemaliza Mkuu na nina uhakika wale wenye 'Akili' kubwa, wafuatiliaji wa 'Masuala' watakuwa 'wameshanielewa' yema sana tu Mkuu.
Tangu kauli hiyo namchukia sana MembeMembe ni mnafiki na msaliti wa upinzani. Kumbuka kauli yake hii, "Mimi nimetafuta wadhamini kimya kimya bila mbwembwe ili kukwepa mtego". Hapa alimlenga Lisu asipitishwe.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Ndio kaondoka lakini yeye na Lisu wana urafiki binafsi alimtuma akamchukulie hela Kenya