Acha kujichoresha mkuu..... Ccm haijawahi kuwepo Zanzibar tangu 2000.......Labda nikupe taarifa tu, hakuna chama cha upinzani chochote Zanzibar kinachoweza kukusanya umati zaidi ya chama alichokuwepo Maalim Seif na CCM tu. Na kama hujui, tangu zamani CDM Zanzibar haikuwa na wafuasi kama ilivyo bara, CDM inaoenekana ni kama vyama visivyokuwa na ishu Zanzibar. Wazanzibari wao ni Maalim Seif na sio Lissu wala yoyote kutoka chadema. Waulize ACT.
Mzee wa kuogopa kuteleza wkt wa kusaka wadhamini sasa naona kapiga mweleka kabisaTupeni updates na kampeni za Membe
Membe ameunga mkono juhudi za Rais mbabe Daktari Mwalim Mkuu wa majeshi ya chini na Ardhi John PombeMzee wa kuogopa kuteleza wkt wa kusaka wadhamini sasa naona kapiga mweleka kabisa
Wahudhuriaji ktk kampeni zake hawafikishi akidi inayotakikana wapo wanaosema technicaly nikama Mzee amejitoa
Zito kamwachia jumba bovu yy anasaka ubunge kwao huko
Na upo uwezekano ndiye aliyemchoma kubenea, act hakuna rangi wataacha kuionaMembe ni mnafiki na msaliti wa upinzani. Kumbuka kauli yake hii, "Mimi nimetafuta wadhamini kimya kimya bila mbwembwe ili kukwepa mtego". Hapa alimlenga Lisu asipitishwe.
Unadanganywa Na waliokwenda kuangalia tamasha la wasanii, vp leo hajatoa bokoAchaneni na kibandamaiti angalieni TV kinachoendelea uwanja wa kirumba mwanza mjini .Kura tu za mwanza mjini zinatosha kumuweka raisi madarakani angalieni umati uliopo
Kutokutangaza maana yake corona haipo. Corona ipo na watu wanakufa. Alafu sisi watu wengi wamekufa kwa takwimu za mara ya mwisho kuliko hata Uganda.Alituongoza Watanzania kuiombea Tanzania tuepukane na corona, Mungu akatusikia
Rais Magufuli anahekma km za Sulemani /mbeba maono
Msaliti ni huyo anayehujumu raslimari za taifa akipeleka chato huku Watz wakiendelea kua hohehohe.Huyo lissu aliachwa hai asife ili ajute juu ya usaliti alioufanya juu ya Nchi yake
Hakuna dhambi mbaya kama usaliti, lissu anajua maumivu yake
Namwomba Mungu nisiisaliti Nchi yangu kama lissu
Kutokutangaza maana yake corona haipo..... Corona ipo na watu wanakufa.... Alafu sisi watu wengi wamekufa kwa takwimu za mara ya mwisho kuliko hata Uganda......Huyo lissu aliachwa hai asife ili ajute juu ya usaliti alioufanya juu ya Nchi yake
Hakuna dhambi mbaya kama usaliti, lissu anajua maumivu yake
Namwomba Mungu nisiisaliti Nchi yangu kama lissu
Kutokutangaza maana yake corona haipo..... Corona ipo na watu wanakufa.... Alafu sisi watu wengi wamekufa kwa takwimu za mara ya mwisho kuliko hata Uganda......Huyo lissu aliachwa hai asife ili ajute juu ya usaliti alioufanya juu ya Nchi yake
Hakuna dhambi mbaya kama usaliti, lissu anajua maumivu yake
Namwomba Mungu nisiisaliti Nchi yangu kama lissu
Kwanini unaogopa broo?Nilikuwa nadhani kuwa Uchaguzi Mkuu huu ujao wa Oktoba 28, 2020 utakuwa mrahisi kwa Mgombea fulani na Chama fulani ila sasa naogopa mno.
Ya Zanzibar huyajui, Zanzibar ni vyama viwili tu, Alichokuwepo Maalim na CCM, ukiachilia chama alichokuwepo Maalim Seif, hakuna chama chengine ambacho kinaweza kukishinda CCM japo kwenye uwakilishi.Acha kujichoresha mkuu..... Ccm haijawahi kuwepo Zanzibar tangu 2000.......
Ona leo mkutano wa Lissu unguja alafu ndo urudi kulalama
Lisu Ni yuda iskariote chadema Ni kizazi Cha [emoji216]
Endelea kumtukana Mungu matusi ya nguoniAlituongoza Watanzania kuiombea Tanzania tuepukane na corona, Mungu akatusikia
Rais Magufuli anahekma km za Sulemani /mbeba maono
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mh Tundu Lissu mgombea urais mwenye hoja nzito na asiyewatisha wananchi , leo atanadi sera zake Zanzibar kwenye viwanja vya Kibandamaiti.
Ikumbukwe kwamba hii Septemba 7 ndio kumbukumbu ya kushambuliwa kwake , ambapo watu waliotumwa na Shetani walimmiminia risasi zaidi ya 38 kwa lengo la kumuua ili kumridhisha shetani , hata hivyo Mungu alimfufua kutoka kwenye kifo baada ya shambulio hilo la kishamba kutoka kwa watu waoga walioshindwa hoja.
unaruhusiwa ku update mkuu , jf ni ya woteUnaanzisha uzi halafu hakuna updates? Hovyo kabisa
Kwa nini unasema hivyo mkuu?Nilikuwa nadhani kuwa Uchaguzi Mkuu huu ujao wa Oktoba 28, 2020 utakuwa mrahisi kwa Mgombea fulani na Chama fulani ila sasa naogopa mno.