Zanzibar 2020 Zanzibar: Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu (CHADEMA), afanya Mkutano Uwanja wa Kibandamaiti

Zanzibar 2020 Zanzibar: Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu (CHADEMA), afanya Mkutano Uwanja wa Kibandamaiti

Labda nikupe taarifa tu, hakuna chama cha upinzani chochote Zanzibar kinachoweza kukusanya umati zaidi ya chama alichokuwepo Maalim Seif na CCM tu. Na kama hujui, tangu zamani CDM Zanzibar haikuwa na wafuasi kama ilivyo bara, CDM inaoenekana ni kama vyama visivyokuwa na ishu Zanzibar. Wazanzibari wao ni Maalim Seif na sio Lissu wala yoyote kutoka chadema. Waulize ACT.
Acha kujichoresha mkuu..... Ccm haijawahi kuwepo Zanzibar tangu 2000.......
Ona leo mkutano wa Lissu unguja alafu ndo urudi kulalama
 
Tupeni updates na kampeni za Membe
Mzee wa kuogopa kuteleza wkt wa kusaka wadhamini sasa naona kapiga mweleka kabisa

Wahudhuriaji ktk kampeni zake hawafikishi akidi inayotakikana wapo wanaosema technicaly nikama Mzee amejitoa

Zito kamwachia jumba bovu yy anasaka ubunge kwao huko
 
Membe ameunga mkono juhudi za Rais mbabe Daktari Mwalim Mkuu wa majeshi ya chini na Ardhi John Pombe
 
Membe ni mnafiki na msaliti wa upinzani. Kumbuka kauli yake hii, "Mimi nimetafuta wadhamini kimya kimya bila mbwembwe ili kukwepa mtego". Hapa alimlenga Lisu asipitishwe.
Na upo uwezekano ndiye aliyemchoma kubenea, act hakuna rangi wataacha kuiona

Waliambiwa membe sio wa kumpa kijiti cha urais wakadhani watu wanawaonea wivu, ss anawachania mikeka asubuhi tu
 
Achaneni na kibandamaiti angalieni TV kinachoendelea uwanja wa kirumba mwanza mjini .Kura tu za mwanza mjini zinatosha kumuweka raisi madarakani angalieni umati uliopo
Unadanganywa Na waliokwenda kuangalia tamasha la wasanii, vp leo hajatoa boko
 
Aje na huku kwetu Pemba atusaidie kuifuta CCM. Tuna jambo letu mwaka huu
 
Alituongoza Watanzania kuiombea Tanzania tuepukane na corona, Mungu akatusikia

Rais Magufuli anahekma km za Sulemani /mbeba maono
Kutokutangaza maana yake corona haipo. Corona ipo na watu wanakufa. Alafu sisi watu wengi wamekufa kwa takwimu za mara ya mwisho kuliko hata Uganda.

Mungu wa kweli ni Mungu wa Tundu Lissu aliyemponya na zile risasi 16 sio huyu muuaji aliyekataa hata watz wasimuombee mteule wa Mungu Tundu Lissu.
 
Huyo lissu aliachwa hai asife ili ajute juu ya usaliti alioufanya juu ya Nchi yake

Hakuna dhambi mbaya kama usaliti, lissu anajua maumivu yake

Namwomba Mungu nisiisaliti Nchi yangu kama lissu
Msaliti ni huyo anayehujumu raslimari za taifa akipeleka chato huku Watz wakiendelea kua hohehohe.
 
Huu mtiti wa kampeni za Lissu, kuna mtu analala usingizi wa mang'amu ng'amu. .. kwa sisi watu wa soka kosa hili la kiufundi huwa tunaita " a defender caught out of position"
 
Huyo lissu aliachwa hai asife ili ajute juu ya usaliti alioufanya juu ya Nchi yake

Hakuna dhambi mbaya kama usaliti, lissu anajua maumivu yake

Namwomba Mungu nisiisaliti Nchi yangu kama lissu
Kutokutangaza maana yake corona haipo..... Corona ipo na watu wanakufa.... Alafu sisi watu wengi wamekufa kwa takwimu za mara ya mwisho kuliko hata Uganda......
Mungu wa kweli ni Mungu wa Tundu Lissu aliyemponya na zile risasi 16 sio huyu muuaji aliyekataa hata watz wasimuombee mteule wa Mungu Tundu Lissu.....
 
Ingependeza mgombea wa nafasi ya Urais Muungano apate asilimia 51 % ya wapiga kura toka pande mbili zinazotengeneza Muungano yaani apate asilimia 51 au zaidi ya kura toka wapiga kura wa Tanganyika na pia 51 % au zaidi ya wapiga kura toka Zanzibar.

Hivyo iwe mtu hawezi kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ikiwa amepata kura upungufu upande wowote wa Muungano yaani amekataliwa upande mmoja wa Muungano.
 
Acha kujichoresha mkuu..... Ccm haijawahi kuwepo Zanzibar tangu 2000.......
Ona leo mkutano wa Lissu unguja alafu ndo urudi kulalama
Ya Zanzibar huyajui, Zanzibar ni vyama viwili tu, Alichokuwepo Maalim na CCM, ukiachilia chama alichokuwepo Maalim Seif, hakuna chama chengine ambacho kinaweza kukishinda CCM japo kwenye uwakilishi.
 
Alituongoza Watanzania kuiombea Tanzania tuepukane na corona, Mungu akatusikia

Rais Magufuli anahekma km za Sulemani /mbeba maono
Endelea kumtukana Mungu matusi ya nguoni
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mh Tundu Lissu mgombea urais mwenye hoja nzito na asiyewatisha wananchi , leo atanadi sera zake Zanzibar kwenye viwanja vya Kibandamaiti.

Ikumbukwe kwamba hii Septemba 7 ndio kumbukumbu ya kushambuliwa kwake , ambapo watu waliotumwa na Shetani walimmiminia risasi zaidi ya 38 kwa lengo la kumuua ili kumridhisha shetani , hata hivyo Mungu alimfufua kutoka kwenye kifo baada ya shambulio hilo la kishamba kutoka kwa watu waoga walioshindwa hoja.

Unaanzisha uzi halafu hakuna updates? Hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom