Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,263
Acha kujichoresha mkuu..... Ccm haijawahi kuwepo Zanzibar tangu 2000.......Labda nikupe taarifa tu, hakuna chama cha upinzani chochote Zanzibar kinachoweza kukusanya umati zaidi ya chama alichokuwepo Maalim Seif na CCM tu. Na kama hujui, tangu zamani CDM Zanzibar haikuwa na wafuasi kama ilivyo bara, CDM inaoenekana ni kama vyama visivyokuwa na ishu Zanzibar. Wazanzibari wao ni Maalim Seif na sio Lissu wala yoyote kutoka chadema. Waulize ACT.
Ona leo mkutano wa Lissu unguja alafu ndo urudi kulalama