Zanzibar 2020 Zanzibar: Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu (CHADEMA), afanya Mkutano Uwanja wa Kibandamaiti

Nasikia eti ukionekana unapiga picha eneo la mkutano mabaunsa wa CDM wanaweza wakakuua, sasa sijui hawataki tuone/tujue yanayojiri huko
 
Kuna Mtu atakuwa Rais kwa Kusindikizwa na SILIPO, SSIT na ZTWJ lakini siyo kwa 'Matakwa' rasmi ya wana 'Zenji' tena hasa hasa wale wa Pemba.
Mkuu,

Hili liko wazi na wazanzibari wenyewe wanalijua hili. Wazanzibari wanajua kwamba hawataachiwa serikali kwa kupitia kura ila imebidi wafuate tu taratibu ili wafike wanakotaka kufika!

Mwaka huu akipenda Mungu tutafika wanakotaka kutupeleka.
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuichagua tena hii Serikali ya WATEKA NYARA, mamia kwa maelfu wanakusanyika huko kupata BURUDANI YA WASANII tu. Kusitishwa kwa matamasha kwaajili ya COVID-19 kuliwaacha watu wengi katika lindi la upweke.
Ni misukule na vichaa tu ndio hawataichagua CCM
 
Kwa nini unamsemea Mungu kwani wewe una mkataba nae? au wewe ni secretary wake?
Kwani huyo niliemjibu ana mkata na mungu au yeye ni secretary wake Hadi aseme mungu ambariki yuda na kizazi Cha shetani?
 
Huu mtiti wa kampeni za Lissu, kuna mtu analala usingizi wa mang'amu ng'amu. .. kwa sisi watu wa soka kosa hili la kiufundi huwa tunaita " a defender caught out of position"
Nyomi la Mwanza leo umeliona , Magufuli atashinda kwa kishindo kwa kuiba kura za kutosha
Ccm oyeeeeee
 
Huko CCM kila mtu ni KAMBALE adabu hakuna kabisa Mkuu, ndio sababu unaona vijana kama akina Bashite wanapigana miti tu makamu wao.
Ukipitia Mabango ya Magufuli utaona yameandikaa Chagua Magufuli, ni nadra sana kukuta yameandikwa Chagua ccm
 
Subiria moto wa Tundu Lissu alafu urudi baadae....
Ccm haipo zenji tangu 2000
CCM haipo tangu 1995 haipo kwa sababu watu walikuwa chama alichokuwepo Maalim seif nacho ni CUF na sio CDM. Kama unaweka CDM na ACT sasa ivi, Lissu anaambulia kura za wapambe tu.
 
Hivi hii ajenda ya risasi bado ipo,? mara alimiminiwsma risasi 16, mara 38 , mara 64 hata hamueleweki!! hakuna kura za huruma hapa!!
Bado iko vilevile Kama ambavyo hatuwezi kuacha ujenzi wa CIA (Chato International Airport).
 
Zanzibar hakuna nyomi ndio maana hawaoneshi, nyomi lipo Mwanza ambapo wamejaa watoto wa shule za msingi wa kutosha
Cccm oyeeeer
Ma baunsa wa CHADEMA Leo walikuwa wakikimbiza hata watu wenye simu zao ukijifanya kupiga picha wanajua mbio wanakukimbiza kama mwizi usipige picha wakaaibika
 
Kwani huyo niliemjibu ana mkata na mungu au yeye ni secretary wake Hadi aseme mungu ambariki yuda na kizazi Cha shetani?
Yeye amemuomba tu Mungu, kukubali na kutokukubali maombi si juu yetu. Wala hatuwezi kujuwa ni nani kati yetu atapokelewa maombi. Mungu ni wa wote huwezi kumuamulia amkubalie au amkatalie yupi.
 
Kiwango cha uelewa/ufahamu wako juu ya uraia,katiba na sheria zake, kinatia shaka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…