Zanzibar: Mwanaume afikishwa Mahakamani kwa kukata viuno hadharani

watu hawaelewi jamaa anatumika mlango wa reverse na hiyo ndiyo kesi yake
 
Huyo jamaa ni shoga maarufu hapa Zanzibar, hayo mambo hakuna sheria inayomzuia kufanya hivyo, huwa akienda mahakaman anaachiwa
 
 
Kama kukata kiuno ni kiashiria cha ushoga, basi Diamond Platinumz atakua ni shoga papa.
Wazanzibari wanafanya maisha yawe magumu.

Itoshe kusema Zanzibar ni Islamic State
 
Kumbe mwanaume mwenyewe Mwisilamu?!

Waliomshitaki wanaume au wanawake?
Kama ni wanaume, kinawatamanisha nini kiuno cha mwanaume mwenzao kama sio ubasha tu unawasumbua kutamani kiuno cha dume mwenzao![emoji3][emoji3]
 
Mila na desturi zetu halis "OG" ni kutembea uchi. Ni ujuha kuongoza nchi kwa mila na desturi, hayo mambo ni ya Kitaliban.
Siyo kila kitu lazima kitengenezewe/ kiwemo kwenye sheria. Mfano hakuna sheria yoyote inayopiga marufuku mtu kutembea uchi! Ila kupitia mila na desturi zetu tulizo jiwekea, ukitembea uchi! Utakamatwa tu.
 
Sheria zingine niacheni nicheke mie🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…