Zanzibar: Mwanaume afikishwa Mahakamani kwa kukata viuno hadharani

Zanzibar: Mwanaume afikishwa Mahakamani kwa kukata viuno hadharani

Labda WALINYEGESHWA!
Ila, kiuno cha KIUME, sijui kimewatesaje! Au, ni mwanamke. Lakini jina, la kiume. Bado, tunaambiwa alivaa MTANDIO! Huyo ni DUMEEE au JIKEEE?
Huyu ni shoga maarufu mjini unguja
 
Mi nikajua yule mzee wa mjegeje ....oyooò...oyoooooo
 
Wengine hawa hapa
NB:hakuna mwanamke hata mmoja hapo
Screenshot_20220413-174427_WhatsApp.jpg
Screenshot_20220413-174425_WhatsApp.jpg
Screenshot_20220413-174410_WhatsApp.jpg
 
Angalau amefikishwa mahakamani without being stoned
 
Zanzibar ni nchi ya kiislamu?

===
Maulid Hussein Abdallah maarufu kama Mauzinde (29) amefikishwa Mahakama ya Mwanzo katika Kijiji cha Mwera Wilaya ya Magharibi Unguja Kisiwani Zanzibar, kwa tuhuma ya kukata viuno hadharani.

Kijana huyo mkazi wa Rahaleo anatuhumiwa kutenda kosa hilo huko Kibole, Wilaya ya Kati, Kusini Unguja saa 11 jioni, ambapo mshitakiwa akiwa amevalia mtandio alicheza kwa kukata kiuno mbele ya hadhara jambo ambalo ni kosa kisheria.

Mshitakiwa huyo amepinga mashtaka hayo na kuiomba Mahakama kumpa dhamana kwa kuwa yupo kituo cha polisi siku nyingi.

Amri ya kupelekwa rumande imetolewa na Hakimu Safia Waziri, baada ya mshitakiwa kushindwa kutekeleza masharti ya dhamana ambayo yalimtaka kuwa na mdhamini mmoja ambaye atasaini bondi ya TZS 100,000 pamoja na barua zikiambatana na kopi ya kitambulisho cha Mzanzibar.

Mshitakiwa baada ya kushindwa kutekeleza masharti hayo, mahakama ilimuamuriwa kwenda rumande hadi Aprili 25, 2022 kwa ajili ya kuanza kusikilizwa ushahidi.

Source: Swahilitimes
Islam is a barbaric religion
 
Angeulizwa anakata kiuno mtoto wa kiume hadharani anamkatia nani au anataka wamtoboe .
 
Back
Top Bottom