Zanzibar: Mwanaume afikishwa Mahakamani kwa kukata viuno hadharani

Zanzibar: Mwanaume afikishwa Mahakamani kwa kukata viuno hadharani

HUYU MWANA 2020 alijaribu kuchukua form ya kugombea U rais kupitia ccm walimpa kichapo kikali sana kilai kwelikweli ni shoga maarufu sana
😁😁😁mwamba alitaka kuwa prezdaa ahalalishe upungazeze, akakutaba na wajuba, wazee wa kazi chafu, wakurungwa

Urais wa zenji au JMT kabisa?
 
Kijana huyo mkazi wa Rahaleo anatuhumiwa kutenda kosa hilo huko Kibole, Wilaya ya Kati, Kusini Unguja saa 11 jioni, ambapo mshitakiwa akiwa amevalia mtandio alicheza kwa kukata kiuno mbele ya hadhara jambo ambalo ni kosa kisheria.

Source: Swahilitimes
Sheria ipi, ya Iran au Tanzania?
 
Kuna watu humu wana mtetea huyo jamaa kukata miuno hadharani...

Kuna watu wana ma.vi vichwani mwao
 
IMANI YA HOVYO SANA
KULA WAKATI WA MFUNGO NI KOSA
KUFANYA USHOGA RUKSA!
 
Back
Top Bottom