Zanzibar: Ndani ya Maji Marefu ya Mateso ya Wakristo

Huwa najiuliza Sana lakini acha iwe hivyo maana dini yenyewe ilienezwa kwa jihad
 
Uislamu ungetumia ushawishi ingekuwa dini nzuri Sana
Tatizo lao wanalazimisha kuuamini hii inatengeneza ukinzani miongoni mwao na Hadi jwa wale wasioamini
 
Sasa umeandika Nini hapa???Hao W ayahudi na Wakristo wakubaliane nawe katika uonevu na ujinga wa kuwatesa wengine?Ndugu kemea ubaya hata kama unatoka ndani yako ili kesho ukionewa Lau upate mtetezi
 
Ugomvi gani wakati kule Kuna wa Kristo na wapani pia wasio amini Mungu?..
Mwenye chombo Cha usafiri ni MUISLAMU hivyo hutakiwi kumkwaza
 
Jifunzeni kuwavumilia wenzenu
 

Kwahiyo hao wakristo wanao vunjiww makanisa na kunyimwa uhuru wa kuabudu huko zenji walichana hizo kurwani??
 
Ilimu baba!! Nenda skuli kasome kidogo uweze chukuliana na wengine.Acha kujifungia kwenye chumba kimoja(uislam)na kulazimisha jirani Yako awe kama wewe.Hujui hata kama Kuna dini nyingine na Zina taratibu zao?Tatizo ilimu ndo maana mwanzilishi hakujua kusoma na Wala hakujishughulisha kujifunza .Usimuige kila kitu bathi.Tafuta ilimu Dunia kidogo ikisaidie kuiheshimu wengine.
 
Uislamu ungetumia ushawishi ingekuwa dini nzuri Sana
Tatizo lao wanalazimisha kuuamini hii inatengeneza ukinzani miongoni mwao na Hadi jwa wale wasioamini

Uislamu ungetumia ushawishi ingekuwa dini nzuri Sana
Tatizo lao wanalazimisha kuuamini hii inatengeneza ukinzani miongoni mwao na Hadi jwa wale wasioamini
laiti ingetafsiriwa kwa lugha mbalimbali kungekua na amani tatizo wanakaririshwa....anyway....kasome SURATUL mariam utaelewa kuanzia mariam kuanzia Mariam alipotokewa na malaika Gibril[ wakristo wanamwita Rroho Mtakatifu}..na Mariam akapewa habari za Kumzaa ISSA BIN MARIAM{ yesu}...na wanasisitiza kwamba MARIAM amebarikiwa kuliko mwanamke yoyote yule kabla na baada ya enzi,na inasisitizwa Mariam hakuonja mauti,alipalizwa,na ISSA atakuja kama alama ya kiama...na anyway.....kimsingi wengi wangeiacha hiyo dini...alaf wana wana mabo ya kitoto,nakukmbuka wakati wa utawala wa alihassan mwinyi walianzisha vurumai kwamba wao pekee ndo wana haki ya kuchinja!!!!!yaani ufuge kuku wako,lakini ukitaka kumla ukamwite abdallah akuchinjie kudadadadadeq
 
Umeñena vyema.Hawa watu hawakosi sababu ya kubaguana.Ndivyo walivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…