Zanzibar: Ndani ya Maji Marefu ya Mateso ya Wakristo

Hoja sio wa bara na wa Zanzibar, msingi mkuu wa hoja ni Ukristo vs uislam huko Zanzibar.
Utakuwa huwajui vizuri Wazanzibari! Hao watu ni washari sana. Hapo dini inatumiwa tu kama kisingizio. Shida yao kubwa hapo ni kuwachukia tu watu wa Bara.

Siku zote wanapenda wanufaike zaidi wao kupitia huu Muungano, na siyo watu wa Tanganyika. Na ndiyo maana wanawawekea Watanganyika kila aina ya vikwazo.

Mbona Bara kuna Makanisa na Misikiti isiyo na idadi, lakini huwezi kuona vurugu za kipuuzi?
 
Sasa kama huelewi unataka nini?
Hiyo inaashiria vurugu na kuchinjana kwao ni kawaida.
Hawana ustaarabu wala kufikiria mara mbili mbili. Walibya walipewa bunduki na Marekani na Uingereza halafu wakaa kwenye screen kubwa na popcorn wanaangalia wanavyochinjana. Na wao bila kufikiria wakafanya hivyo
 

Mwakinyo amesema “Baada ya miaka mingi kupita nimekuwa mstari wa mbele sana kuipambania Boxing ya Zanzibar mpaka kufanikiwa kupata ridhaa kupitia Mh. Rais wa Zanzibar na Baraza lake kupata kibali cha kufanya fight.​

“Ajabu ni kwamba Boxer wa Zanzibar wasioona ukubwa wa hili jambo wameandika barua wakidai ile ni fursa yao Wazanzibar na sio ya Watu wa Tanzania Bara so hawataki tujihusishe nao”​

“Na sasa sijui ikisemwa kuwa kuna Muungano uliopo kati yetu Muungano huo unaunganisha kitu gani anyway kila la kheri Mabingwa.”​

 
Hizo nchi ndizo walizopora maliasili zao kwa hiyo ni payback time
 
Wazanzibari ni watu wa hovyo sana. Wanapenda sana ile tabia ya kipuuzi ya changu changu, chako changu.

Na ndiyo maana natamani siku moja wajitenge ilo kila nchi ijitegemee kivyake.
 
Ukiwa mjinga utapumbazwa maana ukristu unaonya "kutumia akili kumpenda Mungu na kufuata Imani"

LUKA 10:27
Akamjibu, “Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa nguvu zako zote na kwa akili yako yote
Sasa kwanini wengi mnapenda sana dini kuliko Mungu?
Wengine wako kubishana kila mtu anavutia kwa dini yake hata kupigana kama kule Afrika ya kati, chuki za kidini, ubaguzi, utengano, uhasama etc.

Hivyo ndivyo anavyofundisha Mungu kupitia vitabu vitakatifu?
 
Nimeoana malalamiko kama haya ya waislam waishio VATICAN.
Mkuu Vatican siyo nchi ni eneo la Kanisa Catholic kama ilivyo pale st. Peter posta! Sasa sijui unamaanisha kuna waislam wanaishi kanisani?
 
Wazanzibari ni watu wa hovyo sana. Wanapenda sana ile tabia ya kipuuzi ya changu changu, chako changu.

Na ndiyo maana natamani siku moja wajitenge ilo kila nchi ijitegemee kivyake.
Hao jamaa ni shida tangu enzi za ukoloni wa muarabu aliyejikita hayo maeneo aliwaharibu sana hata namna wavyoishi leo hii si sawa yani hata wao kwa wao upendo na Amani iliopokati yao ni unafiki mtupu sasa itakua ajabu sana wakaonyesha Upendo na Amani kwa watu wa bara...
 
payback kwa nani wakati waislam wanauana wao kwa wao kama Libya na Afghanistan
payback kwa wazungu waliokuwa wamewatawala na kuchukuwa resources zao. Hao walibya na Afghanistan yote wamesababishiwa na wazungu, hebu kasome tena historia ya hayo mataifa.
 
Kwa kuongezea, unapitaka kuvunja basi na mikoa ya TANGA, DAR, LINDI, MTWARA, MOROGORO, MANYARA, PWANI, DODOMA, SINGIDA YOTE IWEKWE UPANDE WA ZANZIBAR. Hiyo mikoa ina karibu tabia za huko Zenji pia.
Mfano tabia zipi? Uvivu?
 
Chai hii .Lini Muhammad alikimbilia kanisani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…