Zanzibar: Ndani ya Maji Marefu ya Mateso ya Wakristo

Zanzibar: Ndani ya Maji Marefu ya Mateso ya Wakristo

Wakatoliki hufanya ibada zao kostaarabu Sana na Kuna kesi ya padri Evarist Mushi kumwagiwa tindikali Zanzibar
Mwingine aliuwa kabisa, hicho cha kelele ni visingizio tu
 
Jamani Walokole ni too much miaka ya 2018/2019 kuna nyumba nilihama kwasababu ya Walokole, yes kwasababu ya walokole kanisa lao lilikua karibu sana na ninapoishi basi ni full makelele kuanzia ijumaa jioni hadi jumapili
Ukiwa na shida unawafuata mwenyewe na wala kelele huwezi zisikia , yaani ukibanwa kwenye kona mwenyewe unasogea. Anaye wachukia walokole huenda anapepo au majini au ni mwanga hivyo hawezi vumilia moto wa damu ya YESU.
 
Aliyekuambia Zanzibar hawana akili timamu ni nani? Dharau zenu ndio maana mnamwagiwa tindikali boya wewe. Kwahiyo tofauti ya TANGA na ZANZIBAR ni nini?
Kwa hiyo wewe umekaa mchambawima huko unajidanganya Tanga ni sawa na Zanzibar? Tanga Kuna uhuru wa Imani zote na siyo Imani za kulazimishana kama huko kwenu. Kitu kama ni kizuri kwa Nini unilazimishe kukifuata? Tanga Kuna korogwe, lushoto, Muheza nk, kote ni Tanga. Njoo ujionee watu wanavyojichanganya dini mbalimbali na maisha yanaenda
 
Vipi kuhusu adhana saa kumi na moja asubuhi? Wengine wasiohusika wanakuwa bado wamelala.
Uhuru wa kidini ni muhimu kuwepo ila pia tuepuke kubugudhi watu na makelele, mimi nipo upande huu, ila suala la kupiga mziki ya kidini kwa sauti ya juu asubuhi mpaka asubuhi siliafiki kabisa, tuwe na kiasi katika ibada zetu
 
Nadhani hata kama walokole wana shida mahalo suluhu sio kubomoa nyumba zao za ibada na makazi na kuzichoma pia kuwapiga na mapanga

Ziko njia sahihi na rafiki
Tatizo muamini wa Dini yeyote , na hata asie na dini, anaweza kufanya uharifu.

Hakuna shaka kua hayo unayo yasema yametendeka kwenye ardhi ya zanibar.

Swali ni je, wakati yakitendeka uislaam unasemaje?

Je upande unao tendewa umetafuta mbinu zakujihami kwa amani?

Wamissional wamwanzo hawakuingia mkataba na Slutani? Kama upo unasema Nini kuhusu wao kujitanua? Nakama haupo Kuna mikakati gani ya kuingia makubaliano yatakayo leta mtangamano?

Nafaham wakristo wa zanzibar , nao ni binadamu , kama walivyo waislam wanahaki ya kuishi , wanahaki ya kulindwa, wanahaki ya kuabudu kwa mjibu wa Sheria za Zanzibar na JMT.

Ukweli mchungu ni kua linapo kuja Swala la Dini Serikali kalibu zote Duniani huegemea ilio kubwa.
Hata kama hakutokua na kuvunja na kuchoma makanisa Bado Wachache watajikuta wanakosa baazi ya Haki zao. Ni vyema mbinu mbadra zitumike.
 
Halafu wanajiita dini ya haki na amani wakati nchi za Kiislam ndio zinaongoza kwa machafuko na wakikinukisha wanatafuta ukimbizi nchi za magharibi na sio za kiislam hapo ndio utachoka 🙂🙂🙂🙂 wakimbizi wa Libya, Syria, Palestina, Afghanistani na kwingineko hutawakuta Saudia, Qatari, UAE, Misri
Mod tuondolee huu ushuuuzi unaoletwa na magaidi uchwara
 
Basi tulia uoneshwe, ww unadhani waislam wa Zanzibar wana tofauti na wa Dar, Tanga, Moro au Mtwara, au Tabora na Kigoma? Jichanganye maana huna akili kichwani.

Usichokijua Waislam wote mlengo wao huwa ni mmoja, we jaribu hata huko uliko chana tu Msahafu, hata kama uko Mbeya we jaribu kuchana ndio utajua hao Waislam wanafanana na wamejaa Zaidi hapa Tanzania.

Shida yako umesahau kwenye uislam dini yao ndio ya haki, na bora, na kwamba kwa wao hakuna Dini nyingine ya Mwenyezi Mungu isipokuwa Uislam.

Muislam hata awe mlevi wa kiwango gani, ila mbele yake jaribu kuchana Ukurasa hata wa Juzuu utakuja kuleta mrejesho hapa.

Unaingiza siasa kwenye Uislam? Mkuu utaumia, we jiheshimu, heshimu taratibu zao, huwezi wapigiza kelele usiku kucha eti unaabudu, Zanzibar ni nchi kama ilivyo, ENGLAND, WALES, SCOTLAND ndani ya UK.

Usiwaletee vitu vyako vya kipumbavu eti haki, haki, haki. Haki unaijua wewe?

Kama Zanzibar wanakubana hamia MBINGA huko, NGURUWE anafugwa kama kuku wa mtaani, yaan anaachwa ajitafutie chakula na huko hata Msikiti unaweza usiuone kabisa kwa maeneo hasa ya Vijijini.
Unaongea ujinga tu....Kwa nini mkiristu achane hivyo vitabu vyenu??Hatuna huo muda....hapa tunaongelea uvumilivu wa kuishi pamoja kati ya haya madhehebu mawili...hatuongelea kutibuana kama wewe unavyokazania....

Kwani hao wakristu walionewa Zanzibar walichana hivyo vitabu vyenu???

Waislam waliofanikiwa na wasomi kidogo wamepata ustaarabu..tunaishi nao bila shida kabisa, na tunaheshimiana.Shida ni baadhi ambao maisha magumu wanahamishia kwenye dini..

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
وَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّـهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُم بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّـهِ مِن وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ ﴿١٢٠﴾

120. Na hawatoridhika nawe Mayahudi wala Manaswara(wakristo) mpaka ufuate mila zao. Sema: “Hakika mwongozo wa Allaah ndio mwongozo (pekee).” Na ukifuata hawaa zao baada ya yale ambayo yaliyokujia katika elimu, basi hutopata kutoka kwa Allaah mlinzi yeyote wala mwenye kunusuru.
Ndio umeandika nini wewe kirandege
 
Ndio umeandika nini wewe kirandege
And neither the Jews nor the Christians will be satisfied with you until you follow their devout, say that the guidance of Allah is the guide, and if you follow their whims after the one that came to you from knowledge, you have no guardian from Allah, no supporter ﴿ ١٢٠ ﴾
 
And neither the Jews nor the Christians will be satisfied with you until you follow their devout, say that the guidance of Allah is the guide, and if you follow their whims after the one that came to you from knowledge, you have no guardian from Allah, no supporter ﴿ ١٢٠ ﴾
What you talking bout on this non sense Arabic? ........shame on you and your religion
 
Kwa kuongezea, unapitaka kuvunja basi na mikoa ya TANGA, DAR, LINDI, MTWARA, MOROGORO, MANYARA, PWANI, DODOMA, SINGIDA YOTE IWEKWE UPANDE WA ZANZIBAR. Hiyo mikoa ina karibu tabia za huko Zenji pia.
Duuuh.. Dodoma na zenji wapi na wapi sasa
 
Huna uwezo wewe wakupambana utakuwa unapambana kwa kutegemea nn? hapo ulipo kinacho kuchelewesha kwenda motoni ni kifo tu hilo lijue unabisha subili
Watu wa Finnar jehannam halidina fiha abadan ni hawa!
[emoji116][emoji116]
وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّا

(MARYAM - 71)
Wala hapana yeyote katika nyinyi ila ni mwenye kuifikia. Hiyo ni hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.
 
Back
Top Bottom