Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Mwingine aliuwa kabisa, hicho cha kelele ni visingizio tuWakatoliki hufanya ibada zao kostaarabu Sana na Kuna kesi ya padri Evarist Mushi kumwagiwa tindikali Zanzibar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwingine aliuwa kabisa, hicho cha kelele ni visingizio tuWakatoliki hufanya ibada zao kostaarabu Sana na Kuna kesi ya padri Evarist Mushi kumwagiwa tindikali Zanzibar
Labda ni mluziKwani azana sio kelele??
Ukiwa na shida unawafuata mwenyewe na wala kelele huwezi zisikia , yaani ukibanwa kwenye kona mwenyewe unasogea. Anaye wachukia walokole huenda anapepo au majini au ni mwanga hivyo hawezi vumilia moto wa damu ya YESU.Jamani Walokole ni too much miaka ya 2018/2019 kuna nyumba nilihama kwasababu ya Walokole, yes kwasababu ya walokole kanisa lao lilikua karibu sana na ninapoishi basi ni full makelele kuanzia ijumaa jioni hadi jumapili
Kwa hiyo wewe umekaa mchambawima huko unajidanganya Tanga ni sawa na Zanzibar? Tanga Kuna uhuru wa Imani zote na siyo Imani za kulazimishana kama huko kwenu. Kitu kama ni kizuri kwa Nini unilazimishe kukifuata? Tanga Kuna korogwe, lushoto, Muheza nk, kote ni Tanga. Njoo ujionee watu wanavyojichanganya dini mbalimbali na maisha yanaendaAliyekuambia Zanzibar hawana akili timamu ni nani? Dharau zenu ndio maana mnamwagiwa tindikali boya wewe. Kwahiyo tofauti ya TANGA na ZANZIBAR ni nini?
Uhuru wa kidini ni muhimu kuwepo ila pia tuepuke kubugudhi watu na makelele, mimi nipo upande huu, ila suala la kupiga mziki ya kidini kwa sauti ya juu asubuhi mpaka asubuhi siliafiki kabisa, tuwe na kiasi katika ibada zetu
Tatizo muamini wa Dini yeyote , na hata asie na dini, anaweza kufanya uharifu.Nadhani hata kama walokole wana shida mahalo suluhu sio kubomoa nyumba zao za ibada na makazi na kuzichoma pia kuwapiga na mapanga
Ziko njia sahihi na rafiki
Mod tuondolee huu ushuuuzi unaoletwa na magaidi uchwaraHalafu wanajiita dini ya haki na amani wakati nchi za Kiislam ndio zinaongoza kwa machafuko na wakikinukisha wanatafuta ukimbizi nchi za magharibi na sio za kiislam hapo ndio utachoka 🙂🙂🙂🙂 wakimbizi wa Libya, Syria, Palestina, Afghanistani na kwingineko hutawakuta Saudia, Qatari, UAE, Misri
PumbavvvvvMod tuondolee huu ushuuuzi unaoletwa na magaidi uchwara
Kwani wanatumia vitabu tofauti?? Mkuu hili.awali muulizw Ksheheh akipoozeo
Unaongea ujinga tu....Kwa nini mkiristu achane hivyo vitabu vyenu??Hatuna huo muda....hapa tunaongelea uvumilivu wa kuishi pamoja kati ya haya madhehebu mawili...hatuongelea kutibuana kama wewe unavyokazania....Basi tulia uoneshwe, ww unadhani waislam wa Zanzibar wana tofauti na wa Dar, Tanga, Moro au Mtwara, au Tabora na Kigoma? Jichanganye maana huna akili kichwani.
Usichokijua Waislam wote mlengo wao huwa ni mmoja, we jaribu hata huko uliko chana tu Msahafu, hata kama uko Mbeya we jaribu kuchana ndio utajua hao Waislam wanafanana na wamejaa Zaidi hapa Tanzania.
Shida yako umesahau kwenye uislam dini yao ndio ya haki, na bora, na kwamba kwa wao hakuna Dini nyingine ya Mwenyezi Mungu isipokuwa Uislam.
Muislam hata awe mlevi wa kiwango gani, ila mbele yake jaribu kuchana Ukurasa hata wa Juzuu utakuja kuleta mrejesho hapa.
Unaingiza siasa kwenye Uislam? Mkuu utaumia, we jiheshimu, heshimu taratibu zao, huwezi wapigiza kelele usiku kucha eti unaabudu, Zanzibar ni nchi kama ilivyo, ENGLAND, WALES, SCOTLAND ndani ya UK.
Usiwaletee vitu vyako vya kipumbavu eti haki, haki, haki. Haki unaijua wewe?
Kama Zanzibar wanakubana hamia MBINGA huko, NGURUWE anafugwa kama kuku wa mtaani, yaan anaachwa ajitafutie chakula na huko hata Msikiti unaweza usiuone kabisa kwa maeneo hasa ya Vijijini.
Ndio umeandika nini wewe kirandegeوَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّـهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُم بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّـهِ مِن وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ ﴿١٢٠﴾
120. Na hawatoridhika nawe Mayahudi wala Manaswara(wakristo) mpaka ufuate mila zao. Sema: “Hakika mwongozo wa Allaah ndio mwongozo (pekee).” Na ukifuata hawaa zao baada ya yale ambayo yaliyokujia katika elimu, basi hutopata kutoka kwa Allaah mlinzi yeyote wala mwenye kunusuru.
Waislam wa kweli ni watu wazur sana.Amini tu mkuu japo sio wote, ila kwa asilimia kubwa
And neither the Jews nor the Christians will be satisfied with you until you follow their devout, say that the guidance of Allah is the guide, and if you follow their whims after the one that came to you from knowledge, you have no guardian from Allah, no supporter ﴿ ١٢٠ ﴾Ndio umeandika nini wewe kirandege
What you talking bout on this non sense Arabic? ........shame on you and your religionAnd neither the Jews nor the Christians will be satisfied with you until you follow their devout, say that the guidance of Allah is the guide, and if you follow their whims after the one that came to you from knowledge, you have no guardian from Allah, no supporter ﴿ ١٢٠ ﴾
Kutwa mara.5 azana wakitumia maspika kilo.100[emoji15][emoji56][emoji125]Labda ni mluzi
Very interesting.Bujibuji hebu type dondoo kidogo inawezekana Adam asipatikane kwa urahisi.Inshaalah, mwenyezi Mungu akupe wepesiMwambie Adam Hajj Mohamed akueleze alifanyeje kueneza Ukristo Somalia 🇸🇴
Duuuh.. Dodoma na zenji wapi na wapi sasaKwa kuongezea, unapitaka kuvunja basi na mikoa ya TANGA, DAR, LINDI, MTWARA, MOROGORO, MANYARA, PWANI, DODOMA, SINGIDA YOTE IWEKWE UPANDE WA ZANZIBAR. Hiyo mikoa ina karibu tabia za huko Zenji pia.
Watu wa Finnar jehannam halidina fiha abadan ni hawa!Huna uwezo wewe wakupambana utakuwa unapambana kwa kutegemea nn? hapo ulipo kinacho kuchelewesha kwenda motoni ni kifo tu hilo lijue unabisha subili
Mkuu hao wakweli ni wachache sana kama wewe tu. Na Shehe Kipoozeo 😅😅😅Waislam wa kweli ni watu wazur sana.
Wanaofanya hivyo ni wachache wenye matatizo ya akil brain washed