Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

Huyu ana nia mbaya na kuwachonganisha Wazanzibar tu, kauli zake zote ni za ovyo kwa wazanzibar sio za kuunganisha ni za kuwagawa ili aendelee kuwatawala.
Kwani tanzania bara tumeunganishwa?
 
Siku nyingine hatarudia kutotoa mkono kwa mkuu wa nchi
 
Rais kasema "Kama mtu anakataa mkono wako nawe kataa mkono wake kwa mambo yake, nikuombe nawe uwe unamkatalia mkono wako kufanye mambo yake' Anamuomba Mungu kumpa walau robo ya moyo wa Shein lakini naye ambae walau robo ya mawazo yake."

Wacha kupotosha watu
 
Anafikir atatawala milele!kidini huwa kama yeye ni mkristo kweli,hakuna kulipiza,sasa yeye cjui atakuwa dini gan
 
Chuki,hinda ni mbaya sana
I can see the color of Mr someone.........................
 
Unataka afuate katiba ipi? Kwani katiba na raisi nani kina nguvu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…