Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kwani tanzania bara tumeunganishwa?Huyu ana nia mbaya na kuwachonganisha Wazanzibar tu, kauli zake zote ni za ovyo kwa wazanzibar sio za kuunganisha ni za kuwagawa ili aendelee kuwatawala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani tanzania bara tumeunganishwa?Huyu ana nia mbaya na kuwachonganisha Wazanzibar tu, kauli zake zote ni za ovyo kwa wazanzibar sio za kuunganisha ni za kuwagawa ili aendelee kuwatawala.
Toa ushauri nini kifanyike mkuuJamani huyu mtu akiachiwa atazidi kuivuruga nchi, ana matatizo makubwa
Lowasa ni muungwana by natureSo lowassa alilazimika au??!
Kaka ni kama ulikuwa kifungoni shida nini?Toa ushauri nini kifanyike mkuu
Hivi wewe mara yako ya mwisho kunywa chai yenye sukari ni lini?Acha nchi inyooshwe mlizoea ujingaujinga, kwa sasa ujinga hauna nafac na mtavmba mpaka mtapasuka.
We nae tueleze hayo mengine....punguza munkariNdio kitu pekee ulichokiona cha muhimu alichosema Rais hicho??
What does the law say ni u*****a hapa kazi tuWhat does the law say? Ni vizuri kusoma hotuba!
Hata tv huna?Siamini kama Rais katoa kauli hiyo, weka clip.. maana kinywa cha Rais hakiwezi kutamka maneno hayo
Unajuta wewe ulie chagua matapishi yakoWaliomchagua wanajuta!
Wanaongoza kwa mizuka. SuguNchi inaongozwa kwa utashi, kuna giza mbele
Chuki,hinda ni mbaya sanaNimesikiliza hotuba ya Rais ya JPM akimshauri Rais wa Zanzibar kuwa kwasababu Shein ndiye anayesaini stahiki za yule aliyemkatalia kumpa mkono siku ya mazishi ya mzee Jumbe basi Shein naye asisaini tena stahiki za huyo mtu.
Nimejiuliza maswali mengi sana lakini mojawapo likawa ni Je stahiki za Maalim Seif ni za hisani ya rais aliyeko madarakani au ni matakwa ya kisheria/kikatiba?
Na je kama ni matakwa ya kikatiba; JPM anamanisha kwamba Shein avunje katiba kwa kutosaini stahiki hizo? Ama kweli safari ndo imeanza.
Unataka afuate katiba ipi? Kwani katiba na raisi nani kina nguvu?Kwani anadhani Dr. Shein anasaini stahiki za mpinzani wake (Maalim Seif) kwa hiyari yake? Huyo baba Jesca hajui kwamba kuna taratibu za kisheria zimewekwa na zimetajwa kwenye katiba kuhusu stahiki za wastaafu level ya Maalim Seif au ndo anadhihirisha ile tabia yake ya kutofuata utawala wa sheria?