Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

Magufuli aelewe kuna siku hatakuwa rais,atakuwa na stahiki zake.pengine atakuwa madarakani Seif
 
Huyu ana nia mbaya na kuwachonganisha Wazanzibar tu, kauli zake zote ni za ovyo kwa wazanzibar sio za kuunganisha ni za kuwagawa ili aendelee kuwatawala.
Namkumbuka MZEE jeikei
 
UOTE="MENGELENI KWETU, post: 17466543, member: 178454"]Ndio kitu pekee ulichokiona cha muhimu alichosema Rais hicho??[/QUOTE]
Kama kuna mengine yalisemwa na ukayasikia, na upo hapa JF, si uanzishe uzi wako badala ya kupangia watu cha kupost??
 
Tatizo napo Baba j anautani mwingi[emoji23][emoji23][emoji23] labda alitania
 
Hivi tunaelekea wapi...? ooh sorry tuko wapi kwanza..? saa hz saa ngapi..!!? 🙄😕🙄😵🙄😕😵
 
Ilianza kama utani na waliotoa angalizo walipuuzwa. Kuna kila dalili za kunogewa na utawala usiozingatia sheria na kupenda kuona migogoro iliyokuwepo ikizidi kukua badala ya kupungua. Tutafika kweli? Mnaosema tutafika mnatumia vigezo gani? Mungu saidia Tanzania.
 
Binafsi naona hapo kuna shida kidogo sababu naomba kunukuu kauli ya Mwalim alisema tunapo mpata raisi tunampata kikatiba tunamapisha kwa mujibu wa katiba hiyo naanayeweza kuitetea katiba hiyo ili wananchi wawe na uhakika kuwa kesho itakuwaje kwa sababu anaongozwa na sheria ndani ya katiba lkn hatuta mvumilia kiongozi yoyote ambaye anavunja katiba hata kama mzuri kama malaika tutamuondoa mwisho wa kunukuu hivyo kitendo cha muheshimiwa kujiingiza kwenye maswara ya Zanzibar wakati alikataa ni kutugawa kuonyesha kuwa hataki upinzani
 
Hata mimi nisinge saini.
Tatizo Rais anaongeaga mambo bila kutafakari,hiyo sio hiyari yake!Ni takwa la kikatiba!Hutasaini ataenda mahakamani na mahakama itaamuru apewe stahiki zake,au utaigomea na mahakama pia?Huu ukurupukaji na matamko ya mwendokasi kufurahisha halaiki hayana msingi na yanamtia aibu Rais!Rais anaongea watu tunaoelewa tunainamisha vichwa chini kwa aibu!
 
Back
Top Bottom