Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hakuna mtu duniani alieleta "change" peke yake.Nchi inaongozwa kwa utashi, kuna giza mbele
Namkumbuka MZEE jeikeiHuyu ana nia mbaya na kuwachonganisha Wazanzibar tu, kauli zake zote ni za ovyo kwa wazanzibar sio za kuunganisha ni za kuwagawa ili aendelee kuwatawala.
Seif hana upatanishiMi nilifikiri angelizungumzia kwa nia ya kuleta upatanishi akiwa kama amiri jeshi kumbe ndo kasema hivyo?duh!shikamoo rahisi
Mtafute akujibu.So lowassa alilazimika au??!
Hayaja kukuta mkuu, kaa ivyo ivyo mzeeAcha nchi inyooshwe mlizoea ujingaujinga, kwa sasa ujinga hauna nafac na mtavmba mpaka mtapasuka.
Laana gani sasa? Mbona mnakuza mamboHakuna laana mbaya kama kukakataa kumshika mkono rais wa nchi anayesaini posho zako..!
Tatizo Rais anaongeaga mambo bila kutafakari,hiyo sio hiyari yake!Ni takwa la kikatiba!Hutasaini ataenda mahakamani na mahakama itaamuru apewe stahiki zake,au utaigomea na mahakama pia?Huu ukurupukaji na matamko ya mwendokasi kufurahisha halaiki hayana msingi na yanamtia aibu Rais!Rais anaongea watu tunaoelewa tunainamisha vichwa chini kwa aibu!Hata mimi nisinge saini.
Hufai kua Kiongozi.Hata mimi nisingesaini hayo karatasi ya mtu wa aina hiyo.
Ukistaajabu ya Lubuva utayaona ya Jecha.Umeshaaambiwa anastahili tuzo! Sasa sijui ni ya nini