Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

Kwani anadhani Dr. Shein anasaini stahiki za mpinzani wake (Maalim Seif) kwa hiyari yake? Huyo baba Jesca hajui kwamba kuna taratibu za kisheria zimewekwa na zimetajwa kwenye katiba kuhusu stahiki za wastaafu level ya Maalim Seif au ndo anadhihirisha ile tabia yake ya kutofuata utawala wa sheria?
Tuna haki ya kumuuliza Mzee Mkapa kwa nini hakushauri wagombea wapimwe kwanza afya zao za ubongo kabla ya kinyang'anyiro?
 
Naanza kumkumbuka marehemu Chiluba jinsi alivyoingia madarakani na kudharau waliomtangulia kama Mzee Kaunda. Kilichotokea ni kuwa baada ya yeye kuondoka madarakani aliyoyafanya kwa mwenzie yakajirudi kwake na alikaa sana "Segerea" ya Zambia na hakuna aliyemuunga mkono tena akajihisi upweke sana na ndio uliochangia safari yake ya peponi au jehanamu mapema. Madaraka ni dhamana unayoipata miongoni mwa wengi sio ujanja wako, hebu muoneni JK jinsi alivyoishi kwa kauli za hekima kiasi kuwa hata kama kamuumiza mtu bado unamuona binadamu.
There is nothing good to talk about CCM leaders except from Mwalimu. They are all looters, looting their own country, JK inclusive. The only addition is that the current one is introducing the rule of terror and division.
 
wacha uwongo huo.. mara ya mwisho alipoenda matibabu india Serikali ndiyo iliyolipa gharama zote.. Naona una goldfish memory.. kwani hiyo habari ilienea kila sehemu.. tafuta chengine cha kudanganya

Kumbe Mupo Nyie Magu-Fanboys ambao Ni BrainWashed??

Kabla Ya Kunita mimi Muongo Je Wewe Umekuja Na Evidence Gani Hapa Kuback up Your Claim??

I guess Kama Unavyodai Alipewa Gharama Za Matibabu Kwenda Kutibiwa India! Basi Zipo "Written documents" ZiUpload Hapa Uproove Kama Wewe Mkweli na Mimi Muongo!!

Usiwe Unakariri Yasemwayo Majukwaani Wakati Huwezi Kuyathibitisha Ukweli Wake.
 
Back
Top Bottom