Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

waingereza wanasema medium affect the message,hivyo basi binafsi sikuona kama ni vizuri kwa kiongozi wa nchi kutumia kauli kama hizo tena kwenye mkutano wa hadhara wakati akijua wazi kuwa kuna mkwamo wa kisiasa visiwani huko,rais angeweza kutoa kauli ambazo zingeleta walau suluhisho la mkwamo huo.Tumwombee rais wetu kama ambavyo yeye mwenyewe anavyosema
 
Baadhi ya wanajamii forum mnashangaza et JPM kumwambia Shein asisaini posho za SEIF anajenga chuki lkn SEIF kuukataa mkono wa Shein sio kujenga chuki.
 
Rais anapaswa kua wa kuliunganisha taifa sio kutenganisha, acheni kusifia ata yasiyofaa, au wewe dini gani inayokufundisha hayo?
Dini yangu mimi inanifundisha kuwa unafiki ni mmbaya kuliko kitu chochote.Na mtu mnafiki ni muuaji.
Labda nikuulize kidogo hayo Makaratas ya Maalim ambayo Shein anassin,yeye Shein anasain kama nani kwa Maalim ukizingatia kuwa Seif hamtambui Shein na serikali yake.
 
Mfano. Mm ni daktari, amekuja jirani yangu anaumwa, anahitaji matibu. Ukizingatia jana tulikuwa na ugomvi naye. Je, nitamuhudumia au sitamuhudumia?
Unapokuwa kiongozi mkubwa, ww ni kiungo cha amani. Unaposimama mbele za wananchi wako, ww uwe msaada. Uwapende wote haijalishi kakuudhi au la.
Sisi wakristo hatujafundishwa kuwa na visasi. Ndiyo maana tuliambiwa samehe 7x70. Km mtu unamuabudu Mungu, huwezi kuwa mtu wa visasi.
Inasikitisha.
 
Wanaoshangilia na kushabikia style hii ya uongozi: visasi, hasira na uvivu wa kufikiri jitafakarini.Nchi inaenda kubaya.Kusaini ni takwa la kisheria wa si utashi. sasa unapochocheaa mgawanyiko wa watu na wewe ni kiongozi...!daaah! napata shida juu ya hatima ya nchi yetu
 
Kukataa mkono kwa ajili ya salamu haliko kwenye sheria au katiba, hivo hilo sio la kisheria. Kumzuia shein asimlipe seif is against the law. Muwe waelewa..
Baadhi ya wanajamii forum mnashangaza et JPM kumwambia Shein asisaini posho za SEIF anajenga chuki lkn SEIF kuukataa mkono wa Shein sio kujenga chuki.
 
Dini yangu mimi inanifundisha kuwa unafiki ni mmbaya kuliko kitu chochote.Na mtu mnafiki ni muuaji.
Labda nikuulize kidogo hayo Makaratas ya Maalim ambayo Shein anassin,yeye Shein anasain kama nani kwa Maalim ukizingatia kuwa Seif hamtambui Shein na serikali yake.
Hata km hakutambui. Lkn kumbuka ww ni raisi wa wote. Mfano. Ww ni dokta, kaja mgomvi wako, tena jana tu mlipigana. Je, utamhudumia au hautamhudumia?
Unapokuwa raisi, unatakiwa uwe kitovu cha amani. Uwapende wote hata km akija mgomvi wako analia njaa, inabidi umsaidie.
Visasi huligawa taifa na hata vitabu vitakatifu vinatusihi tusiwe na visasi. Tusamehe.
Km ww ni mtu wa visasi haina haja hata kwenda kweny nyumba za ibada sbb utapoteza muda tu.
 
Kama ilivyo haki yake kikatiba Seif kupata stahiki zake pia ni haki kikatiba seif kumpatia heshima rais wa nchi

Kwahiyo Ushauri Wako Rais Ashindane Na Raia Katika Kuvunja Sheria Si Ndiyo??

Kwa Unavyoamini Wewe Kuwa Seif Kavunja Sheria Kutokumpa Mkono Shein, Na yeye Shein Avunje Sheria Kwa Kuto Kusaini Haki Za Makamo Mstaafu??

Ikitokea Waziri Wake Kuvunja Sheria Kuwa Fisadi, Na yeye Shein Ashindane Na Waziri Wake Katika Kuvunja Sheria??

Kitwanga Alivunja Sheria Kwa Kuingia Bungeni Akiwa Amelewa! Je unaweza Kumshauri Rais Magu Ashindane Na Kitwanga katika Kuvunja Sheria??

Kama Sheni Kavunjiwa Heshima na Aende Mahakamani, Sio Ashindane Nae Kwa Kuvunja Sheria Za Kikatiba.
 
Kusaini stahiki za Maalim Seif ni kwa mujibu wa sheria, Acheni longolongo.
 
Mfano. Mm ni daktari, amekuja jirani yangu anaumwa, anahitaji matibu. Ukizingatia jana tulikuwa na ugomvi naye. Je, nitamuhudumia au sitamuhudumia?
Unapokuwa kiongozi mkubwa, ww ni kiungo cha amani. Unaposimama mbele za wananchi wako, ww uwe msaada. Uwapende wote haijalishi kakuudhi au la.
Sisi wakristo hatujafundishwa kuwa na visasi. Ndiyo maana tuliambiwa samehe 7x70. Km mtu unamuabudu Mungu, huwezi kuwa mtu wa visasi.
Inasikitisha.

Ndo nashangaa huyo sijui Mungu gani anayesema tumuombee kwake kila siku wakati roho imejaa visasi na makomesho yasiyo pimika....mkristo wa kweli husamehe ! ....kila siku ningekuwa Mimi ningekuwa Mimi , yaani anahamu saaana na seif huku akijiaminisha Bara ndo kashawaweza kabisa wapinzani, kashamweza kabisa Lowasa !! hahahahahaha
 
Baadhi ya wanajamii forum mnashangaza et JPM kumwambia Shein asisaini posho za SEIF anajenga chuki lkn SEIF kuukataa mkono wa Shein sio kujenga chuki.
Si Shein wala Magufuli mwenye uwezo wa Kukataa kusign pesa za Maalim Seif
 
Back
Top Bottom