Da, huyu wa sista huku kajikita kwenye bongo muvi ...analamba asali kivyake vyake, sound nyingiRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Mwinyi ametangaza ongezeko la mshahara kwa 15%
Kutokana na utaratibu huo kima cha chini cha mshahara kitapanda kutoka Tsh. 300,000 hadi Tsh. 347,000 sawa na asilimia 15.6
Ongezeko hilo linatarajiwa kutolewa kutumia mfumo wa uzoefu, ujuzi na elimu ya mtumishi
View attachment 2217040
View attachment 2217042
NdivyoHana uwezo wa kuongeza 47,000 trust me.
Nchi inaongozwa na wengine yenye ni msimamizi tu.
je huku bara bado wanafichaficha kutuambia wameongeza asilimia ngapi sijui kigugumizi kiko wapiView attachment 2217008
Chanzo ITV.
Maoni yangu:
Hussein Mwinyi ambaye ni Rais wa Zanzibar hakika ni kiongozi mwenye kujali sana!
Mtu mwenye mshahara wa 300000 ongezeko lake halizidi 48, 000/-15% ni nyingi Sana siamini mpaka nithibitishe
Filamu yenyewe dakika 30 inaongelea utalii wa Zanzibar.Huku wanatukaririsha tu filamu aisee.
Nchi jiraniZenji kama zenji
Pointless.Kuna tatizo sehemu kwa upande wa Tanganyika ,Ingawa Tanganyika ina wafanyakazi wengi hivyo kuongeza salary lazima kufikiria mara mbili mara tatu .
BrainlessPointless.
Ha ha ha ha ha Tanzania ya royo tuwa hoi.Wa barabarani subilini.Mpaka mnikune vizuri.
Bara "Lile jambo letu lipo", mwisho wa kunukuu... wafanyakazi pwa pwa pwa... makofiHalafu sijaelewa
Maana amesema kwa yule alifanya kazi kuanzia 2019 ni kama kupanda daraja, wala sio ongezeko la mshahara
Au mi sijamwelewa mwandishi.
Na vipi yule aliyeanza mwaka jana, vipi yule anayeajiriwa leo? Mshahara utakuwa 300,000 ileile.
Aibu Sana HiiTanganyika kimya
Du
Husseni, ongea na sista ako huku afanye mambo , familia za wahuni wa polepole kina nchemba,janwai, iziwani wanalamba ashRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Mwinyi ametangaza ongezeko la mshahara kwa 15%
Kutokana na utaratibu huo kima cha chini cha mshahara kitapanda kutoka Tsh. 300,000 hadi Tsh. 347,000 sawa na asilimia 15.6
Ongezeko hilo linatarajiwa kutolewa kutumia mfumo wa uzoefu, ujuzi na elimu ya mtumishi
View attachment 2217040
View attachment 2217042
Husseni ongea na sista ako, haeleweki, asali wanalamba kina iziwani, janwahi, nchemba wengine hatulambi kwa niniView attachment 2217008
Chanzo ITV.
Maoni yangu:
Hussein Mwinyi ambaye ni Rais wa Zanzibar hakika ni kiongozi mwenye kujali sana!
hahaa hatarii sanaHusseni ongea na sista ako, haeleweki, asali wanalamba kina iziwani, janwahi, nchemba wengine hatulambi kwa nini