Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,334
Kabisa ndio mwenyeweSote ni wa Mwenyezimungu na kwakentutarejea.
Huyu ndie mmiliki wa boti ziendazo kasi za Zanzibar one?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa ndio mwenyeweSote ni wa Mwenyezimungu na kwakentutarejea.
Huyu ndie mmiliki wa boti ziendazo kasi za Zanzibar one?
Mzee Turky alifanikisha upatikanaji wa ndege ya kumsafirisha Lissu kwenda Nairobi ikiwa ni pamoja na udhamini, lakini malipo ya ndege yalifanywa na Chadema.Rip Mzee Turku, huyu mzee alisaidia kulipia ndege ya kumsafirisha lissu kwenda Nairobi, mashetani yalipo mshambulia kwa risasi 38
Siyo mahali pake kwa sasa. Uccm hadi kwenye misiba? Tabia hii mtakoma lini?? Ndiyo maana mageuzi ya kimfumo ni muhimu sana kwenye nchi yetu kwa sasa.Lissu Hana shukrani aliendelea kuponda CCM hata Kama walimsaidia. Mbowe mwongo hakutoa chochote Hadi turky akawasaidia ndege ya rafiki zake akawahishwa Nairobi kwa matibabu zaidi Hadi leo kapona kwa msaada wa Wana CCM. Turky alitoa ndege alikuwa mbunge wa CCM chadema mlikuwa wapi?
Wee kweli?Ni salm Turkey wa jimbo la mpendae Zanzibar
Kumbe alikuwa mtu mwema sana! Akapate thawabu yakeNdiye aliyewezesha kupatikana kwa Ndege iliyompeleka Lissu Nairobi Septemba 7, 2017 kwa sharti la mali kauli.
Mwenyezi Mungu amlipe malipo anayostahili na amsitiri katika makazi anayostahili!.
Ubinadamu hauna siasa.Lissu aliposhambuliwa Watanzania wengi (wakiwemo CCM, CDM, CUF, ACT, wasio na vyama ,nk, akina Ndugai, Tulia, Ummy, Turky, nk) wali-react naturally kibinadamu kama binadamu mwadilifu anavyo-react kwa matukio ya nmana hiyo: walisikitika na kila mmoja akitafuta jinsi gani ya kuokoa maisha ya mhanga huyo! Ilikuwa ni baada ya siku chache bosi wao alipoonesha bila kificho kuwa hakufurahia kunusurika kwa mtu huyo, ndipo walipoanza nao kulazimisha moyo wa kishetani (ili wasipoteze ulaji wao) hadi kufikia kumfanyia dhihaka na hatimaye kumvua ubunge wake. Kumbuka kuwa ni Bw. Nyalandu mwana CCM pekee aliyesema liwalo naliwe nitaendelea kuonesha kujali na kulaani udhalimu huu, na matokeo yake ilibidi aondoke CCM!! Duniani kuna binadamu wanyama, ambao kila Jumapili au Ijumaa hutaka public iwaone kuwa ni watu wa Mungu lakini ni wanyama, ni wanyama, ni wanyama. Huwa natamani Mungu awape adhabu wakiwa bado hapa hapa duniani.
Na alisakamwa na watesi WA Lissu kuwa Katoa ndege bure, ndipo akatolea maelezo suala hili. RIP.Ndiye aliyewezesha kupatikana kwa Ndege iliyompeleka Lissu Nairobi Septemba 7, 2017 kwa sharti la mali kauli.
Mwenyezi Mungu amlipe malipo anayostahili na amsitiri katika makazi anayostahili!.
Hakulipa Bali alifanya connection ndege ikapatikana fasta tena Kwa Mali kauli. Malipo yalifanyika baadae. Ana utu na ni binadamu.Rip Mzee Turku, huyu mzee alisaidia kulipia ndege ya kumsafirisha lissu kwenda Nairobi, mashetani yalipo mshambulia kwa risasi 38
Kila nafsi itaonja umauti....sasa uchunguzi wa nini.Kama kuna njama ktk kifo chake ALLAH ndiye atakayehukumu.Uchunguzi ufanyike kuhusu kifo chake